Dar es Salaam ni mji wa kawaida ila unakuzwa sana

Dar es Salaam ni mji wa kawaida ila unakuzwa sana

UNADHARAU Dar wakati hadi Mboga mnazolima huko mikoani mnategemea kuja kuuza Dar?
 
Ni yangu Mimi au ndio uhalisia wake? Huoni hata matokeo ya sensa lugha yanayoongea?

Hiyo Dar itakuwa Jiji kubwa Kwa watu wengi ila sio Kwa ubora wa Maisha na mambo kama hayo.

Moja ya Miji Bora ya kuishi ijayo ni Dodoma.
Unapozungumzia ubora wa Maisha unakuwa unawaza vitu kama vipi?
 
Wewe kweli ni chizi

Dodoma huko kwenye ukame na vumbi nikaishi mimi? Hata unipe nyumba ya BURE kabisa siwezi kuishi Dodoma hata kama nimeajiriwa na serikali nikalazimishwa niende Dodoma ni bora niache kazi
Dodoma ipi yenye ukame? 😂😂😂😂

Nani akupe nyumba ya Bure acha kuota wewe.

Dodoma ni Mji wenye Kasi kubwa ya Ongezeko la watu Kwa Sasa Kwa sababu inazidi kufanyiwa maboresho kimiundombini.
 
Dodoma ipi yenye ukame? 😂😂😂😂

Nani akupe nyumba ya Bure acha kuota wewe.

Dodoma ni Mji wenye Kasi kubwa ya Ongezeko la watu Kwa Sasa Kwa sababu inazidi kufanyiwa maboresho kimiundombini.
Endelea kufanya maboresho hiyo miundombinu yako
 
Kwani Kuna mtu amesema Kuna Mkoa utaipita Dar.

Ila ukweli utasalia kwamba Dar is Big Slum na Kwa taarifa Yako tuu shobo za watu kuhamia Dar hazipo tena ,ilikuwa Zamani wakati mikoani hakuna Miundombinu na Huduma ila Kwa Sasa the story is telling something opposite.
Sasa na mbeya ni Jiji la namna gani?
 
Wanaujinga mwingi sana! halafu hawataki hata kutembea kidogo hata baadhi ya nchi za Africa tu wanaona dar ni bonge la jiji Africa yote.

Kuna mjinga mmoja hapo amesema koko beach sasa sijui kuna lipi la ajabu pale zaidi ya mihogo na mishikaki.Aende Durban KwaZulu-Natal akaangalie beach zilivo.
Kwaiyo nyie wa mikoani ndo mnaexposure?
 
Kama haijawah kufika Dar brain inatengeneza image kwamba Dar ni bonge la mji kumbe sio

Binafsi before sijafika Dar nilidhani Dar nzima inafanana na Posta, Kariakoo au Makumbusho yana watu wanaishi kwenye apartments kali mixer nyumba za maana.

Kumbe Dar imejaa vibanda vya mpesa, vijiwe vya madalali, n'a vijana wavaa vibukta

Kuna haja ya serikali kutoa wito watu wasikimbilie Dar wabaki mikoani wachape kazi na majobless konk wa Dar wapelekwe /waradishwe mikoani wakalime au kuvua samaki.

Vijana wa Dar 28yrs anawaza kibukta, pensi, sendo na chips wote hawa wanatakiwa wapelekwe vijijini wakalime.
Vibanda vya mama lishe, Tigo pesa n vijiwe vya boda ndio sifa za majiji makubwa, Nairobi kuna Kibera na Eastleigh, kuna Gashie na Athi river, kuna wenye kipato kikubwa sana huko Highland, Westgate na Karura.
Ushamba wako umekuja kutoka Kigoma na Adventure, umeshukia kwa shemeji yako Kigogo sambusa ukafika kariakoo na posta na coco beach maana WAHA hamuwezi kuja Dar bila kuwasalimu ndugu zenu wanao uza madafu kule then ukajihisi umeimaliza Dar, bado sana hata huijui kabisa.
 
Kama haijawah kufika Dar brain inatengeneza image kwamba Dar ni bonge la mji kumbe sio

Binafsi before sijafika Dar nilidhani Dar nzima inafanana na Posta, Kariakoo au Makumbusho yana watu wanaishi kwenye apartments kali mixer nyumba za maana.

Kumbe Dar imejaa vibanda vya mpesa, vijiwe vya madalali, n'a vijana wavaa vibukta

Kuna haja ya serikali kutoa wito watu wasikimbilie Dar wabaki mikoani wachape kazi na majobless konk wa Dar wapelekwe /waradishwe mikoani wakalime au kuvua samaki.

Vijana wa Dar 28yrs anawaza kibukta, pensi, sendo na chips wote hawa wanatakiwa wapelekwe vijijini wakalime.
Dar inachangia pato la Taifa karibu kwa asilimia 80, wakazi wa Dar wanakaribia milion sita - soko kubwa. Vingine ni safa hasi za majiji, kama majiji mengine ulimwenguni, ingawaje kwenye nchi zinazoendelea hasi ni kubwa zaidi.
 
Nyinyi watu wa mikoani kuiponda Dar mnajisikia raha ila sisi watu wa Dar tukiiponda mikoa yenu mnasema tunaringa , tunawanyanyapa na mengine mengi tu mnasema

Haya endeleeni kuiponda Dar yetu sisi tumeshazoea

Kuna mwaka nilienda Mbeya nilipofika Airport nikaona ndege zinatua na kupaa katika barabara za tope nilishangaa sana
"Leka amatingo angukukoma"
 
Dar inachangia pato la Taifa karibu kwa asilimia 80, wakazi wa Dar wanakaribia milion sita - soko kubwa. Vingine ni safa hasi za majiji, kama majiji mengine ulimwenguni, ingawaje kwenye nchi zinazoendelea hasi ni kubwa zaidi.
Kwa macho yangu watu zaidi ya milioni 10 wapo Dar

Hii milioni 6 ni siasa za serikali

Huyo kafikia mbagala anadai tayari kaifahamu Dar!
 
Sasa na mbeya ni Jiji la namna gani?
Beautiful City
20231014_154909.jpg
20231011_121105.jpg
20231006_161305.jpg
20231005_131806.jpg
20230717_205130.jpg
20230615_132813.jpg
20230615_130920.jpg
20230519_093831.jpg
20230326_112535.jpg
20230304_185547.jpg
1262083438.jpg
 
Dar watu wana ishi kama kuku sio kwenye apartments za gorofwni wala wa uswahili .wenye furaha ni wachache sana na wanawake wa Dar ni omba omba hatari
 
Dar watu wana ishi kama kuku sio kwenye apartments za gorofwni wala wa uswahili .wenye furaha ni wachache sana na wanawake wa Dar ni omba omba hatari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom