Dar es Salaam kuna vumbi sana kipindi hiki ila ukivaa Barakoa na kunawa mikono unaonekana mshamba!

Athali za corona zipo za kutosha tuu, subiri ufikiwe ndipo utajua
 
Nia na madhumuni ya uzi wako ni nini ?

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Naomba sana usife ili uweze kushuhudia uwepo wake.
Kushuhudia jambo na kuelewa hicho unachoshuhudia ni vitu viwili tofauti,na ndio maana tunaenda hospitali na kumueleza Doctor kile tunacho kiexperience na Doctor ndio anatuambia tatizo ni nini.
 
Mshamba anayeishi ni bora kuliko mjanja aliyefariki....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…