Dar es Salaam ni mji wa kawaida ila unakuzwa sana

Kama haijawah kufika Dar brain inatengeneza image kwamba Dar ni bonge la mji kumbe sio

Binafsi before sijafika Dar nilidhani Dar nzima inafanana na Posta, Kariakoo au Makumbusho yana watu wanaishi kwenye apartments kali mixer nyumba za maana.

Kumbe Dar imejaa vibanda vya mpesa, vijiwe vya madalali, n'a vijana wavaa vibukta

Kuna haja ya serikali kutoa wito watu wasikimbilie Dar wabaki mikoani wachape kazi na majobless konk wa Dar wapelekwe /waradishwe mikoani wakalime au kuvua samaki.

Vijana wa Dar 28yrs anawaza kibukta, pensi, sendo na chips wote hawa wanatakiwa wapelekwe vijijini wakalime.
Wakuja ..huwezi kupaelewa Dar we rudi zako kilwa masoko kavue samaki
 
Vibanda vya mama lishe, Tigo pesa n vijiwe vya boda ndio sifa za majiji makubwa, Nairobi kuna Kibera na Eastleigh, kuna Gashie na Athi river, kuna wenye kipato kikubwa sana huko Highland, Westgate na Karura.
Ushamba wako umekuja kutoka Kigoma na Adventure, umeshukia kwa shemeji yako Kigogo sambusa ukafika kariakoo na posta na coco beach maana WAHA hamuwezi kuja Dar bila kuwasalimu ndugu zenu wanao uza madafu kule then ukajihisi umeimaliza Dar, bado sana hata huijui kabisa.
Kwahiyo na wewe kutembea kwako koote bado unaona dar ni bonge la jiji!
inamaana Kigogo,coco beach na kariakoo sio dar?
 
Dar siyo Jiji, Lilongwe ndio jiji, case closed.

Sijatembea Dar, mimi nipo Namanyere mpakani na DRC.
 
Kwaiyo nyie wa mikoani ndo mnaexposure?
Wengine tupo dar mkuu! sio lazima kuishi dar ndio usifie ujinga! Jiji letu bado sana linapewa sifa nyingi zisiokuwa na uhalisia.

Mji ni mchafu sana,miuondombinu ya hovyo mno! hata Msasani, Masaki, kunduchi bado kuna maeneo ya hovyo tu machafu na ya Kiswahili sana.
 
Unaishi Dar sehemu gani?
Wewe unataka upajue kwangu panakuhusu nini? tukubali tu tunaishi kwenye jiji la kawaida tu kama miji mingine ya Harare, Maputo, Kinshasa etc. Tofauti na sifa unaopewa mji huu! mji haujapangwa kabisa kwa sehem kubwa,miuondombinu ya hovyo mno, ujenzi holela kila mtu anajijengea tu kuna nduguyangu pale Kigamboni mji mwema amejenga kwenye eneo lake la ukubwa wa 7 kwa 5.

Serikali ingeenda ikajifunza hata pale Abuja Nigeria namna ya kupanga mji.
 
Hizi nyuzi za kuiponda Dar zimekuwa nyingi...au ni mpango wa kutuzuia tusije Dar? Sasa kwataarifa yenu sisi wa mkoani tunakujaaaa dar , tumewagunduaa [emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Inategemea unafananisha Dar na mji gani. Ila kwa hapa Afrika Mashariki na kati imepitwa na Nairobi na Kinshasa tu. Ni ndoto ya wazambia, malawi, DRC, Burundi na Rwanda kufika Dar. Kitu pekee ambacho Dar imekosa ni mpangilio wa mji kwa maeneo mengi. Ukitoa Posta, Kkoo, Masaki na mitaa mingine ya kishua ni kuwa huku kwingine hakuna mpangilio wowote. Huu ujenzi wa kiholela umeharibu sana jiji
 
Kama haijawah kufika Dar brain inatengeneza image kwamba Dar ni bonge la mji kumbe sio

Binafsi before sijafika Dar nilidhani Dar nzima inafanana na Posta, Kariakoo au Makumbusho yana watu wanaishi kwenye apartments kali mixer nyumba za maana.

Kumbe Dar imejaa vibanda vya mpesa, vijiwe vya madalali, n'a vijana wavaa vibukta

Kuna haja ya serikali kutoa wito watu wasikimbilie Dar wabaki mikoani wachape kazi na majobless konk wa Dar wapelekwe /waradishwe mikoani wakalime au kuvua samaki.

Vijana wa Dar 28yrs anawaza kibukta, pensi, sendo na chips wote hawa wanatakiwa wapelekwe vijijini wakalime.
Hakuna kiatu kinachowatosha watu wote, hivyo hata Dar es salaam haiwezekani ikapendwa na watu wote.

Dar es salaam kweli sio nzuri kihivyo ila huwezi kulinganisha na mkoa wowote hapa Tanzania.

Hata hivyo haimaanishi kuwa Dar es salaam ni nzuri katika kila kitu kuliko mikoa mengi.

ila kiujumla Dar es salaam ndio Tanzania.

Ndio maana unaona kuna uzi unashindanisha Dar es salaam na Nairobi

Unadhani hawakuona mikoa mingine Tanzania??
 
Kama haijawah kufika Dar brain inatengeneza image kwamba Dar ni bonge la mji kumbe sio

Binafsi before sijafika Dar nilidhani Dar nzima inafanana na Posta, Kariakoo au Makumbusho yana watu wanaishi kwenye apartments kali mixer nyumba za maana.

Kumbe Dar imejaa vibanda vya mpesa, vijiwe vya madalali, n'a vijana wavaa vibukta

Kuna haja ya serikali kutoa wito watu wasikimbilie Dar wabaki mikoani wachape kazi na majobless konk wa Dar wapelekwe /waradishwe mikoani wakalime au kuvua samaki.

Vijana wa Dar 28yrs anawaza kibukta, pensi, sendo na chips wote hawa wanatakiwa wapelekwe vijijini wakalime.
Shida una ujinga pia,

Hivi huko uliko maeneo yote yanafanana?

Kwa nini udhanie kuwa DSM maeneo yote yapo kama posta?
 
Wengine tupo dar mkuu! sio lazima kuishi dar ndio usifie ujinga! Jiji letu bado sana linapewa sifa nyingi zisiokuwa na uhalisia.

Mji ni mchafu sana,miuondombinu ya hovyo mno! hata Msasani, Masaki, kunduchi bado kuna maeneo ya hovyo tu machafu na ya Kiswahili sana.
Wewe unaishi sehemu gani Kati ya hizo sehemu chafu?
 
Wewe unaona Dar Kuna miundombinu gani ya barabara kuifikia hiyo Lilongwe? Sijataja Blantyre.

Onyesha Interchange kama hizo hapo Dampo la Dar
Hujatembea popote mkuu. Bado kama akili yako inaona Lilongwe kuna nafuu basi tafuta hela utembee bado sana hujafika penye nafuu
 
Ni yangu Mimi au ndio uhalisia wake? Huoni hata matokeo ya sensa lugha yanayoongea?

Hiyo Dar itakuwa Jiji kubwa Kwa watu wengi ila sio Kwa ubora wa Maisha na mambo kama hayo.

Moja ya Miji Bora ya kuishi ijayo ni Dodoma.
Yaani wewe umeongea ufala sana

Katika mikoa ya ovyo Tanzania ikiwemo na Dodoma.

Ukiacha na pale mjini ambapo ni kasehemu kadogo sana , sehemu nyingine zote hakuna la maana.

Ukitaka ujue Dodoma hakuna la maana angalia watumishi waliohamishwa kwenda huko

Kila weekend lazima waje mjini kuja kusafisha macho
 
Kwani watu wanahamia Dom Vijijini au Mjini? Ring road Moja tuu ya Dom hakuna Dar nzima

Dom ndio Jiji la Kisasa lijalo Kwa nyanja zote,Dar mtasalia Dampo kubwa tuu.
 
Wewe unataka upajue kwangu panakuhusu nini? tukubali tu tunaishi kwenye jiji la kawaida tu kama miji mingine ya Harare, Maputo, Kinshasa etc. Tofauti na sifa unaopewa mji huu! mji haujapangwa kabisa kwa sehem kubwa,miuondombinu ya hovyo mno, ujenzi holela kila mtu anajijengea tu kuna nduguyangu pale Kigamboni mji mwema amejenga kwenye eneo lake la ukubwa wa 7 kwa 5.

Serikali ingeenda ikajifunza hata pale Abuja Nigeria namna ya kupanga mji.
Sasa wewe unahama kwenye mada, ulianza kulinganisha DSM na mikoa mingine ya Tanzania, sasa unaenda kwenye miji ya nchi nyingine.

Hakuna anayesema DSM ndio mji bora kuliko yote Afrika, pia hakuna anayesema kila kitu cha DSM ni kizuri kuliko mikoani.

Pia haiwezekani wote tuipende DSM, ndio maana kuna watu wanahamia mikoani na nchi nyingine na wengine wanakuja DSM
 
Kwani watu wanahamia Dom Vijijini au Mjini? Ring road Moja tuu ya Dom hakuna Dar nzima

Dom ndio Jiji la Kisasa lijalo Kwa nyanja zote,Dar mtasalia Dampo kubwa tuu.

Ukitaka ujue DSM ndio best, nenda pale stand ya Magufuli halafu angalia magari yanayotoka na kuingia kila siku

Halafu lete mfano wa stand mfano wa hiyo Tanzania.

Hii inaonesha kuwa watu wengi mno wanapapenda DSM kuliko wasiopapenda.

Mtu akizaliwa mkoani ni ngumu kuzoea maisha ya hapa hasa akija akiwa hana ajira rasmi
 
Back
Top Bottom