Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Mkuu umasikini haupimwi kwa kujaza magorofa mjini, neenda London uone kama kuna skyscraper kama zilioko Cairo au DubaiHii picha imepigwa kutoka PSSSF tower floor ya 33. Angalia vijumba zaidi ya 99% viko chini! Hii inao nyesha kiwango cha chini cha umasikini na ustawi wa jiji la Dae es Salaam! Tunataka tuwe megacity yenye skyscrapers kama New York!
Mbona ni eneo moja tu ambalo umepiga picha tena kwa juu? Hapo ni Sinza Palestina sasa ungeenda barabara kuwa ya shekilango ukapiga picha tuone nako . Ukinaliza nenda Kigamboni, Bunju, Makongo, Mbweni, Mbezi zote mbili, Mikocheni, Magomeni, nako tuone walau kukoje.Hii picha imepigwa kutoka PSSSF tower floor ya 33. Angalia vijumba zaidi ya 99% viko chini! Hii inao nyesha kiwango cha chini cha umasikini na ustawi wa jiji la Dae es Salaam! Tunataka tuwe megacity yenye skyscrapers kama New York!View attachment 3168527
Amesema vijumba halafu tena viko chini. Hayo maneno umeelewa maana yake?Mkuu umasikini haupimwi kwa kujaza magorofa mjini, neenda London uone kama kuna skyscraper kama zilioko Cairo au Dubai
Tajiri mwenye akili lazima ajenge ghorofa mjini maana ni matumizi bora ya ardhi na uchechemuaji wa mapato kwa haraka na ufanisi. Kwani uchumi wewe ulisomea nchi gani, mkuu?Yaani wewe ndio unaehesabu utajiri kwa kuangalia magorofa,aloooh safari bado ndefu sana
London mijengo yake tofauti na hizo takatakaMkuu umasikini haupimwi kwa kujaza magorofa mjini, neenda London uone kama kuna skyscraper kama zilioko Cairo au Dubai
Yako je mkuu?London mijengo yake tofauti na hizo takataka
Nenda utayaona Sina mda wa kukuelezeaYako je mkuu?
Hiyo ndiyo raha ya mtu ambaye ndio mara yake ya kwanza kuwa juu ya jengo refu.Mbona ni eneo moja tu ambalo umepiga picha tena kwa juu? Hapo ni Sinza Palestina sasa ungeenda barabara kuwa ya shekilango ukapiga picha tuone nako . Ukinaliza nenda Kigamboni, Bunju, Makongo, Mbweni, Mbezi zote mbili, Mikocheni, Magomeni, nako tuone walau kukoje.
Sio lazima kujenga ghorofa,kuna njia kibao tajiri anaweza invest hela zake...au haujui Dar kuna maghorofa mengi hayana wapangaji?utaona tu mabango yameandikwa"TO LET 0780 448 899"Huoni haya magorofa ni white elephant project?nenda kwenye magorofa ya serikali yapo ya magorofa kibao hawaishi watu huo ni ujanja au ujing.a?Tajiri mwenye akili lazima ajenge ghorofa mjini maana ni matumizi bora ya ardhi. Kwani uchumi wewe ulisomea nchi gani, mkuu?
Kama hunaga ushahidi bora unyamaze hata downtown London ina nyumba za zamani mbovu condenmed hata kuliko za Dar, unajua nyie Waswahili maneno mengi exposure ndogo.Nenda utayaona
Wewe akili Yako haipo sawa hujielewiKama hunaga ushahidi bora unyamaze hata downtown London ina nyumba za zamani mbovu condenmed hata kuliko za Dar, unajua nyie Waswahili maneno mengi exposure ndogo.
Shida wakiwa mkoani wanajua Dar ni magorofa matupu wakifika huku wanashangaa wakiona nyumba za chini...Kama hunaga ushahidi bora unyamaze hata downtown London ina nyumba za zamani mbovu condenmed hata kuliko za Dar, unajua nyie Waswahili maneno mengi exposure ndogo.
Hivi nyie mnaakili timamu kweli yaani mnafananisha nyumba za chini za London na dar aisee kweli Kuna mijitu haijielewi yaani hizi takataka za dar ufananishe na LondonShida wakiwa mkoani wanajua Dar ni magorofa matupu wakifika huku wanashangaa wakiona nyumba za chini...
Siyo lazima kila maeneo kujenga magorofa na siyo lazima kujenga gorofa sababu wewe ni tajiri. Sasa eneo la makazi unajenga gorofa 35 unaishi na watoto 3 la nini? Nenda upanga ndiyo utakutana na magorofa sababu ni eneo lililotayarishwa kwa ajili hiyo.Tajiri mwenye akili lazima ajenge ghorofa mjini maana ni matumizi bora ya ardhi. Kwani uchumi wewe ulisomea nchi gani, mkuu?
Umeleta kihoja mkuu wala siyo hoja hii! Umaskini unaupimwa kwa kuangalia maghorofa? Una mawazo ya kitumwa sana!Hii picha imepigwa kutoka PSSSF tower floor ya 33. Angalia vijumba zaidi ya 99% viko chini! Hii inao nyesha kiwango cha chini cha umasikini na ustawi wa jiji la Dae es Salaam! Tunataka tuwe megacity yenye skyscrapers kama New York!View attachment 3168527
Punguza jazba....halafu karibu jijini kijanaHivi nyie mnaakili timamu kweli yaani mnafananisha nyumba za chini za London na dar aisee kweli Kuna mijitu haijielewi yaani hizi takataka za dar ufananishe na London
Jazba Gani we Kwa akili Yako timamu London na dar ni sawa au umechanganyikiwaPunguza jazba....halafu karibu jijini kijana