Dar es Salaam ni mji wa kawaida ila unakuzwa sana

Dar es Salaam ni mji wa kawaida ila unakuzwa sana

Dar is overrated, ni mji ambao serikali imewekeza sana lakini bado hauna standard ya maana. Ni mji ambao watu wake wanausifia sana lakini hakuna maajabu!! Ukimuuliza mtu Dar kuna maajabu gani, utasikia we acha tu, hapa ndio Tanzania, hapa sijui nini, hakuna lolote, tuliotembea tunaona Dar kama mashenzini tu. Na ni mashenzini kweli. Ikinyesha mvua ni kubayaaa, kunanukaa🤣
Mji ambao kila kitu ni substandard, vyakula quality ya hovyo, jiji halina ata miti ya kuzugia, majengo ya kuungaunga, wanawake fake, wanaume fake, Yani mji so superficial, ndio mji ambao kusema uongo na utapeli ni sifa na utaitwa "mtoto wa mjini" , nguvu ambayo serikali imeweka hapo ingeweka pengine hakika tungekuwa mbali sana.
Ujuaji Ukizidi Shida
Kwahiyo Mji Unahusishwa na Wanawake fake?
 
Kama haijawah kufika Dar brain inatengeneze image kwamba Dar ni bonge la mji kumbe sio

BINAFSI before sifika Dar nilidhan Dar Nzima inafanana n'a Posta, kariakoo au makumbusho Yan Watu wanaish kwenye appartements kali mixer nyumba za maana.

Kumbe Dar imejaa vibanda vya mpesa, vijiwe vya madalali, n'a vijana wavaa vibukta

Kuna haja ya serikali kutoa wito watu wasikimbilie dar wabak mikoani wachape Kaz na majobless konk WA dar wapelekwe /waradishwe mikoani wakalime au kuvua samaki.

Vijana wa Dar 28yrs anawaza kibukta, pensi, sendo na chips wote hawa wanatakiwa wapelekwe vijijini wakalime.
kwaiyo saivi upo Mkoa gani huo ambao upo vizuri kuliko Dsm.
 
Kama haijawah kufika Dar brain inatengeneze image kwamba Dar ni bonge la mji kumbe sio

BINAFSI before sifika Dar nilidhan Dar Nzima inafanana n'a Posta, kariakoo au makumbusho Yan Watu wanaish kwenye appartements kali mixer nyumba za maana.

Kumbe Dar imejaa vibanda vya mpesa, vijiwe vya madalali, n'a vijana wavaa vibukta

Kuna haja ya serikali kutoa wito watu wasikimbilie dar wabak mikoani wachape Kaz na majobless konk WA dar wapelekwe /waradishwe mikoani wakalime au kuvua samaki.

Vijana wa Dar 28yrs anawaza kibukta, pensi, sendo na chips wote hawa wanatakiwa wapelekwe vijijini wakalime.
Ukisema dar kwamba ni mji unaokuzwa basi walau useme ni mji gani unaizidi hiyo dar kwa hapa nchini
 
Nyinyi watu wa mikoani kuiponda Dar mnajisikia raha ila sisi watu wa Dar tukiiponda mikoa yenu mnasema tunaringa , tunawanyanyapa na mengine mengi tu mnasema

Haya endeleeni kuiponda Dar yetu sisi tumeshazoea

Kuna mwaka nilienda Mbeya nilipofika Airport nikaona ndege zinatua na kupaa katika barabara za tope nilishangaa sana
 
Intachange ipo ila hazifanani. Kila nchi ina kipaumbele chake.

Sasa Lilongwe ni mji wa kulinganisha na Dar?

Hamna aibu!
Sasa Dar Kwa Lilongwe si kama dampo kubwa tuu kwani Kuna miundombinu ya Barabara kulinganisha na Lilongwe?

Dar hakuna interchange Kuna upuuzi
 
Mbagala siyo Dar

Nenda masaki, oysterbay, msasani, mikocheni, mbezi beach, posta, kkoo, kinyerezi, Kigamboni, mbezi ya kimara, kawe, kinondoni, mwanagati kitunda, ubungo, mwenge, Sinza, bunju
 
Back
Top Bottom