Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

Hapana supply ni kubwa kuliko demand na competition ni very high
 
Umeongea ukweli mtupu. Dar kuna masikini na hohehahe na kina pangupakavu
Ukiangalia maskini wa Dar na WA Mkoani aisee unawahirumia maana maskini wa mkoani ana kwake Sasa maskini wa Dar na like joto duu wanaoteseka sana.

Nimewahi ishi kwenye umaskini nikiwa Dar nafahamu vizuri sana na nisingetoka huenda ningeishia kuwa fukara aisee ,nashukuru Mungu Mkoani kumeniokoa maana sijui ingekuaje.

Ila Raha ya Dar ni mbususu Nje Nje.
 
Na washamba wapo wengi sana Dar ,wamejificha kwenye kivuli cha mji mashuhuri
 
Lkn hii tabia ipo karibu miji yote mikubwa duniani. Sehemu yenye matajiri wengi ina masikini wengi pia wa ajabu
Sasa shida inayopelekea hao maskini wa kutosha ni ulimbikeni wa kudhani maskini anaweza toboa huko Jijini.

Mkoani una hustle miaka michache unapata,Jijini unaweza hustle miaka yote Kwa vile cost of living ni kubwa.

Inafika mahala watu wanaanza kulala Nje
 
Daslam shule
 
Watu wana ishi kwenye mabati na nyuma kama store afu wanakuja kutamba wana ishi Dar
 
Dar es salaam is slowly becoming a dystopia. Na ni kweli watu wengi wanaishi nje ya malengo au kwa kutegemea kazi/shughuli zao. Inawezekana kabisa ingetokea lockdown kipindi cha COVID-19 tungeona uhalisia wa ugumu wa maisha ya DSM
 
Ukweli mtupu.
Dar sio ya watu lelemama, watu wavivu wavivu utakula wa chuya.Hakuna mkoa mzuri na rahisi kutoboa kama Dar.
 
Mkuu, hiyo kauli ina ukweli ndani yake ila ni watu wachahe ndio wenye asilimia ya kutoboa huku wengi wao wakishatoboa kuamua kujenga na kuishi pembezoni mwa jiji. Umaskini wa dar ni umaskini wa kukosa pesa mfukoni ila umaskini wa mkoani ni kukosa maarifa, pesa na sababu zinginezo ambazo sizifahamu sana.
 
Watu wanajifariji tuu, mimi kwa sasa sipo Dar, ila ukiongelea kwa ujumla dar ina advantage kubwa sana kwa mpambanaji.
Juz hapa jamaangu hana shule wala nini mjanja mjanja kwenye dili la kuuza simu ndogo izi kamtengeneza mchina kapiga milion 80, wakati jamaa kama yule angekuwa yupo simiyu huko angekuwa apeche alolo, Dar kwakweli imewatoa wapambanaji wengi sana, kina harmonize , diamond, marioo bila dar wangekuwa wapi ? Watu wanakuja na vizarau vyao kisa wana vialteza wanaziendesha mkoani huko ambavyo walikuja kuvifuata Dar na wakaomba waendeshewe mpaka kwa Matias ndio wapumue leo wanaleta dharau. Kisa kufanya kazi halmashauri na wamejenga vinyumba vyamkopo basi wanataka kila mtu awaheshimu kama wanavyoheshimiwa na wanakijiji.

Kuna bush moja nlienda nkaagiza nyama ya elfu 7 tu na zile bia zilikuwa kama sita nikaomba nishushiwe zote nideal nazo, wakasema ni za mwalimu na mwenyekiti alafu wakati nakula nyama mgambo akaja na wanakijiji wakaniweka kizuizini eti me ni nani, daah sa maisha hayo hadi lini ? Vitu vizuri vya walimu na wenyeviti 😂😂😂 kudadeki….
 
Sijawahi kutamani kuishi dar
 
Kaka siku ukienda kanda ya ziwa huko geita na kahama hutarudia tena kuongelea ujinga wa milon 80!
Watu wanafanya mining wanapata mamilioni wewe unazungumzia million 80!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…