Dar es Salaam: Gharama za kujifungua ni Tshs 75,000. Uchaguzi huu unakupa nafasi ya kukataa uharamia huu

Mimi nitaamini hii post yako bila kuweka risiti ulizotozwa?
Mkuu kuweka risiti hapa jamvini ni sawa na kujianika mie kupitia utambulisho wangu maana kwenye risiti kuna majina ya aliyejifungua na mimi mlipaji.

Kama huamini tembelea hospital ya Amana,Temeke ama Mwananyamala utakuja na uthibitisho humu.
 
Achana na huyo mamluki
 
Kwa hiyo Temeke,Amana na Mwanayamala ndio Tanzania?
 
Kasema Temeke refaro
 
Huu ni Upotoshaji na uongo wa hali ya juu, lete hapa hizo picha za risiti ulizolipia tuzione. Kama kweli umelipishwa.
Watanzania wana imani na CCM, na wataichagua CCM na watamchagua Magufuli.
 
Mie mke wangu kajifungua kimara hospital kwa operation. Vifaa tiba na dawa nilizonunua zinafika kama 170,000/=. Wakati anaruhusiwa nikaambiwa sina bill yoyote. Ingawa tayari alikuwa na begi la kujifungulia ambalo linagharim kama 20,000/=
Nadhani hizo gharama zinategemea na eneo au hadhi ya hospital.
 
Huu ni Upotoshaji na uongo wa hali ya juu, lete hapa hizo picha za risiti ulizolipia tuzione. Kama kweli umelipishwa.
Watanzania wana imani na CCM, na wataichagua CCM na watamchagua Magufuli.
 
Leta risiti hapa tuzione hizo gharama unazosema
 
Mkuu kuweka risiti hapa jamvini ni sawa na kujianika mie kupitia utambulisho wangu maana kwenye risiti kuna majina ya aliyejifungua na mimi mlipaji.

Kama huamini tembelea hospital ya Amana,Temeke ama Mwananyamala utakuja na uthibitisho humu.
Ficha jina tuone hicho kiasi hapa kwente hiyo risiti
 
Huu ni Upotoshaji na uongo wa hali ya juu, lete hapa hizo picha za risiti ulizolipia tuzione. Kama kweli umelipishwa.
Watanzania wana imani na CCM, na wataichagua CCM na watamchagua Magufuli.
Huna hoja au utakuwa mgumba
 
Kwa hiyo Temeke,Amana na Mwanayamala ndio Tanzania?
Pia nimekutolea tu mfano wa baadhi ya hospital ambazo zinatoza fedha kwa wanaokwenda kujifungua.

Nadhani zitakuwa zaidi ya hizo maana madaktari wa pale walisema ni utaratibu ndo ulivyo.
 
Yes hutegemea na hadhi ya hospital.Mfano akijifungulia kwenye zahanati kwa njia ya kawaida ni bure ila kuanzia vituo vya afya kuna gharama fulani.
 
Hili swala linaweza likawa linaukweli kuna jamaa nimekutana naye leo asubuh ananiambia aniwekee fridge Rehan nimpe laki mke wake yupo Amna anatarajia kujifungua,
Nikajua ni matumizi ya kawaida tu kumbe wanalipizwa,
Sisi wa bima tutakuwa hatulitambui Hilo.
 
Ficha jina tuone hicho kiasi hapa kwente hiyo risiti
Mkuu acha uvivu wa kufanya utafiti unaweza kwenda kwenye hospital nilizokutajia kama upo Dar.
Ama tafuta mawasiliano ya uongozi wa hospital hasa kuanzia referral hospital then ulizia utapata jibu.

Kuna haja gani ya mimi kudanganya?
Sipo karibu tu sehemu risiti zilipo ningeweka humu sijui ungesemaje mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…