Dar es Salaam: House girl amshtaki bosi wake kwa kutomlipa mshahara kwa miaka Mitano

Miaka mitano bila mshahara na bado hajashtuka, alipaswa ashtuke kuanzia mwaka mmoja au miwili, na huyu binti atakuwa kaishi miaka mingapi hapo kwa huyo mwajiri wake? Manake kama alianza kazi mtoto mkubwa akiwa na miaka mitano na ameondoka mtoto akiwa form 6 basi aliishi miaka mingi sana hapo kwa huyo dada,.more than 10yrs
 
Mwajiri akapimwe akili kama yupo sawa.

Maisha yamekuwa magumu halafu badala ya kusitisha mkataba unamshikilia dada wa kazi huku ukimkopa.

Ni tatizo la akili nahisi
 
Miaka 14
 
Hongera zake, wengine Huwa wanajua Watoto
 
Watu wa kigoma anaweza fanya kazi kwako hata miaka 10 anasema boss nitunzue mshahara wangu asee siku akikwambia nipe mushahara wangu niende mkuu mpe tuu amasivyo yatakayokukuta ni zaidi ya huo mshahara. Naandika hivi nikiwa nimeshuhudia visa vingi kwa macho yangu sio kuambiwa
 
Duuh, kama.alianza kazi na miaka 14 means tayari anakimbilia 30,.uzee unaanza kupiga hodi,

BTW mwajiri ameishi vizuri sana na huyu binti, amekuwa sehemu ya familia..... aliweza kulipa miaka 9,.miaka mitano tu ndo ilisumbua,.na ni kipindi cha Mwendazake lazima....
 
Yes binti ana 30yrs.
Sio mchezo kuishi na mtu 14yrs
 
Lakini maboss wa Africa tuna roho mbaya una pokea mtoto wa mwenzio akiwa na miaka 16, na unamtumikisha miaka 14, bila kumuendeleza chochote, ili ajiendae na maisha ya ukubwani, kuna fani zenye gharama ndogo ufundi cherahani QT na f4 badaye, bakery, catering nk. Ndo maana watoto wetu hawafanikiwi kwasbb hatupendi wawenzetu kufanikiwa.
 
Sure.....ila tatizo unakuta yy ndo kila kitu nyumba watoto n.k huo muda wa kusoma saa ngapi
 
Duuh mi sipendi kabisa kupitisha maana ukilimbikiza miezi 2 tuu laki na 20 ndo miaka 5 si nitafungwa..
Wengine hulazimisha kua na wasichana wakazi wakati huwezo hawana, kweli wewe mko watatu nyumbani na mama hafanyi kazi msichana wakazi ni nini ndo madeni tunao accumulate tuache kuiga majirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…