Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

Dooh last last week mmewasakama watu wa Mbea na Mbea Yao.. Leo wa daslam tumefikiwa [emoji24][emoji24].. tukatafute Chaka Gani Yallab tukajifiche
 
Bro eti una kiberiti chako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndugu yangu mhuni huyo Dar jua lilivyokali kweli utaweza weka kiberiti cha mavi mfukoni hilo fukuto lake hakuna sehemu utakaa mhuni huyo jamaa
 
Kuna maeneo ukipita Dar unasema Hawa wamiliki wa haya majengo na ofsi ni watanzania kweli? Masaki, Oestabey, Mikocheni, Mbezi Beach etc.. utajiri uliowekezwa kwenye maeneo hayo ni mkubwa sana .
 
Ku survive Dar sio mchezo. Nadhani watu sio masikini kihivyoo ila tu gharama za maisha Dar huwezi linganisha na mkoani.
 
Mbona hata msiba tu mpaka mnamsubiri Baba mdogo wa Dar es Salaam na siyo wa Mbinga .
Unaishi Mkoa hauna Ubalozi,hauna Airport hauna bandari hauna viwanda halafu unapiga kelele? . Yaani ufananishe Mkoa wa DSM na Mkoa gani Tz? Yaani Mtu umekuja Dar na ugonjwa wa Ngozi umeondoka ngozi Nyororo unapiga kelele? NAKUKUMBUSHA TU MATAJIRI WA HII NCHI WOTE LAZIMA WAWE NA MAKAZI DSM NA KAMA HANA UJUE HUYO SI TAJIRI MAANA UTAJIRI UPO CONNECTED NA ULAYA NA AMERIKA .
 
Umesahau kuongeza na karibu kila mtu ni mwizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…