Dar es Salaam bado ni jiji la kimasikini saana! Ushahidi kwenye picha!

Dar es Salaam bado ni jiji la kimasikini saana! Ushahidi kwenye picha!

Unajua kuwe na utaribu kama kote duniani. Either serikali inajenga halafu inapangisha au kuwapa watu mortgage. Unajengewa halafu na kampuni unalipa taratibu miaka 10, 15, 20, 25.
 
🤣🤣🤣we kuna majini mle,,,hebu fikiria yale magorofa pale Victoria flow 20 wapangi 13 hizo apartments nyingine wanaishi nani?mi kwanza mtoto wa TMk napenda kuishi zangu uswazi nile ngwala
Hilo ni suala mtambuka, kuwekeza ni kitu kimoja na kupata return y uwekezaji wako ni kitu kingine. Pale Victoria mpaka mazigira ya ostabei kupangisha labda kampuni sio makazi kwa kitu kama ghorofa.

Although nadhani kwa sabab ni real estate return yake pale iko kwenye suistanability mana ni long term plan
 
Nilikuwa nje ya mtandao kidogo yule Stans ft Marioo - 2025 bado hajaachia kionjo? 🙃🙃
 
Hivi nyie mnaakili timamu kweli yaani mnafananisha nyumba za chini za London na dar aisee kweli Kuna mijitu haijielewi yaani hizi takataka za dar ufananishe na London
Nadhani point yake sio comparison ya majengo bali mfumo wa kujenga skycrapers. Kwanza asilimia kubwa ya magorofa ya Daslam hayana wapangaji sasa kwa uchumi upi hayo ma skycrapers yawepo tz.
 
Hilo ni suala mtambuka, kuwekeza ni kitu kimoja na kupata return y uwekezaji wako ni kitu kingine. Pale Victoria mpaka mazigira ya ostabei kupangisha labda kampuni sio makazi kwa kitu kama ghorofa.

Although nadhani kwa sabab ni real estate return yake pale iko kwenye suistanability mana ni long term plan
Sa itakuwaje wale waliojenga kwa mkataba?je miaka ya ikiisha bado return haijapatikana,
 
Passport hiyo hapo nionyeshe yako halafu nitakuonyesha zaidi ya hiyo we jike dume
ChiefGodlove.....ChristopherPaul15..... Football

Unajitahidi kubadili ID kila mara ila uandishi wako na majigambo yako ni yaleyale tu,

Kila ukiguswa kidogo tu,unakimbilia kupost hicho ki screen shot! inaonekana hiyo screen short unaitunza kinoma.

😀😀😀😀
 
Tanzania ni kati ya nchi masikini kabisa duniani. Chochote unachokiona hapa nchini kuanzia majengo, miundombinu, magari nk ujue ni vitu vya kimaskini tu ndio maana hata hayo maghorofa yanajibomokea yenyewe.
 
ChiefGodlove.....ChristopherPaul15..... Football

Unajitahidi kubadili ID kila mara ila uandishi wako na majigambo yako ni yaleyale tu,

Kila ikiguswa kidogo tu,unakimbilia kupost hicho ki screen shot! inaonekana hiyo screen short unaitunz akinoma.

😀😀😀😀
Mind your business
 
Back
Top Bottom