Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Yaani baada ya muda tutakuwa na watu wasioeleweka kabisa. Pia jiji la dar es salaam linapoelekea si kuzuri. Tunajua kwa sasa ni ngumu kusimamia swala hili kwa sababu kila chama kinataka kura.Bodaboda wanafunga honi za Harrier Lexus, yaani ni shida
Pia boda zimekua nyingi sana dar, hivi baada ya 5years hali itakuaje kwa wingi wao
huwezi kuta hata kwenye baadhi ya majiji ya nchi zingine za africaYaani ni tabu tupu.
Ujinga kama huu huwezi kuukuta kwenye majiji ya wenzetu wenye kujitambua.
Ngoja black Arab waje uwasikie wakitetea hoja.Mungu akubariki kwa kuleta mada hii. Dar es Salaam ni dampo la kelele.
Naongezea
5. Makelele ya baadhi ya misikiti na makanisa. Mungu hahitaji sauti za maspika makubwa wakati wa ibada ndo atusikie. Ikiwa ni mkutano wa injili au mhadhara hapo sawa. Lakini kuamshana usiku/mchana au saa 11 asubuhi na kelele za maspika wakati kila mtu anajua wajibu wake si poa.
Hama mji, au tafuta sehemu tulivu. Hao wanaopiga makelele si watu kama wewe?
Ushaambiwa jiji la biashara then unalalamika kelele.
Hamia Mtwara/Lindi ambako kumetulia.
Dar ina wakazi 6M, wewe lonely ndo hupendi kelele.
Hilo Jiji la kutumia pesa huliweza nenda bush huko porini ukapate utulivu huko huwezi kusikia makelele zaidi ya ndege wa anga
Si karikoo tu. Ukitoa maeneo machache sana ya mji, sehemu kubwa ni shida sana. Swala hili lisipoangaliwa mji huu hautafaa kuishi.Aisee hali makelele inatisha,yaani ukienda Kariakoo lazima urudi kichwa kinauma!!Kwa ujumla Dar kwa sasa ni jiji la kelele
Mpaka za air bus 330😝😝Kwenye swala la honi nimeshangaa sana ni kweli mkuu wanafunga honi za harrier afu wanapiga hovyo hovyo tu
Hivi ni makelele au makerere? Maana nyie wazaramo mnatuhalalishia ujinga wenu mkidhami wote ni wehu kama ninyiSiku hizi ukitembea katika jiji la Dar es salaam, hali imekuwa si hali ni makelele mtindo mmoja. Hakuna utulivu kabisa.
Ukienda masokoni kila mwenye kibanda chake ana spika na rerding inayoita biashara yake non-stop kuanzia asubuhi saa mbili hadi usiku au jioni mida ya kufunga kazi.
Wakati huohuo kuna magari yanapita mabarabarani yanapiga muziki kwa sauti kubwa ajabu eti yanapromote makampuni fulanifulani. Wakati mwingine yanaweka kambi masokoni au sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu na kufungulia maspika yake ya muziki. Yaani ni makelele tupu mijini.
Kwa sasa ukiwa jijini Dar es salaam, unafanya mishe zako hakuna utulivu, huwezi kuconcentrate.
Ukiacha hilo, utakutana na bodaboda nao wamefunga mziki mzito, wanapiga singeli mtindo mmoja.
Hapo sijazungumzia Bar zinazofungulia muziki non stop katika makazi ya watu.
Noise pollution Dar ni kubwa mno imesababisha watu waumwe vichwa, uwezo wa kusikia kupungua, msongo wa mawazo, Quality of life imeshuka mno na sababu mojawapo ni Makelele mtindo mmoja.
Serikali haina budi kufanya yafuatayo.
1. Kuzuia kila mwenye biashara yake masokoni kuwa na kimtambo cha kupiga kelele kuita wateja. Hivi vispeaker vinafanya maisha ya ufanyaji shughuli masokoni kuwa headache
2. Serikali ipige marufuku kwa bodaboda kufunga speaker kwenye mabodaboda yao, kwanza haya mamiziki wanayofungulia ni hatari kwa usalama barabarani.
3. Serikali ithibiti haya matangazo ya magari ambayo huzunguuka mitaani huku wamefungulia muzik kwa staili ya Disco.
4. Miziki kwenye mabar iangaliwe upya, limit ya kiwango cha sauti (decibels) kiwekwe ili kupunguzia wananchi adha.
Yaani ukichanganya na jua na joto ni kama huko kariakoo shimoni ya zamani.Na lile jua na joto. Duuh 😅🤣🤣
Usiishi zamani BRO... Ishi Sasa! Kila kitu tukianza kulalamika "zamani haikua hivi, zamani ilikuwa vile" unadhani hata majukumu yako binafsi utapata muda wa kuyatatua kweli???Unajua watu wengi jawajuhi maana ya afya ya akili. Wanadhani kelele si sababisho kubwa mojawapo. Kutaka utulivu haina maana kwamba watu wanabagua wengine. Sheria zenyewe za mazingira haziruhusu makelele ya kijinga kama haya ya sasa. Zamani jiji la dar es salaam halikuwa hivi. Pia inawezekana kufanya shughuli za boda boda bila kelele. Kama vipi bodaboda zipunguzwe!!!
Ni hivi, hatuwezi kuishi na makelele kiaai hiki. POLLUTION itokanayo na kelele ni nyingi mno. Tusifanye kama sheria hazipo wakati NEMC ina sheria zote zinazozuia makelele kama hayo. Watu wawe wastaarabu na wasipotaka kuwa waataarabu walazimishwe kutii sheria....si picha nzuri kwa wageni na wenyeji. Mimi kwa upande wangu sipendi jiji zuri kama hili liwe na sifa mbaya.Usiishi zamani BRO... Ishi Sasa! Kila kitu tukianza kulalamika "zamani haikua hivi, zamani ilikuwa vile" unadhani hata majukumu yako binafsi utapata muda wa kuyatatua kweli???
Maisha yanabadilika na ISIKARIRI! Hata TIGO sasa ni YAS na hatulalamiki
Unategemea nini kama mkuu wa mkoa mwenyewe ni mpiga makelele? Ubunifu zero, anashangaa makonda anafanikishaje mambo yy tupo huku kwenye matajir wa kila aina lkn mambo hayaendi!!Siku hizi ukitembea katika jiji la Dar es salaam, hali imekuwa si hali ni makelele mtindo mmoja. Hakuna utulivu kabisa.
Ukienda masokoni kila mwenye kibanda chake ana spika na rerding inayoita biashara yake non-stop kuanzia asubuhi saa mbili hadi usiku au jioni mida ya kufunga kazi.
Wakati huohuo kuna magari yanapita mabarabarani yanapiga muziki kwa sauti kubwa ajabu eti yanapromote makampuni fulanifulani. Wakati mwingine yanaweka kambi masokoni au sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu na kufungulia maspika yake ya muziki. Yaani ni makelele tupu mijini.
Kwa sasa ukiwa jijini Dar es salaam, unafanya mishe zako hakuna utulivu, huwezi kuconcentrate.
Ukiacha hilo, utakutana na bodaboda nao wamefunga mziki mzito, wanapiga singeli mtindo mmoja.
Hapo sijazungumzia Bar zinazofungulia muziki non stop katika makazi ya watu.
Noise pollution Dar ni kubwa mno imesababisha watu waumwe vichwa, uwezo wa kusikia kupungua, msongo wa mawazo, Quality of life imeshuka mno na sababu mojawapo ni Makelele mtindo mmoja.
Serikali haina budi kufanya yafuatayo.
1. Kuzuia kila mwenye biashara yake masokoni kuwa na kimtambo cha kupiga kelele kuita wateja. Hivi vispeaker vinafanya maisha ya ufanyaji shughuli masokoni kuwa headache
2. Serikali ipige marufuku kwa bodaboda kufunga speaker kwenye mabodaboda yao, kwanza haya mamiziki wanayofungulia ni hatari kwa usalama barabarani.
3. Serikali ithibiti haya matangazo ya magari ambayo huzunguuka mitaani huku wamefungulia muzik kwa staili ya Disco.
4. Miziki kwenye mabar iangaliwe upya, limit ya kiwango cha sauti (decibels) kiwekwe ili kupunguzia wananchi adha.
Samahani Bro! Kwani umefikia sehemu gani?Ni hivi, hatuwezi kuishi na makelele kiaai hiki. POLLUTION itokanayo na kelele ni nyingi mno. Tusifanye kama sheria hazipo wakati NEMC ina sheria zote zinazozuia makelele kama hayo. Watu wawe wastaarabu na wasipotaka kuwa waataarabu walazimishwe kutii sheria....si picha nzuri kwa wageni na wenyeji. Mimi kwa upande wangu sipendi jiji zuri kama hili liwe na sifa mbaya.