toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Me sifanyi dhambi za hata shetani aanze kukuogopa….daaah aiseeUnashangaa, usikute hata huyo brother wako toughlendon_1 naye ana kibiriti cha msenge wake na anakinusa hivi sasa, muulize tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me sifanyi dhambi za hata shetani aanze kukuogopa….daaah aiseeUnashangaa, usikute hata huyo brother wako toughlendon_1 naye ana kibiriti cha msenge wake na anakinusa hivi sasa, muulize tu.
Unashangaa, usikute hata huyo brother wako toughlendon_1 naye ana kibiriti cha msenge wake na anakinusa hivi sasa, muulize tu.
Me sifanyi dhambi za hata shetani aanze kukuogopa….daaah aisee
Ndugu yangu mhuni huyo Dar jua lilivyokali kweli utaweza weka kiberiti cha mavi mfukoni hilo fukuto lake hakuna sehemu utakaa mhuni huyo jamaaBro eti una kiberiti chako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂 HatareeeNdugu yangu mhuni huyo Dar jua lilivyokali kweli utaweza weka kiberiti cha mavi mfukoni hilo fukuto lake hakuna sehemu utakaa mhuni huyo jamaa
Nacheka Kwa dharau life is simple quoted from Godzilla R.
Nikuwekee na beat kbsNacheka Kwa dharau life is simple quoted from Godzilla R.I.P
Nipo na pop corn 🍿🍿🍿🍿Nikuwekee na beat kbs
EnjoyyyyyNipo na pop corn 🍿🍿🍿🍿
Kwa taarifa yako muda huu nipo hapa wilaya moja mkoani Dodoma wananchi wamepanga foleni ofisin ya mkuu wa wilaya wanasubiria chakula cha msaada acha kudanganya watu
Kwa taarifa yako muda huu nipo hapa wilaya moja mkoani Dodoma wananchi wamepanga foleni ofisin ya mkuu wa wilaya wanasubiria chakula cha msaada acha kudanganya watu
Hizi mvua ndio zinaonesha miundombinu ilivo ya ovyoUkapimwe mkojo aisee!! Unaongelea Dar ya wapi? Aisee amka usingizini usije ukakojoa kitandani.
Mbona hata msiba tu mpaka mnamsubiri Baba mdogo wa Dar es Salaam na siyo wa Mbinga .Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wana stress, maisha duni ndio mana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya ufukara na vifo katika ngazi ya kaya ama familia.
Matajiri wachache wanaibeba DSM, ila watu wanateseka sana.
Watu wanaoishi DSM wanateseka sana na maisha. Ukiwa mtafutaji huwezi kukaa dsm mwezi mzima wakati maisha yako mwanza, Arusha, Iringa,Mbeya, Dodoma, Kahama.
DSM endeleeni kujifariji na starehe ya pombe na umalaya nje na hapo tokeni Maghettoni.
Watu wa DSM wengi hawana savings kwenye account zao maisha yao ni kauka nikuvae.
Ni hayo tu tukutane kwenye comments.
Benjamin Mkapa Stadium tarehe 20-10-2023 ntakuwa VIP B dadeki.
Za kichwa na mjegeje umejaa
Wadiz
Umesahau kuongeza na karibu kila mtu ni mwizi.Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wana stress, maisha duni ndio mana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya ufukara na vifo katika ngazi ya kaya ama familia.
Matajiri wachache wanaibeba DSM, ila watu wanateseka sana.
Watu wanaoishi DSM wanateseka sana na maisha. Ukiwa mtafutaji huwezi kukaa dsm mwezi mzima wakati maisha yako mwanza, Arusha, Iringa,Mbeya, Dodoma, Kahama.
DSM endeleeni kujifariji na starehe ya pombe na umalaya nje na hapo tokeni Maghettoni.
Watu wa DSM wengi hawana savings kwenye account zao maisha yao ni kauka nikuvae.
Ni hayo tu tukutane kwenye comments.
Benjamin Mkapa Stadium tarehe 20-10-2023 ntakuwa VIP B dadeki.
Za kichwa na mjegeje umejaa
Wadiz
Dar imedumaa sana kwa hekaheka, Nenda hapo jirani tu hapo kampala hata muuza box anao uhakika wa ada ya mwanaeDar mji wa hekaheka, kule mikoani ukifanikiwa kupata kajisehemu ukawekeza maisha ni matamu sana...