GangMkush
Senior Member
- Nov 15, 2021
- 163
- 278
Rejea mapinduzi ya Ufaransa ya mwaka wa 1700'sWatanzania wengi wapo vijijini hivyo viwatu viwili visikutatize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rejea mapinduzi ya Ufaransa ya mwaka wa 1700'sWatanzania wengi wapo vijijini hivyo viwatu viwili visikutatize
Walitakiwa kuweka bima biashara zao, ikitokea ajali wanalipwa pesa na kufanya ishu zingine wakisubiri,, nchi kubwa hii, wanaweza uza hata mitumba mwenge, ubaruku, mbeya , etcNi maajabu sana eti mtu aunguliwe biashara yake halafu unamwambia asifanye biashara tena hapo asubiri uchunguzi!!?
Atalipaje mikopo? Atakula nini? Atajengaje mtaji wake tena?
Wanasiasa wasiojua biashara kupewa majiji waendeshe ni ajabu sana
Wamekutuma utukane eti.Hiyo Mikopo mnayosema kila siku italipwaje hebu tuwekeeni tufahamu mlikopa lini pumbavu we kila siku mnadai mmekopa mikopo haiishi tu acheni wizi wa kukwepa kodi... maduka yenu yamejaa vitu vya thamani kushinda hata viduka vya mchaga dogo dogo anayelipa kodi ya mapato rent na leseni...
Hiyo Mikopo mnayosema kila siku italipwaje hebu tuwekeeni tufahamu mlikopa lini pumbavu we kila siku mnadai mmekopa mikopo haiishi tu acheni wizi wa kukwepa kodi... maduka yenu yamejaa vitu vya thamani kushinda hata viduka vya mchaga dogo dogo anayelipa kodi ya mapato rent na leseni...
Ujinga huo wa kwako ndio ulifanya soko liungue.Ni maajabu sana eti mtu aunguliwe biashara yake halafu unamwambia asifanye biashara tena hapo asubiri uchunguzi!!?
Atalipaje mikopo? Atakula nini? Atajengaje mtaji wake tena?
Wanasiasa wasiojua biashara kupewa majiji waendeshe ni ajabu sana
Magufuli was a true leader, kiongozi aliependwa na wengi kwasababu ya kusimamia maslahi ya Taifa hili na wananchi wake
Wapumbavu na wapuuzi kama nyinyi hamkosekanagi sehemu yoyote ile
Hivi Tukisema serikali ndo wamwchoma soko tutakua tumekosea Sana?[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani lazima wawe wakulima!? Kama kilimo kinakulipa, wewe lima. Sio juu yako kupangia watu kazi ya kufanya. Kama hao wa huko mikoani wanakimbilia mjini, hawa wa Dsm waende huko kufanya nini!?K
Wa hiyo kama ni wa DSM hawezi kulima?
Na kwa vile ni wa DSM lazima akae mjini.
Mawazo finyu yasiyo endelevu.
Nyie mnaokimbizana na machinga mmewapa ajira gani? Wakati ninyi mnakula na kuvimbiwa kwa kigezo cha kujipimia.Ndo aliyewajaza huko juani mnapopiga umachinga badala ya kuwapa ajira za maana
Wanaweza kuweka Stand na soko LA ghorofa zuri, ila Swali Langu hawa wataalamu wa manispaa huwa uwezo wao wa kusaidia katika majanga ya moto umekaaje!? Au wao kuja kuchukua kodi tu? Hivi wapo pale kufanya nini!? Wanaruhusu watu kujenga hovyo bila kuwaelekeza hii si aibu kabisa!? Nenda soko LA Tandika, Tegeta nyuki, Mbezi njia ya Goba, na popote DSM watu wamechukua maeneo yaliyotengwa kwa parking na kujenga vibanda vimeezekwa kwa nailons, nailons, sulphetts, makuti!! Moto unawaka MTU anasema hujuma!! Seriously!? Jamani hizi taasisi za mambo ya usalama ziamke na kufanya kazi kwa weledi na sio kwnda kwenye Maduka makubwa na sehemu nyingine kuchukua Rushwa wakidai fire extinguishers huku watu wanaangamia, poor my TanzaniaWamachinga wa nchi hii tunapata tabu sana. Nafikiri wanataka kuweka STAND ya DALADALA pale maana mpaka sasa hivi stendi za daladala zimekuwa adimu sana.
Mjini watu wanaishi kwa sheria za mipango miji.Kwani lazima wawe wakulima!? Kama kilimo kinakulipa, wewe lima. Sio juu yako kupangia watu kazi ya kufanya. Kama hao wa huko mikoani wanakimbilia mjini, hawa wa Dsm waende huko kufanya nini!?
Kuna mtu kakataa kuwa kuna mipango miji!? Hiyo inahusiana vipi na kuzuia watu kutoka mikoani kuja mjini au kulazimisha watu kulima? Cha kuongezea hao wa hapo Karume kwani wametaka kuhama hapo na kuhamia kwingine!?Mjini watu wanaishi kwa sheria za mipango miji.
Hii ni toka zamani.
Isingekuwa hivyo sehemu nzuri ya kuweka biashara ni round about ya sanamu ya Askari au juu ya daraja ka Mfugale.
Watu mmeaminishwa kuwa unaweza na uko huru kufanya biashara popote bila kubugudhiwa , mradi wewe ni tawi la CCM na mpiga kura wake.
Mnawadangaywa.
Hata masoko lazima yawe na mpangilio kisheria, siyo mama ntilie wa kuni hapo na pale mitumba na mafuta ya kupikia, ati alimradi mtu anapata ruzki.
Haya, rizki hiyo imeungua yote.
Sheria za namna ya kuishi mijini ni muhimu, na kama huziwezi unakata pori unalima maisha yanaendelea.
Akili za kinyumbu hizi, aliyekwambia vibanda vilivyoungua ni vya wanna CCM tu ni mbowe? Hata vya nyumbu, ACT, na watanzania vimeunguaWanadeserve wanachokipata kwa kuwa wakati CCM inapora chaguzi walikenua meno.
Watulia hivyo hivyo sindano iingie vizuri hadi watakapopata akili ya kuikataa CCM na mambo yake yote.
Nashukuru sana Mungu kuwa leo wamepelekewa askari wa kikosi cha mbwa ambao wameenda kubomoa vile vibanda vyao ambavyo walikuwa wameshaanza kuvijenga jana.