Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

Dar watu wengi wanafanyia kazi kodi, chakula, usafiri! Hata mwenye mshahara mkubwa kiasi sio rahisi kuwa na saving! Na kama unapenda starehe zisizo na mpangilio ndo kabisa! Pia changamoto ya Dar ni ulimbukeni wa kuigana lifestyle na mambo kama hayo!

Ila kwa Dar ukiwa mtu wa malengo kuna fursa nyingi! Ila kuna pia kundi kubwa la wakazi wa Dar wanajua mkoani maisha hakuna, na watu wote ni mafukara. Ila ukibahatika kuja nae, hata Mwanza anaona wanaume wanavyojenga majumba wala hawana amawazo ya kuja kuishi Dar ananza kubadili mawazo!
Huku dar asilimia kubwa kuna vijana wa hovyo[emoji1787][emoji1787]
 
Bundle unalo la kutosha sana, sema tu ulikua busy
Hii kazi inaanza kukushinda

Ingilia basi hata kati kati hapo[emoji23]
😂😂😂😂 kuna comment nimesoma nimecheka sana!!!
Wewe unataka nipigwe na wanaume wa mikoani na nisutwe na wanaume wa dar nishakuona
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna comment nimesoma nimecheka sana!!!
Wewe unataka nipigwe na wanaume wa mikoani na nisutwe na wanaume wa dar nishakuona
[emoji23][emoji23][emoji23] umeanza uoga. Vichwa vilishapata moto hapo amekosekana tu mtu wa kuchochea[emoji23][emoji23]
 
JIJINI DASLAAM KAA MBALI NENDA KAHAMA TUACHE MZEE
 
BILA DAR HAKUNA TANZANIA HATA MKE WAKO ANATAMANI KUPATA MUME DAR KUWA NA ADABU NA DAR MBUNGE WAKO KAPANGA DAR HUKO HAJI MPAKA KAMPENI...DAR ES SALAAM NDIO PARADISO YA TANZANIA MJI UNAKUFANYA USILAZE UBONGO MJI WENYE MIPANGO YA MAISHA YAKO YOTE
 
Dar kila kitu ni fake, wanaume wao si marijali wa ukweli, wasanii wao ni fake, mademu wao ndiyo kabisaaaa, hawafai hata kuwasalimu. We umeona wapi mwanamme analilia kubinywa matako kama si Dar peke yake au sheikh anatembea na kibiriti kilichojaa mavi ya msenge wake yamechanganishwa na ubani, akihisi tu anammiss anakitoa mfukoni na kukinusa huku akisema Hewallaaaaaa!
Ha ha ha bro toughlendon_1 umesikia jamaa mbishi anavyosema wanaume wa dar eti mnatembea na kiberiti 😂😂😂😂
Ya kweli haya?
 
Hata wa mikoani hatuna savings huo ndo ukweli
Mikoani anaweza kuwa na saving interm of mbuzi,kondoo,ng'ombe,mahind na maharagwe!!!ambapo saa yoyote ana convert kuwa pesa tena pesa nyingi !! Mfano mtu ana emergency akipeleka ng'ombe mnada anarud na lak 6 mpaka milion moja
 
Alafu kitukingine nimezungua mikoa mingi hapa Tanzania ila town own tu mkuu, hakuna namna kila kitu kikubwa cha nchii hi kipo huku hiyo ni wazi kabisa kuwa dar kuna fursa nyingi, dar hata muuza chapati anatamba mzee lakini mikoani muuza chapati mnyonge tu mkuu, dar buyers and sellers wote kwa pamoja wapo wengi.

Dar kuna mtu anauza nyaya tu za usb hizi kwa jumla annyumba kali tu huko mbez na maisha mazuri tu, watoto wanaenda choo na nini, ila mkoani asingeweze kufanya ivyo….
Unawazungumzia hawa wenye magenge!? Hebu acheni mzaha jamani
 
Kabisa mkuu,

Kwenye usafiri ni kero tupu, Watu
wana jazwa na kushindiliwa kwenye Mwendokasi kama mapanya...
Usafiri na joto ni vitu vinavyonifanya nisiwe na hamu ya kurudi huko tena

Ila niliwah kukaa mbezi beach nilipapenda Sana hakuna joto,nikajichanganya nikaenda tabata Hilo joto lake kama kuzimu
 
Alafu kitukingine nimezungua mikoa mingi hapa Tanzania ila town own tu mkuu, hakuna namna kila kitu kikubwa cha nchii hi kipo huku hiyo ni wazi kabisa kuwa dar kuna fursa nyingi, dar hata muuza chapati anatamba mzee lakini mikoani muuza chapati mnyonge tu mkuu, dar buyers and sellers wote kwa pamoja wapo wengi.

Dar kuna mtu anauza nyaya tu za usb hizi kwa jumla annyumba kali tu huko mbez na maisha mazuri tu, watoto wanaenda choo na nini, ila mkoani asingeweze kufanya ivyo….
Nyanya zinatokea mkoani inakuwaje zishindwe kumtajirisha wa mkoani zimtajirishe wa dar?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wana stress, maisha duni ndio mana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya ufukara na vifo katika ngazi ya kaya ama familia.

Matajiri wachache wanaibeba DSM, ila watu wanateseka sana.

Watu wanaoishi DSM wanateseka sana na maisha. Ukiwa mtafutaji huwezi kukaa dsm mwezi mzima wakati maisha yako mwanza, Arusha, Iringa,Mbeya, Dodoma, Kahama.

DSM endeleeni kujifariji na starehe ya pombe na umalaya nje na hapo tokeni Maghettoni.

Watu wa DSM wengi hawana savings kwenye account zao maisha yao ni kauka nikuvae.

Ni hayo tu tukutane kwenye comments.

Benjamin Mkapa Stadium tarehe 20-10-2023 ntakuwa VIP B dadeki.

Za kichwa na mjegeje umejaa

Wadiz
Dar na Kanda ya Ziwa ndio Ina idadi kubwa ya maskini kuliko hata Mikoa inayotajwa ya maskini kama Singida.

Naunga mkono hoja
 
Dar watu wengi wanafanyia kazi kodi, chakula, usafiri! Hata mwenye mshahara mkubwa kiasi sio rahisi kuwa na saving! Na kama unapenda starehe zisizo na mpangilio ndo kabisa! Pia changamoto ya Dar ni ulimbukeni wa kuigana lifestyle na mambo kama hayo!

Ila kwa Dar ukiwa mtu wa malengo kuna fursa nyingi! Ila kuna pia kundi kubwa la wakazi wa Dar wanajua mkoani maisha hakuna, na watu wote ni mafukara. Ila ukibahatika kuja nae, hata Mwanza anaona wanaume wanavyojenga majumba wala hawana amawazo ya kuja kuishi Dar ananza kubadili mawazo!
Tena Kwa Sasa hivi Mimi Mkoa niliko watu hawana tena shobo za kuhamia mjini maana vitu basic vyote vinapatikana huko Huko Vijijini kama umeme,maji,Barabara,Huduma za Afya,Elimu.

Sasa mjini.labda Kama.kuna wasanii au timu kubwa zimekuja ila nothing else.

Zamani ilikuwa tunaenda Dar kushangaa magorofa,mataa na Barabara Kwa Sasa ziko mikoani Sasa mtu uje Dar kufanya nini hasa?

Yaacheni yaendelee kuwa maskini na nawahurumia waliozaliwa na kukulia huko kama umetokea familia maskini hesabu maumivu
 
Back
Top Bottom