Uchaguzi 2020 Dar es Salaam: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Dar es Salaam: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Kituo A 2 wananchi wamegoma kupiga kura mpaka mabox yawe na 'seals'
Kituo A 4 , BOXES 527159, wameanza kupiga kura bila hayo mabox kuwa na 'seals'. Sijui zitakuja saa ngapi?

MNAOHUSIKA FUATILIENI!!!
Acheni ujuaji, pigeni kura muondoke.
 
Kawe Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe Halima Mdee, amekamatwa na jeshi la polisi kwa madai kwamba ameingilia zoezi la uchaguzi, baada ya kudai kuna mabegi ya kura feki yanayoingizwa kituoni hapo. Hapa ni sehemu ya mzozo wa Halima Mdee na polisi.

 
Huku jimbo la Kawe tunakamatana wizi wa kura tu, naona wagombea ubunge wawili wanatoshana nguvu.
 
Back
Top Bottom