Dar es Salaam bado ni jiji la kimasikini saana! Ushahidi kwenye picha!

Dar es Salaam bado ni jiji la kimasikini saana! Ushahidi kwenye picha!

Mbona ni eneo moja tu ambalo umepiga picha tena kwa juu? Hapo ni Sinza Palestina sasa ungeenda barabara kuwa ya shekilango ukapiga picha tuone nako . Ukinaliza nenda Kigamboni, Bunju, Makongo, Mbweni, Mbezi zote mbili, Mikocheni, Magomeni, nako tuone walau kukoje.
Nimeonyesha ndani ya mita 500 hali ilivyo
 
Sio lazima kujenga ghorofa,kuna njia kibao tajiri anaweza invest hela zake...au haujui Dar kuna maghorofa mengi hayana wapangaji?utaona tu mabango yameandikwa"TO LET 0780 448 899"Huoni haya magorofa ni white elephant project?nenda kwenye magorofa ya serikali yapo ya magorofa kibao hawaishi watu huo ni ujanja au ujing.a?
Hii inaonyesha ukuaji wa uchumi kama kuna uwekezaji na wawekezaji hamna!
 
Mbona ni eneo moja tu ambalo umepiga picha tena kwa juu? Hapo ni Sinza Palestina sasa ungeenda barabara kuwa ya shekilango ukapiga picha tuone nako . Ukinaliza nenda Kigamboni, Bunju, Makongo, Mbweni, Mbezi zote mbili, Mikocheni, Magomeni, nako tuone walau kukoje.
Ukiwa juu ya Hilo ghorofa sehemu kubwa ya jiji Unaliona… msitafute kumkosoa amesema kweli, SISI BADO KWENYE MAJENGO MAKUBWA YA KISASA NA YENYE HADHI… kiuchumi si haba tushafika uchumi wa buluu 😂 👍🏾
 
Sasa kama namjibu Covax Wewe umerukiaje?we jibu hoja zangu sio mimi naongea na Covax wewe unanirukia kunipanikia huoni kama hizo ni hasira baada ya kukaa Namanyere miaka yote ukiamini Dar utakuta maghorofa kama unayoyaona kwenye movie za Newyork matokeo yake hujayakuta?kwanza unavyojifanya unaiongekea London utasema unaijua ukute hata passport huna.....na ukitaka niamini upuuzi wako nionyeshe passport yako hapa
Hahahaah ila nyie wakuu.
 
Hii picha imepigwa kutoka PSSSF tower floor ya 33. Angalia vijumba zaidi ya 99% viko chini! Hii inao nyesha kiwango cha chini cha umasikini na ustawi wa jiji la Dae es Salaam! Tunataka tuwe megacity yenye skyscrapers kama New York!View attachment 3168527
Tuanze na wewe kwa Sasa una riport hii habari ukiwa wapi..

KARIBU HUKU KWANGU KWENYE MANSION LANGU LIPO MBAGALA KIJICHI 🤣🤣🤣😂😂😂

🏃🏃🏃🏃

WASALAAM.
 
ni 3rd world country city, chafu, limejaa watu wa kipato cha chini, miundombinu mibovu, everything.
 
Back
Top Bottom