ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwa vile wameeundikana hapo town kwenye dampo lao Hilo na vimagorofa virefu basi wanaona ni boonge la Mji wakati ni slum tupu.Ni ushamba tu unawasumbua na kukosa exposure lakini dar hakuna lolote la maana.