Dar es Salaam: Machinga wa Karume waandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wasema hawana imani na Viongozi. Mabomu ya machozi yarindima

Dar es Salaam: Machinga wa Karume waandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wasema hawana imani na Viongozi. Mabomu ya machozi yarindima

K
Umekariri kila machinga katoka mkoani!? Machinga kibao wa hapa hapa Dar na hawakujui huko mikoani. Hao watu kwani serikali ndio huwa inawalisha kabla ya hili tukio!? Waachwe wajitafutie wenyewe wala haeaendi ikulu magogoni kuomba.
Wa hiyo kama ni wa DSM hawezi kulima?
Na kwa vile ni wa DSM lazima akae mjini.
Mawazo finyu yasiyo endelevu.
 
Issue ni katiba mpya baada ya huyu mama hatujui atakaechukua mikoba atakuja na zengwe gani
 
Rekebisha kauli, machinga hawapo dar tu. Wapo mikoa yote nchi nzima
Tena hiyo mbaya zsidi.
Tatizo kizazi hiki kinafikiria easy money.
Na kuna wanasiasa wakawapa nguvu ati kwa vile ni wapiga kura wao na wanyonge, wameacha kulima.
 
Tuliolia kipindi cha mwendazake sasa ni wakati wa kucheka tu.

Tunataka mamalishe, machinga, wakulima & co wateseke kabisa maana ndiyo kubwa na hao ndiyo waliompa jeuri mwendazake.

Yako wapi sasa tuliwaambia wakashupaza shingo zao, acha sasa zivunjike.
unaonekana ulikuwa tapeli mjini

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Wamachinga leo wamemua ferry huku wamewakimbiza maaskari kwa mawe askari na Mgambo wa jiji wamekimbia fasta machinga Sasa hawataki mzaha
 
Huyu rais alishaonekana hana uchungu na tabaka la wafanyabiashara wadogo! Yeye anadeal na wafanyabiashara wakubwa! Ndo mabest wake!kitendo cha kusema hataki mabango ujue hana undugu na nyie!
 
Huku la Mchikichini likiwa limeungua, soko dogo la Kariakoo nalo wamefukuzwa. 2025 nadhani utakuwa ni uchaguzi mkuu makini kuliko chaguzi zote ziliziwahi kufanyika.
 
Wamachinga wanatakiwa wafikirie zaidi namna ya kuongea lugha kali itakayoeleweka na watawala katili.
Lugha Kali maana yake nini? Mkuu au unamaanisha wafanye fujo?,which is not a good way Kwa uoni wangu afifu pamoja na huyo mchemsha Maarage kusababisha moto, serekali inafikiri vyema zaidi ili kuwaweka katika hali ya kukua kibiashara has a Kwa kuweka vizimba vyenye namba!
 
Tuliolia kipindi cha mwendazake sasa ni wakati wa kucheka tu.

Tunataka mamalishe, machinga, wakulima & co wateseke kabisa maana ndiyo kubwa na hao ndiyo waliompa jeuri mwendazake.

Yako wapi sasa tuliwaambia wakashupaza shingo zao, acha sasa zivunjike.
Acha ujinga we kobe
 
Inaonekana Hili solo lilichomwa kwa makusudi Ili wamachinga watolewe
 
Tuliolia kipindi cha mwendazake sasa ni wakati wa kucheka tu.

Tunataka mamalishe, machinga, wakulima & co wateseke kabisa maana ndiyo kubwa na hao ndiyo waliompa jeuri mwendazake.

Yako wapi sasa tuliwaambia wakashupaza shingo zao, acha sasa zivunjike.

Magufuli was a true leader, kiongozi aliependwa na wengi kwasababu ya kusimamia maslahi ya Taifa hili na wananchi wake

Wapumbavu na wapuuzi kama nyinyi hamkosekanagi sehemu yoyote ile
 
Back
Top Bottom