Mkoko kisu
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 757
- 803
Kla mtu na shida zake wapambane na shida zao wamkumbuke na Jiwe kabsa mda wa kuoneana huruma ushapita
Wafanyabiashara wamalia na kulalamika sana ila hawakuonekana wala kuskiliza habar ilikua wamachinga ambao hawachangii pato lolote lwa taifa Tukawaacha wafanyabiasha wanaolipa makodi makubwa makubwa kwa taifa na wameajiri wanyonge kibao