Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
EXACTLYKabla hatujaamia kwenye Umaskini wa vitu na Pesa angalia Umaskini wa fikra unavyojionesha kwenye replies za wachangiaji. Ukiwa smart kichwani hauchulii kila jibu kama challenge kwako, mtu akikujibu vibaya usipende kuchukulia vitu personal. Inawezekana anayejibu anapitia mambo mazito na amekosa namna ya kutua hasira, msongo na shida zake, mwisho wa siku ameamua kuziacha hapa