Dar es Salaam: Machinga wa Karume waandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wasema hawana imani na Viongozi. Mabomu ya machozi yarindima

Dar es Salaam: Machinga wa Karume waandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wasema hawana imani na Viongozi. Mabomu ya machozi yarindima

Ni maajabu sana eti mtu aunguliwe biashara yake halafu unamwambia asifanye biashara tena hapo asubiri uchunguzi!!?

Atalipaje mikopo? Atakula nini? Atajengaje mtaji wake tena?

Wanasiasa wasiojua biashara kupewa majiji waendeshe ni ajabu sana
 
Hiyo Mikopo mnayosema kila siku italipwaje hebu tuwekeeni tufahamu mlikopa lini pumbavu we kila siku mnadai mmekopa mikopo haiishi tu acheni wizi wa kukwepa kodi... maduka yenu yamejaa vitu vya thamani kushinda hata viduka vya mchaga dogo dogo anayelipa kodi ya mapato rent na leseni.
 
Ni maajabu sana eti mtu aunguliwe biashara yake halafu unamwambia asifanye biashara tena hapo asubiri uchunguzi!!?

Atalipaje mikopo? Atakula nini? Atajengaje mtaji wake tena?

Wanasiasa wasiojua biashara kupewa majiji waendeshe ni ajabu sana
Walitakiwa kuweka bima biashara zao, ikitokea ajali wanalipwa pesa na kufanya ishu zingine wakisubiri,, nchi kubwa hii, wanaweza uza hata mitumba mwenge, ubaruku, mbeya , etc
 
Hiyo Mikopo mnayosema kila siku italipwaje hebu tuwekeeni tufahamu mlikopa lini pumbavu we kila siku mnadai mmekopa mikopo haiishi tu acheni wizi wa kukwepa kodi... maduka yenu yamejaa vitu vya thamani kushinda hata viduka vya mchaga dogo dogo anayelipa kodi ya mapato rent na leseni...
Wamekutuma utukane eti.
Waambie waache kuchoma moto masoko.
 
Zamu ya kuwanyoosha wanyonge. Kutesa kwa zamu. Sote tunakumbuka wakati matajiri wakitekwa na kuporwa fedha, wanyonge mlifurahia sana.
 
Hiyo ni lugha ya kufukuzwa. Wabara tunamharibia mama.
 
Hiyo Mikopo mnayosema kila siku italipwaje hebu tuwekeeni tufahamu mlikopa lini pumbavu we kila siku mnadai mmekopa mikopo haiishi tu acheni wizi wa kukwepa kodi... maduka yenu yamejaa vitu vya thamani kushinda hata viduka vya mchaga dogo dogo anayelipa kodi ya mapato rent na leseni...

Unasema Haya sababu unakula Na kunywa; au hupajui Karume, Na aina y wale wafanya biashara
 
Ni maajabu sana eti mtu aunguliwe biashara yake halafu unamwambia asifanye biashara tena hapo asubiri uchunguzi!!?

Atalipaje mikopo? Atakula nini? Atajengaje mtaji wake tena?

Wanasiasa wasiojua biashara kupewa majiji waendeshe ni ajabu sana
Ujinga huo wa kwako ndio ulifanya soko liungue.

Hapa mtu anauza mafute, pale jamaa anachoma mishkaki.
 
Magufuli was a true leader, kiongozi aliependwa na wengi kwasababu ya kusimamia maslahi ya Taifa hili na wananchi wake

Wapumbavu na wapuuzi kama nyinyi hamkosekanagi sehemu yoyote ile

Ndo aliyewajaza huko juani mnapopiga umachinga badala ya kuwapa ajira za maana
 
K
Wa hiyo kama ni wa DSM hawezi kulima?
Na kwa vile ni wa DSM lazima akae mjini.
Mawazo finyu yasiyo endelevu.
Kwani lazima wawe wakulima!? Kama kilimo kinakulipa, wewe lima. Sio juu yako kupangia watu kazi ya kufanya. Kama hao wa huko mikoani wanakimbilia mjini, hawa wa Dsm waende huko kufanya nini!?
 
Ndo aliyewajaza huko juani mnapopiga umachinga badala ya kuwapa ajira za maana
Nyie mnaokimbizana na machinga mmewapa ajira gani? Wakati ninyi mnakula na kuvimbiwa kwa kigezo cha kujipimia.
 
Wamachinga wa nchi hii tunapata tabu sana. Nafikiri wanataka kuweka STAND ya DALADALA pale maana mpaka sasa hivi stendi za daladala zimekuwa adimu sana.
Wanaweza kuweka Stand na soko LA ghorofa zuri, ila Swali Langu hawa wataalamu wa manispaa huwa uwezo wao wa kusaidia katika majanga ya moto umekaaje!? Au wao kuja kuchukua kodi tu? Hivi wapo pale kufanya nini!? Wanaruhusu watu kujenga hovyo bila kuwaelekeza hii si aibu kabisa!? Nenda soko LA Tandika, Tegeta nyuki, Mbezi njia ya Goba, na popote DSM watu wamechukua maeneo yaliyotengwa kwa parking na kujenga vibanda vimeezekwa kwa nailons, nailons, sulphetts, makuti!! Moto unawaka MTU anasema hujuma!! Seriously!? Jamani hizi taasisi za mambo ya usalama ziamke na kufanya kazi kwa weledi na sio kwnda kwenye Maduka makubwa na sehemu nyingine kuchukua Rushwa wakidai fire extinguishers huku watu wanaangamia, poor my Tanzania
 
Kwani lazima wawe wakulima!? Kama kilimo kinakulipa, wewe lima. Sio juu yako kupangia watu kazi ya kufanya. Kama hao wa huko mikoani wanakimbilia mjini, hawa wa Dsm waende huko kufanya nini!?
Mjini watu wanaishi kwa sheria za mipango miji.
Hii ni toka zamani.
Isingekuwa hivyo sehemu nzuri ya kuweka biashara ni round about ya sanamu ya Askari au juu ya daraja ka Mfugale.
Watu mmeaminishwa kuwa unaweza na uko huru kufanya biashara popote bila kubugudhiwa , mradi wewe ni tawi la CCM na mpiga kura wake.
Mnawadangaywa.

Hata masoko lazima yawe na mpangilio kisheria, siyo mama ntilie wa kuni hapo na pale mitumba na mafuta ya kupikia, ati alimradi mtu anapata ruzki.
Haya, rizki hiyo imeungua yote.

Sheria za namna ya kuishi mijini ni muhimu, na kama huziwezi unakata pori unalima maisha yanaendelea.
 
Kuna mtu kakataa kuwa kuna mipango miji!? Hiyo inahusiana vipi na kuzuia watu kutoka mikoani kuja mjini au kulazimisha watu kulima? Cha kuongezea hao wa hapo Karume kwani wametaka kuhama hapo na kuhamia kwingine!?
 
Wanadeserve wanachokipata kwa kuwa wakati CCM inapora chaguzi walikenua meno.

Watulia hivyo hivyo sindano iingie vizuri hadi watakapopata akili ya kuikataa CCM na mambo yake yote.

Nashukuru sana Mungu kuwa leo wamepelekewa askari wa kikosi cha mbwa ambao wameenda kubomoa vile vibanda vyao ambavyo walikuwa wameshaanza kuvijenga jana.
Akili za kinyumbu hizi, aliyekwambia vibanda vilivyoungua ni vya wanna CCM tu ni mbowe? Hata vya nyumbu, ACT, na watanzania vimeungua
Wakati mwingine tumia akili ya kwako kufikiria.
 
Back
Top Bottom