Kama haijawah kufika Dar brain inatengeneza image kwamba Dar ni bonge la mji kumbe sio
Binafsi before sijafika Dar nilidhani Dar nzima inafanana na Posta, Kariakoo au Makumbusho yana watu wanaishi kwenye apartments kali mixer nyumba za maana.
Kumbe Dar imejaa vibanda vya mpesa, vijiwe vya madalali, n'a vijana wavaa vibukta
Kuna haja ya serikali kutoa wito watu wasikimbilie Dar wabaki mikoani wachape kazi na majobless konk wa Dar wapelekwe /waradishwe mikoani wakalime au kuvua samaki.
Vijana wa Dar 28yrs anawaza kibukta, pensi, sendo na chips wote hawa wanatakiwa wapelekwe vijijini wakalime.