Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapozungumzia ubora wa Maisha unakuwa unawaza vitu kama vipi?Ni yangu Mimi au ndio uhalisia wake? Huoni hata matokeo ya sensa lugha yanayoongea?
Hiyo Dar itakuwa Jiji kubwa Kwa watu wengi ila sio Kwa ubora wa Maisha na mambo kama hayo.
Moja ya Miji Bora ya kuishi ijayo ni Dodoma.
Dodoma ipi yenye ukame? 😂😂😂😂Wewe kweli ni chizi
Dodoma huko kwenye ukame na vumbi nikaishi mimi? Hata unipe nyumba ya BURE kabisa siwezi kuishi Dodoma hata kama nimeajiriwa na serikali nikalazimishwa niende Dodoma ni bora niache kazi
Unaishi Dar sehemu gani?Mimi nipo dar mkuu! acha ujinga kudhani kila anaishi dar lazima aisifie.
Endelea kufanya maboresho hiyo miundombinu yakoDodoma ipi yenye ukame? 😂😂😂😂
Nani akupe nyumba ya Bure acha kuota wewe.
Dodoma ni Mji wenye Kasi kubwa ya Ongezeko la watu Kwa Sasa Kwa sababu inazidi kufanyiwa maboresho kimiundombini.
Kuna popobawaHizi nyuzi za kuiponda Dar zimekuwa nyingi...au ni mpango wa kutuzuia tusije Dar? Sasa kwataarifa yenu sisi wa mkoani tunakujaaaa dar , tumewagunduaa [emoji16][emoji16]
Sasa na mbeya ni Jiji la namna gani?Kwani Kuna mtu amesema Kuna Mkoa utaipita Dar.
Ila ukweli utasalia kwamba Dar is Big Slum na Kwa taarifa Yako tuu shobo za watu kuhamia Dar hazipo tena ,ilikuwa Zamani wakati mikoani hakuna Miundombinu na Huduma ila Kwa Sasa the story is telling something opposite.
Kwaiyo nyie wa mikoani ndo mnaexposure?Wanaujinga mwingi sana! halafu hawataki hata kutembea kidogo hata baadhi ya nchi za Africa tu wanaona dar ni bonge la jiji Africa yote.
Kuna mjinga mmoja hapo amesema koko beach sasa sijui kuna lipi la ajabu pale zaidi ya mihogo na mishikaki.Aende Durban KwaZulu-Natal akaangalie beach zilivo.
Vibanda vya mama lishe, Tigo pesa n vijiwe vya boda ndio sifa za majiji makubwa, Nairobi kuna Kibera na Eastleigh, kuna Gashie na Athi river, kuna wenye kipato kikubwa sana huko Highland, Westgate na Karura.Kama haijawah kufika Dar brain inatengeneza image kwamba Dar ni bonge la mji kumbe sio
Binafsi before sijafika Dar nilidhani Dar nzima inafanana na Posta, Kariakoo au Makumbusho yana watu wanaishi kwenye apartments kali mixer nyumba za maana.
Kumbe Dar imejaa vibanda vya mpesa, vijiwe vya madalali, n'a vijana wavaa vibukta
Kuna haja ya serikali kutoa wito watu wasikimbilie Dar wabaki mikoani wachape kazi na majobless konk wa Dar wapelekwe /waradishwe mikoani wakalime au kuvua samaki.
Vijana wa Dar 28yrs anawaza kibukta, pensi, sendo na chips wote hawa wanatakiwa wapelekwe vijijini wakalime.
Dar inachangia pato la Taifa karibu kwa asilimia 80, wakazi wa Dar wanakaribia milion sita - soko kubwa. Vingine ni safa hasi za majiji, kama majiji mengine ulimwenguni, ingawaje kwenye nchi zinazoendelea hasi ni kubwa zaidi.Kama haijawah kufika Dar brain inatengeneza image kwamba Dar ni bonge la mji kumbe sio
Binafsi before sijafika Dar nilidhani Dar nzima inafanana na Posta, Kariakoo au Makumbusho yana watu wanaishi kwenye apartments kali mixer nyumba za maana.
Kumbe Dar imejaa vibanda vya mpesa, vijiwe vya madalali, n'a vijana wavaa vibukta
Kuna haja ya serikali kutoa wito watu wasikimbilie Dar wabaki mikoani wachape kazi na majobless konk wa Dar wapelekwe /waradishwe mikoani wakalime au kuvua samaki.
Vijana wa Dar 28yrs anawaza kibukta, pensi, sendo na chips wote hawa wanatakiwa wapelekwe vijijini wakalime.
fly over ndio ina fanya mji kuwa jiji la maana?Dar ni Jiji Kwa kulinganisha na Mbeya,Mwanza,Dodoma na Miji ya hivyo.
Dar is overrated,hapa ni Lilongwe-Malawi angalia miundombinu Bora View attachment 2834292View attachment 2834293View attachment 2834294
"Leka amatingo angukukoma"Nyinyi watu wa mikoani kuiponda Dar mnajisikia raha ila sisi watu wa Dar tukiiponda mikoa yenu mnasema tunaringa , tunawanyanyapa na mengine mengi tu mnasema
Haya endeleeni kuiponda Dar yetu sisi tumeshazoea
Kuna mwaka nilienda Mbeya nilipofika Airport nikaona ndege zinatua na kupaa katika barabara za tope nilishangaa sana
Kwa macho yangu watu zaidi ya milioni 10 wapo DarDar inachangia pato la Taifa karibu kwa asilimia 80, wakazi wa Dar wanakaribia milion sita - soko kubwa. Vingine ni safa hasi za majiji, kama majiji mengine ulimwenguni, ingawaje kwenye nchi zinazoendelea hasi ni kubwa zaidi.
Kwaiyo uto tupicha tutatu unamaanisha nini?
Lilongwe ni sawa na kamji kama Chato.Asilimia 80 ya mapato ya serikali yanatoka Dar halafu mtu analeta ushamba wake hapa kutufananisha na Lilongwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dar watu wana ishi kama kuku sio kwenye apartments za gorofwni wala wa uswahili .wenye furaha ni wachache sana na wanawake wa Dar ni omba omba hatari
Kwa hizo picha unaweza kulinganisha Dar na Lilongwe?Dar ni Jiji Kwa kulinganisha na Mbeya,Mwanza,Dodoma na Miji ya hivyo.
Dar is overrated,hapa ni Lilongwe-Malawi angalia miundombinu Bora View attachment 2834292View attachment 2834293View attachment 2834294