Dar es Salaam: House girl amshtaki bosi wake kwa kutomlipa mshahara kwa miaka Mitano

Sure.....ila tatizo unakuta yy ndo kila kitu nyumba watoto n.k huo muda wa kusoma saa ngapi
Hapana lazima uwe na utu mbona watoto wake mda wana upata wa kusoma mtu mwenye roho mbaya lazima atafute visababu vya kusaidia.
 
Wengine hulazimisha kua na wasichana wakazi wakati huwezo hawana, kweli wewe mko watatu nyumbani na mama hafanyi kazi msichana wakazi ni nini ndo madeni tunao accumulate tuache kuiga majirani.
Yah..unakuta mtu ana mtoto mmoja yuko home tuu sidhani kama kuna ulazima w mdada..sema jamii yetu ndo imeshakua hivyo
 
Mambo mengi mkuu...siku hizi si mnataka tusaidiane kuleta msosi? Sasa tukikaa nyumbani tunatoa wapi.?
Mhm msosi gani mnaletaga nyie bwana 90%ya billz ndani ya nyumba vidume tunawajibika.
Nyie ata luku ikiisha utasikia baba mwenye nyumba yupo safarini bado mnashindwa nunua. Kaeni tuu nyumbani hamna faida yoyote kwenye maofisi...kwanza kutega mabosi tuu na mitako yenu🀣🀣🀣🀣
 
Ukiona binti wa kazi anafanya ukatiri kwa watoto wa boss wake, basi jua chanzo ni boss mwenyewe
 
Kweli aisee...
Ila mtuvumilie tuu na mitako yetu
 
Huyo anaongea pumba, anasahau kuwa binti kafanya kwa miaka 14.
Hawa sio tu kazi waligeuka kuwa familia.
Na mwajiri mambo yameharibika miaka 5 iliyopita, so hiyo 35k kwa miaka ya nyuma hienda ulikuwa mshahara mkubwa
Yaani humu malaika bwana..
 
Sasa itakuaje? Nimewaonea wote wawili huruma. Mleta uzi mawasiliano yao tafadhali. Huyo mdai ana sifa za u wife material. Na mawazo yangu yananiambia atakua mtoto mzuri pisi ya Singida.
 
Ma house girl wengi wa siku hizi sio kabisa, rafiki yangu amemla houce girl wake kisa mkewake kasafiri
 
Huyu ungemkata hela ya nauli tu
 
Inategemea ntu na ntu...mi hata kunikaribia tuu unajiuliza mara mbili...ndo uniinamishe kabisa? πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜€ πŸ˜†
Mhm atakubali bwana wewe hapa jf.
Alafu jpili usisahau nina ticket yako ya vvip hapa ukashuhudie jinsi mishangazi ya yanga wanavyo tetema na matiti yao
 
Ebu piga pass ya upendo basi jamani kumbe unajua kabisa totoz la ukweli basi nipatie contact zake mie nimuoe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…