Kijogoodi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 1,362
- 2,373
Mali za urithi zinakutesaPamoja na yooote tukubaliane kurudisha tena mabanda pale ni upunguani, pale ni kati kati ya mji pajengwe soko lenye hadhi ya eneo husika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mali za urithi zinakutesaPamoja na yooote tukubaliane kurudisha tena mabanda pale ni upunguani, pale ni kati kati ya mji pajengwe soko lenye hadhi ya eneo husika
Wa hiyo kama ni wa DSM hawezi kulima?Umekariri kila machinga katoka mkoani!? Machinga kibao wa hapa hapa Dar na hawakujui huko mikoani. Hao watu kwani serikali ndio huwa inawalisha kabla ya hili tukio!? Waachwe wajitafutie wenyewe wala haeaendi ikulu magogoni kuomba.
Tuna viongoz wa hovyo Sana nchi hii[emoji3525]CCM inapiga mabomu ya machozi wapiga kura wake, ambao ni wahanga wa janga la moto.
CCM imeshindwa kuwafariji?
Tena hiyo mbaya zsidi.Rekebisha kauli, machinga hawapo dar tu. Wapo mikoa yote nchi nzima
unaonekana ulikuwa tapeli mjiniTuliolia kipindi cha mwendazake sasa ni wakati wa kucheka tu.
Tunataka mamalishe, machinga, wakulima & co wateseke kabisa maana ndiyo kubwa na hao ndiyo waliompa jeuri mwendazake.
Yako wapi sasa tuliwaambia wakashupaza shingo zao, acha sasa zivunjike.
Kwa mujibu wa ramani za jiji Eneo hilo ni Mali ya TBL,mbele take kidogo linamilikiwa na Halmashauri ya jiji,kama Bustani za jiji za kuuza miche ya miti na maua.Hivi hilo eneo liko chini ya nani?
Ova
Watanzania wengi wapo vijijini hivyo viwatu viwili visikutatizeHuku la Mchikichini likiwa limeungua, soko dogo la Kariakoo nalo wamefukuzwa. 2025 nadhani utakuwa ni uchaguzi mkuu makini kuliko chaguzi zote ziliziwahi kufanyika.
Lugha Kali maana yake nini? Mkuu au unamaanisha wafanye fujo?,which is not a good way Kwa uoni wangu afifu pamoja na huyo mchemsha Maarage kusababisha moto, serekali inafikiri vyema zaidi ili kuwaweka katika hali ya kukua kibiashara has a Kwa kuweka vizimba vyenye namba!Wamachinga wanatakiwa wafikirie zaidi namna ya kuongea lugha kali itakayoeleweka na watawala katili.
Acha ujinga we kobeTuliolia kipindi cha mwendazake sasa ni wakati wa kucheka tu.
Tunataka mamalishe, machinga, wakulima & co wateseke kabisa maana ndiyo kubwa na hao ndiyo waliompa jeuri mwendazake.
Yako wapi sasa tuliwaambia wakashupaza shingo zao, acha sasa zivunjike.
Tuliolia kipindi cha mwendazake sasa ni wakati wa kucheka tu.
Tunataka mamalishe, machinga, wakulima & co wateseke kabisa maana ndiyo kubwa na hao ndiyo waliompa jeuri mwendazake.
Yako wapi sasa tuliwaambia wakashupaza shingo zao, acha sasa zivunjike.