Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

Dar ipi unayo izungumzia wewe?! Mkuu [emoji4] kimoyo moyo ni vice versa [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Sina sababu ya kuwa na kauli mbili, ya moyoni na ya hadharani, nilichosema ni hicho.

Kwenye maisha yangu nimepita Dar mara mbili tu na sijavutiwa kuishi. Dar mpaka upazoee, ulizoea mkoani hekaheka za Dar huziwezi
 
Yaan takriban nusu muongo Sasa sijasafir kwenda mkoa nilienda mkoa sio Siri naona pa kishamba sanaaaa pamekaa kishamba hakuna mzunguko wa pesa kabisa ukiwa police au mwalimu wa primary Au secondary unajiona umetusua maisha...

Dar ndio DUBAI ya Tanzania NDIO Washington DC ama New York City ndio Johannesburg ndio Amsterdam ya Tanzania dar es salaam 😂😂😂😂🤣🤣🤣TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 🇹🇿 maisha ni rahisi MNO kutoboa kuliko sehemu yeyote TANZANIA

1. POPULATION ina fevor kutokana na population kua Caucasoid in nature.......

2. Government makao makuu haina ubishi dar ndio Tanzania na Dar es salaam TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

3. Financially 💰🤑 haina ubishi kua Tanzania dar es salaam TANZANIA NDIO mkoa pekee unao changia Kwa kiwango kikubwa Pato la taifa Kwa kukusanya mapato....

4. Fursa nyingi sana sema tu watu wengi hawajui ndio maana Kuna mapolice , ma doctor na WALIMU wengi WALIO acha ajira na wapo hapa mjini dar es salaam

5. Ni ndoto za watu wengi wa mikoani kuishi Dar es salaam TANZANIA 🇹🇿🇹🇿 na mtu akifa bila kufika dar es salaam lazima ajilaumu 🤣🤣🤣🤣😂😂😂

Mkuu yapo mengi mkuu 😊🤓🤓🤓
Vyote ulivyotaja ni kweli but yuh don't enjoy life at all around there ! Apart from traffic jams nothing is good in Dar budder ,I can dare tell yuh a person living in Arusha,Mwanza or Kahama got the power to enjoy the region than yuh do, Dar is beautiful due to the high infrastractures only that .
 
Vyote ulivyotaja ni kweli but yuh don't enjoy life at all around there ! Apart from traffic jams nothing is good in Dar budder ,I can dare tell yuh a person living in Arusha,Mwanza or Kahama got the power to enjoy the region than yuh do, Dar is beautiful due to the high infrastractures only that .
Nacheka Kwa dharau life is simple quoted from Godzilla R.I.P
 
Sina sababu ya kuwa na kauli mbili, ya moyoni na ya hadharani, nilichosema ni hicho.

Kwenye maisha yangu nimepita Dar mara mbili tu na sijavutiwa kuishi. Dar mpaka upazoee, ulizoea mkoani hekaheka za Dar huziwezi
Nilikuja dar first time miongo miwili na nusu iliyo pita nikiwa A_level baadae nikachaguliwa ku join chuo kikuu dar so ilini chukua muda ku adapt life style ya dar ma traffic jam kugombea daladala washikaji walishangaa mm kutembea from Udsm to mabibo Kwa lege yaaah mpaka uzoee mji karb dar es salaam TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Hakuna tajiri mkoani anayeweza kutajirika bila cinnection na watu wa Dar.Iwe kununua au kuuza bidhaa ama eneo lolote lile linalohusiana na kuingiza pesa kubwa.
Mafukara dar wapo wengi kwakuwa wanaingia kila siku mafukara 60000 kusaka fursa.
 
Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wana stress, maisha duni ndio mana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya ufukara na vifo katika ngazi ya kaya ama familia.

Matajiri wachache wanaibeba DSM, ila watu wanateseka sana.

Watu wanaoishi DSM wanateseka sana na maisha. Ukiwa mtafutaji huwezi kukaa dsm mwezi mzima wakati maisha yako mwanza, Arusha, Iringa,Mbeya, Dodoma, Kahama.

DSM endeleeni kujifariji na starehe ya pombe na umalaya nje na hapo tokeni Maghettoni.

Watu wa DSM wengi hawana savings kwenye account zao maisha yao ni kauka nikuvae.

Ni hayo tu tukutane kwenye comments.

Benjamin Mkapa Stadium tarehe 20-10-2023 ntakuwa VIP B dadeki.

Za kichwa na mjegeje umejaa

Wadiz
Kariakoo, manzese, jangwani, kiwalani, buguruni, kumejaa maskini wa kutisha. Ila hawataki kuyoka dar kujaribu maisha sehemu nyingine.
 
Kaka Dar inaadvantage kwa mpambanaji sikatai ila kuwadanganya watu kwamba Dar ndo mkoa pekee watu wanatoboa wadanganye ambao hawajawahi kutembea! Tena miji kama Arusha,Njombe ,Kahama Mwanza na Dodoma ndo inafursa kubwa kwa watu wanaopambana kwa sasa! Dar chanagamoto kubwa ni gharama za kuanzisha mradi!
Majiji makubwa kote duniani always gharama za maisha, uwekezaji na n.k zipo juu. Majiji kama New York, Paris, London, Johannesburg, Nairobi na n.k usitegemee ukaenda kuishi sehemu hizo alaf ukakuta maisha ni mdebwedo. Dar es salaam hakuna kitu utakacho kitaka utakosa.
 
Kariakoo, manzese, jangwani, kiwalani, buguruni, kumejaa maskini wa kutisha. Ila hawataki kuyoka dar kujaribu maisha sehemu nyingine.
Kwenye matajiri masikini hawakosi and vice versa. Hakuna jiji linalokosa vitongoji maskini alaf hiyo masikini wa kutisha umeweka chumvi tu huna lolote. Hayo maeneo watu wameishi vizazi kwa vizazi na maisha yao yanaenda huo umasikini wa kutisha umeupima kwa tool gani?!! Tusidanganyane fursa za kiuchumi zinazopatikana mikoani ni kilimo, ufugaji, labda na uchimbaji wa madini zaidi ya hapo ni kuendesha bodaboda tu hakuna viwanda wala biashara za kueleweka. Ukitaka kuona umasikini uliokithiri tembelea mikoani na wilaya zake familia zikakula mlo mmoja tu, watoto wanaenda shule pekupeku, watu wanakaa wiki hawaogi kwa kukosa maji, asubuhi unakutana na mtoto anaenda shule aisee hatamaniki
 
Dar ukiwa na uwakika wa kidebe cha unga tu dem ana hamia kwako bila kumuomba ila sio huku mikoani huwezi pata dem kisa msosi sababu misosi imezagaa tu
Kwa taarifa yako muda huu nipo hapa wilaya moja mkoani Dodoma wananchi wamepanga foleni ofisin ya mkuu wa wilaya wanasubiria chakula cha msaada acha kudanganya watu😂😂
 
Nilikuja dar first time miongo miwili na nusu iliyo pita nikiwa A_level baadae nikachaguliwa ku join chuo kikuu dar so ilini chukua muda ku adapt life style ya dar ma traffic jam kugombea daladala washikaji walishangaa mm kutembea from Udsm to mabibo Kwa lege yaaah mpaka uzoee mji karb dar es salaam TANZANIA [emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Huenda nitaishi siku moja, maana si kwamba napachukia pabaya ila kuna vitu vitu dah inabidi uzoee, joto kali na mimi natokea mkoa wa baridi, ujanja ujanja, yaani dar hata kupanda daladala mpaka uwe mjanja.

Ukiwa masikini ndo kabisa, nina mdogo wangu hapo, maisha yao ya ovyo yaani kakibaba ka mchele wanakula familia nzima.

Mi mkoani nimejizoelea kula kusaza bhana[emoji28]
 
Ni kweli mkuu ukimkopesha mtu elfu kumi kulipa mtapelekana polisi sema watu wanaona kama wapo new York ukitoa elfu kumi kwenye daladala kati kati ya mwezi kila mtu anakuangalia
 
Back
Top Bottom