Dar es Salaam bado ni jiji la kimasikini saana! Ushahidi kwenye picha!

Kumbe hujielewi hata unajibu nini huyo covax ulichomsapoti kwenye comment yake si kuhusu kunipinga Mimi kwamba London inamajumba mabovu kama ya dar
Sasa kama namjibu Covax Wewe umerukiaje?we jibu hoja zangu sio mimi naongea na Covax wewe unanirukia kunipanikia huoni kama hizo ni hasira baada ya kukaa Namanyere miaka yote ukiamini Dar utakuta maghorofa kama unayoyaona kwenye movie za Newyork matokeo yake hujayakuta?kwanza unavyojifanya unaiongekea London utasema unaijua ukute hata passport huna.....na ukitaka niamini upuuzi wako nionyeshe passport yako hapa
 
Mbona kama umechanganyikiwa na ugumu wa maisha unaandika gazeti Ambalo halieleweki mshamba wewe unataja vijiji vya kwenu unafikiri wote tunaishi huko
 
Mbona kama umechanganyikiwa na ugumu wa maisha unaandika gazeti Ambalo halieleweki
Umeelewa vizuri,usijizime data.....Let ushahidi wa passport hapa tujue kama kweli unaijua London,,,,maana unajifanya unaijua London kumbe nika ulivyokuwa Namanyere ulivyokuwa unaijua Dar,na sasa uko Dar unajifanya unaijua London
 
Kameraimeelekezwa kwenye makazi ya watu,kama sio sinza ni mwenge,ubungo su kimara,huko kumbuka kuwa ukiwa ghorofa ya 33 hata mtu unamuona kama sisimizi
 
Umeelewa vizuri,usijizime data.....Let ushahidi wa passport hapa tujue kama kweli unaijua London,,,,maana unajifanya unaijua London kumbe nika ulivyokuwa Namanyere ulivyokuwa unaijua Dar,na sasa uko Dar unajifanya unaijua London
Passport hiyo hapo nionyeshe yako halafu nitakuonyesha zaidi ya hiyo we jike dume
 
Attachments

  • Screenshot_20241204-114001.jpg
    Screenshot_20241204-114001.jpg
    106.7 KB · Views: 4
Huna akili....unalizwa passport unaonyesha madafu?tena ukute umecopy madafu ya jirani yako....London hupajui so acha kuongea vitu ulivyyona kwenye movie.....we pambana Mix by Yas mambo ya kumix tu
Kelele za nini nimeshakuonyeas passport onyesha Yako hata 1 milion tu ya madafu au unafikiri passport sio hela we jike dume🤣🤣🤣🤣🤣
 
Attachments

  • Screenshot_20241204-114001.jpg
    Screenshot_20241204-114001.jpg
    106.7 KB · Views: 3
Kabla hatujaamia kwenye Umaskini wa vitu na Pesa angalia Umaskini wa fikra unavyojionesha kwenye replies za wachangiaji. Ukiwa smart kichwani hauchukulii kila jibu kama challenge kwako, mtu akikujibu vibaya usipende kuchukulia vitu personal. Inawezekana anayejibu anapitia mambo mazito na amekosa namna ya kutua hasira, msongo na shida zake, mwisho wa siku ameamua kuziacha hapa
 
Sasa kama namjibu Covax Wewe umerukiaje?we jibu hoja zangu sio mimi naongea na Covax wewe unanirukia kunipanikia huoni kama hizo ni hasira baada ya kukaa Namanyere miaka yote ukiamini Dar utakuta maghorofa kama unayoyaona kwenye movie za Newyork matokeo yake hujayakuta?kwanza unavyojifanya unaiongekea London utasema unaijua ukute hata passport huna.....na ukitaka niamini upuuzi wako nionyeshe passport yako hapa
Akute maghorofa? KWani alituma hela ili yajengwe?
 
Back
Top Bottom