Dar es Salaam ni mji wa kawaida ila unakuzwa sana

Dar es Salaam ni mji wa kawaida ila unakuzwa sana

Mimi jwetu Dar, sijakuelewa hoja yako haswa ni nini? Umechanganya mambo chungu nzima.

Twende taratibu wenye jiii letu tukupe majibu.
Majibu yapi Bimkubwa kwani anasema uongo? hakuna chochote cha ajabu kwenye mji huu ni vile tu watu hawana exposure hawataki kutembea hata kidogo kwahiyo wanaona wanaishi kwenye bonge la jiji kumbe mji wa kawaida tu.
 
Unasema Dar Sio Jiji
Unaenda Kusifia Lilongwe ndio Jiji Kweli Una akili!!
Au umekurupuka Dar Ulinganishe na Lilongwe?
Kama kuna Mambo Huyaelewi Dar sawa au Jiji Huridhiki nalo Sawa ila Kwenda Kuilinganisha na Lilongwe huo ni Utoto
 
Utakitaka uijue dsm ingia karakoram Upottee kwanza urudi hapa tongee.


Kiukweli kama si majukumu ningetoka dsm nikaishi mji mwingine na maisha yaendelee

Dsm sio ishu ya kuwa jiji dsm Inakera sana.

Kurushiwa maji machado, yaani mji huwez hata ukatoka ukafanya evening walk.

Huwez ukatoka uende kwenye busting ukakae usome.kitabu.

Mji kelele.
Uchawi
Wizi
Ubakaji
Uchangudoa
Foleni
Kama unaishi mbagala au gongolamboto hayo ni ya kawaida

Nenda masaki uone kama Kuna ujinga huo
 
Kwani Kuna mtu amesema Kuna Mkoa utaipita Dar.

Ila ukweli utasalia kwamba Dar is Big Slum na Kwa taarifa Yako tuu shobo za watu kuhamia Dar hazipo tena ,ilikuwa Zamani wakati mikoani hakuna Miundombinu na Huduma ila Kwa Sasa the story is telling something opposite.
Vizuri kama unafahamu kuwa hakuna mkoa utakaokuja kuipita Dar

Hayo mengine ni yako wewe
 
Vizuri kama unafahamu kuwa hakuna mkoa utakaokuja kuipita Dar

Hayo mengine ni yako wewe
Ni yangu Mimi au ndio uhalisia wake? Huoni hata matokeo ya sensa lugha yanayoongea?

Hiyo Dar itakuwa Jiji kubwa Kwa watu wengi ila sio Kwa ubora wa Maisha na mambo kama hayo.

Moja ya Miji Bora ya kuishi ijayo ni Dodoma.
 
Ni yangu Mimi au ndio uhalisia wake? Huoni hata matokeo ya sensa lugha yanayoongea?

Hiyo Dar itakuwa Jiji kubwa Kwa watu wengi ila sio Kwa ubora wa Maisha na mambo kama hayo.

Moja ya Miji Bora ya kuishi ijayo ni Dodoma.
Wewe kweli ni chizi

Dodoma huko kwenye ukame na vumbi nikaishi mimi? Hata unipe nyumba ya BURE kabisa siwezi kuishi Dodoma hata kama nimeajiriwa na serikali nikalazimishwa niende Dodoma ni bora niache kazi
 
Mimi nipo dar mkuu! acha ujinga kudhani kila anaishi dar lazima aisifie.
Unaposema Dar hakuna cha ajabu unamaanisha nini? Ajabu kwako ni kitu gani?

Ukiondoa Dar kuna mkoa gani mwingine anaishi barozi kutoka nchi za nje au Waziri wa wizara yoyote?

Unaweza kuniambia gharama ya kununua nyumba maeneo yafuatayo?

Masaki
Oysterbay na
Mbezi beach

Niambie nikusikie halafu niambie mkoa gani mwingine unakaribia bei hizo
 
Back
Top Bottom