Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

Dar ipi unayo izungumzia wewe?! Mkuu [emoji4] kimoyo moyo ni vice versa [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Sina sababu ya kuwa na kauli mbili, ya moyoni na ya hadharani, nilichosema ni hicho.

Kwenye maisha yangu nimepita Dar mara mbili tu na sijavutiwa kuishi. Dar mpaka upazoee, ulizoea mkoani hekaheka za Dar huziwezi
 
Vyote ulivyotaja ni kweli but yuh don't enjoy life at all around there ! Apart from traffic jams nothing is good in Dar budder ,I can dare tell yuh a person living in Arusha,Mwanza or Kahama got the power to enjoy the region than yuh do, Dar is beautiful due to the high infrastractures only that .
 
Nacheka Kwa dharau life is simple quoted from Godzilla R.I.P
 
Sina sababu ya kuwa na kauli mbili, ya moyoni na ya hadharani, nilichosema ni hicho.

Kwenye maisha yangu nimepita Dar mara mbili tu na sijavutiwa kuishi. Dar mpaka upazoee, ulizoea mkoani hekaheka za Dar huziwezi
Nilikuja dar first time miongo miwili na nusu iliyo pita nikiwa A_level baadae nikachaguliwa ku join chuo kikuu dar so ilini chukua muda ku adapt life style ya dar ma traffic jam kugombea daladala washikaji walishangaa mm kutembea from Udsm to mabibo Kwa lege yaaah mpaka uzoee mji karb dar es salaam TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Hakuna tajiri mkoani anayeweza kutajirika bila cinnection na watu wa Dar.Iwe kununua au kuuza bidhaa ama eneo lolote lile linalohusiana na kuingiza pesa kubwa.
Mafukara dar wapo wengi kwakuwa wanaingia kila siku mafukara 60000 kusaka fursa.
 
Kariakoo, manzese, jangwani, kiwalani, buguruni, kumejaa maskini wa kutisha. Ila hawataki kuyoka dar kujaribu maisha sehemu nyingine.
 
Majiji makubwa kote duniani always gharama za maisha, uwekezaji na n.k zipo juu. Majiji kama New York, Paris, London, Johannesburg, Nairobi na n.k usitegemee ukaenda kuishi sehemu hizo alaf ukakuta maisha ni mdebwedo. Dar es salaam hakuna kitu utakacho kitaka utakosa.
 
Kariakoo, manzese, jangwani, kiwalani, buguruni, kumejaa maskini wa kutisha. Ila hawataki kuyoka dar kujaribu maisha sehemu nyingine.
Kwenye matajiri masikini hawakosi and vice versa. Hakuna jiji linalokosa vitongoji maskini alaf hiyo masikini wa kutisha umeweka chumvi tu huna lolote. Hayo maeneo watu wameishi vizazi kwa vizazi na maisha yao yanaenda huo umasikini wa kutisha umeupima kwa tool gani?!! Tusidanganyane fursa za kiuchumi zinazopatikana mikoani ni kilimo, ufugaji, labda na uchimbaji wa madini zaidi ya hapo ni kuendesha bodaboda tu hakuna viwanda wala biashara za kueleweka. Ukitaka kuona umasikini uliokithiri tembelea mikoani na wilaya zake familia zikakula mlo mmoja tu, watoto wanaenda shule pekupeku, watu wanakaa wiki hawaogi kwa kukosa maji, asubuhi unakutana na mtoto anaenda shule aisee hatamaniki
 
Dar ukiwa na uwakika wa kidebe cha unga tu dem ana hamia kwako bila kumuomba ila sio huku mikoani huwezi pata dem kisa msosi sababu misosi imezagaa tu
Kwa taarifa yako muda huu nipo hapa wilaya moja mkoani Dodoma wananchi wamepanga foleni ofisin ya mkuu wa wilaya wanasubiria chakula cha msaada acha kudanganya watuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huenda nitaishi siku moja, maana si kwamba napachukia pabaya ila kuna vitu vitu dah inabidi uzoee, joto kali na mimi natokea mkoa wa baridi, ujanja ujanja, yaani dar hata kupanda daladala mpaka uwe mjanja.

Ukiwa masikini ndo kabisa, nina mdogo wangu hapo, maisha yao ya ovyo yaani kakibaba ka mchele wanakula familia nzima.

Mi mkoani nimejizoelea kula kusaza bhana[emoji28]
 
Ni kweli mkuu ukimkopesha mtu elfu kumi kulipa mtapelekana polisi sema watu wanaona kama wapo new York ukitoa elfu kumi kwenye daladala kati kati ya mwezi kila mtu anakuangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…