Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
Jibu swali lake. Wewe ndiye mwenye ufinyu wa akili.Ufinyu wa akili unakusumbua. Pole zako.
Nitakutafuta baadaye kidogo[emoji3][emoji3][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Acheni ujuaji, pigeni kura muondoke.Kituo A 2 wananchi wamegoma kupiga kura mpaka mabox yawe na 'seals'
Kituo A 4 , BOXES 527159, wameanza kupiga kura bila hayo mabox kuwa na 'seals'. Sijui zitakuja saa ngapi?
MNAOHUSIKA FUATILIENI!!!
Asante. Naamini hutakuwa na mashaka na matokeo pia.Nilkuwa wa kwanza kumpa lisu kura kituoni,sina mashaka na kituo
Chadema hawachukui jimbo lolote dar. Usijisumbue.
Fungueni mitandaoHapana mkuu tumkatae shetani shoga na tabia zake.
Segerea pamegawanyika sijajua nguvu ya yule wa ACT wazalendoKwa Dar
Chadema watashinda
1. Kawe
2. Ubungo...
HhhhhhMkuu, mbona unapiga kampeni kwenye kituo cha kupigia kura? [emoji28][emoji28][emoji28]
Nawewe iba mzeeMchungaji na wizi wa kura