Huo ni ukweli, Dar ni jiji la 9 duniani kupanuka, kukua kwa kasi na population kuongezeka, ni sifa ambayo siwezi kusema ni mbaya! But, tatizo ni kuwa, serikali yetu inashindwa kukabiliana na matitizo yanayotokea katika mabadiliko haya ya kasi kubwa. Mahitaji ya umeme yanaongezeka..TZ ni nchi ya 3 Africa kwa kuwa na mahitaji mengi ya umeme! Bado **** mradi wa New kigamboni pawe mji mkubwa wa Africa. Man! Vizazi vijavyo vina raha somhw! Tatizo sio kila mtanzania anaona kuna manufaa ktk mabadiliko hayo! God bless TZ!