Dar es Salaam City in Photos

mtaa gani huu katikati ya jiji?

 
pspf tower kutoka benjamin mkapa towers, huu mpini unakuja kwa kasi, parking yakutosha pia


 
ujenzi unaendelea

ya kulia ni ghrorfa 22, ya kushoto 30, na mbele kabisa kule karibu na my fair plaza kuan twin towers za ghorofa 35 , hilo lingine lilolosimama sina data zake

 
Watu wanaona magorofa ni maendeleo ila tusipoangalia tutajikuta kunakuwa kama mumbai,india.

Serikali wangekuwa kweli wanajali wangenunuwa nyumba zengine za chini kariakoo wakatengeneza park za watoto kucheza na maegesho kibao ya magari hata kwak uwalipiza wanaokaa kwenye ma flat. Miundo mbinu mibovu itakuja kuleta umasikini mbaya kama wa india.
 

serikali yetu isipokua makini basi itakula kwetu, hivi dar kuna mipango miji na mayor kweli? kazi zao huwa ni kufanya nini? hivi wapo kweli maafisa kama hawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…