Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Usichukie,kisa unaleta uongo wa uswahilini.wewe andika uzi wako kuonyesha kwamba kujifungua ni bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usichukie,kisa unaleta uongo wa uswahilini.wewe andika uzi wako kuonyesha kwamba kujifungua ni bure
Mkuu kuweka risiti hapa jamvini ni sawa na kujianika mie kupitia utambulisho wangu maana kwenye risiti kuna majina ya aliyejifungua na mimi mlipaji.Mimi nitaamini hii post yako bila kuweka risiti ulizotozwa?
Achana na huyo mamlukiMkuu kuweka risiti hapa jamvini ni sawa na kujianika mie kupitia utambulisho wangu maana kwenye risiti kuna majina ya aliyejifungua na mimi mlipaji.
Kama huamini tembelea hospital ya Amana,Temeke ama Mwananyamala utakuja na uthibitisho humu.
Kwa hiyo Temeke,Amana na Mwanayamala ndio Tanzania?Mkuu kuweka risiti hapa jamvini ni sawa na kujianika mie kupitia utambulisho wangu maana kwenye risiti kuna majina ya aliyejifungua na mimi mlipaji.
Kama huamini tembelea hospital ya Amana,Temeke ama Mwananyamala utakuja na uthibitisho humu.
Kasema Temeke refaroHuu ni uongo kabisa. Mwanafamila wangu amejifungulia kaloleni hospitali. Hatukulipa hata senti moja. Ilkua mwezi wa sita, na huduma ilikuwa Safi Sana, usafi wodini, huduma ya mama na mtoto imeimarishwa Sana Tanzania. Hakuna hizo garama kwenye hospitali ya serkali
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Huu ni Upotoshaji na uongo wa hali ya juu, lete hapa hizo picha za risiti ulizolipia tuzione. Kama kweli umelipishwa.Wajawazito wanaojifungulia kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke , wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida inawalazimu kulipia pesa taslimu ya kitanzania shilingi elfu 75 kama gharama ya kuzaa , Wale wanaojifungua kwa njia ya upasuaji wanapaswa kulipa zaidi ya Tsh laki 2 na yaweza hata kufika laki 2 unusu kutegemeana na complications .
Gharama hizi hazijumuishi gharama ya vifaa ambavyo mjamzito anapaswa kuingia navyo chumba cha uzazi ikiwemo pamba na gloves.
Kwahiyo basi uchaguzi huu unakupa nafasi ya kuchagua kuendelea kulipia gharama ya kuzaa au la , wale waliotuaminisha kwamba tuendelee kufyatua watoto kwa vile elimu ni bure ni vema wangeanzia kuondoa hii kodi ya kuzaa ili mambo yawe mepesi zaidi na kuwezesha wananchi kufyatua watoto kwa amani zaidi .
Sasa 75,000 ina gharama gani wakati inakuletea mwana.
Mbona mnalala na wanawake mbaka kwa laki 1 na hamsini ili ukojoe tu.
Huu ni Upotoshaji na uongo wa hali ya juu, lete hapa hizo picha za risiti ulizolipia tuzione. Kama kweli umelipishwa.Wajawazito wanaojifungulia kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke , wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida inawalazimu kulipia pesa taslimu ya kitanzania shilingi elfu 75 kama gharama ya kuzaa , Wale wanaojifungua kwa njia ya upasuaji wanapaswa kulipa zaidi ya Tsh laki 2 na yaweza hata kufika laki 2 unusu kutegemeana na complications .
Gharama hizi hazijumuishi gharama ya vifaa ambavyo mjamzito anapaswa kuingia navyo chumba cha uzazi ikiwemo pamba na gloves.
Kwahiyo basi uchaguzi huu unakupa nafasi ya kuchagua kuendelea kulipia gharama ya kuzaa au la , wale waliotuaminisha kwamba tuendelee kufyatua watoto kwa vile elimu ni bure ni vema wangeanzia kuondoa hii kodi ya kuzaa ili mambo yawe mepesi zaidi na kuwezesha wananchi kufyatua watoto kwa amani zaidi .
Leta risiti hapa tuzione hizo gharama unazosemaMie mke wangu kajifungua kimara hospital kwa operation. Vifaa tiba na dawa nilizonunua zinafika kama 170,000/=. Wakati anaruhusiwa nikaambiwa sina bill yoyote. Ingawa tayari alikuwa na begi la kujifungulia ambalo linagharim kama 20,000/=
Nadhani hizo gharama zinategemea na eneo au hadhi ya hospital.
Ficha jina tuone hicho kiasi hapa kwente hiyo risitiMkuu kuweka risiti hapa jamvini ni sawa na kujianika mie kupitia utambulisho wangu maana kwenye risiti kuna majina ya aliyejifungua na mimi mlipaji.
Kama huamini tembelea hospital ya Amana,Temeke ama Mwananyamala utakuja na uthibitisho humu.
Huna hoja au utakuwa mgumbaHuu ni Upotoshaji na uongo wa hali ya juu, lete hapa hizo picha za risiti ulizolipia tuzione. Kama kweli umelipishwa.
Watanzania wana imani na CCM, na wataichagua CCM na watamchagua Magufuli.
Kwani hizo ni hospital binafsi au za umma?Kwa hiyo Temeke,Amana na Mwanayamala ndio Tanzania?
Pia nimekutolea tu mfano wa baadhi ya hospital ambazo zinatoza fedha kwa wanaokwenda kujifungua.Kwa hiyo Temeke,Amana na Mwanayamala ndio Tanzania?
Leta risiti hapa tuzione hizo gharama unazosema
Yes hutegemea na hadhi ya hospital.Mfano akijifungulia kwenye zahanati kwa njia ya kawaida ni bure ila kuanzia vituo vya afya kuna gharama fulani.Mie mke wangu kajifungua kimara hospital kwa operation. Vifaa tiba na dawa nilizonunua zinafika kama 170,000/=. Wakati anaruhusiwa nikaambiwa sina bill yoyote. Ingawa tayari alikuwa na begi la kujifungulia ambalo linagharim kama 20,000/=
Nadhani hizo gharama zinategemea na eneo au hadhi ya hospital.
Hahahaha niambie Ccm mwenye avatar ya Chadema. Naona spana nzito hadi umeamua ku blow your cover mazima 😂😂Unazo risiti za mama aliyetozwa hizo gharama? Weka hapa ili bandiko lako liwe na mashiko zaidi. Acha uzushi kama wa salon
Mkuu acha uvivu wa kufanya utafiti unaweza kwenda kwenye hospital nilizokutajia kama upo Dar.Ficha jina tuone hicho kiasi hapa kwente hiyo risiti