Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

Mikoa yenye watu wenye umasikin wa kutopea inafahamika mkuu.

Ukimuona mtu kajenga Dar mheshim Sana ,, huko mkoani hata Fala anajenga .

Usichokijua TASAF ipo busy Zaid mikoani kuliko Dar
labda kama haujawahi kujenga. mtu anayejenga mkoani mheshimu kuliko anayejenga Dar. kwasababu samani hapo dAr zinauzwa bei ndogo sana kulinganisha na mkoani. Mungu amenisaidia nimejenga kote huko mikoani na Dar. bei ya nondo Dar ni chini sana kulinganisha na mkoani, bei ya cement, bei ya bati, ipo chini mno, ndivyo mnavyojifariji. lakini still, watu wa mikoani wanajenga. you know why? ni kwasababu spending ya mkoani ni ndogo kuliko ya Dar, ninyi hichohicho kidogo mnachokipata mnaspend sana kwenye usafiri, maji na vyakula. ndio maana unaona hata kujenga ni ngumu kwenu kwasababu pesa kuipata sio rahisi na hata ile unayoipata inaisha kizembe sana. nikupe tu mfano mmoja, mtu anayejenga nyumba Mbeya, Iringa au Dodoma, au hata singida, kigae safi, mheshimu sana, ukijua materials alizonunua ni gharama kuliko wewe ulizonunua bongo.

Dar es salaam unachimba popote unapata mchanga hata wa kufyatua tofali zako, mkoani tunaagiza malori na malori kufuata mchanga kwenye mabonde huko.
 
80% ya watu wa dar wana stress kali sana za maisha magumu ndo maana wanakunywa sana pombe zote hizo ni stress....dar ndo sehemu pekee mtu ana familia lakini anaishi kwa kuombaomba tu yaani asubuhi anaamka anaenda posta anakaa kijiweni jioni anaomba hela za kumpa mkewe!....dar ndo sehemu kundi la watu (kinondoni)linamtegemea mtu mmoja tu kuwanunulia bia mwaka mzima na kuwapa vinauli na hela za supu wakilewa!...watu hawajui kesho yao itakuwa vipi ila wanaona sifa tu kuwa wanaishi dar,wakisikia tu umetoka mkoani upo dar watakuganda uwape hela na kuwanunulia bia mpaka utaondoka bila kuaga...badilikeni sasa
hivi mambo yamebadilika majiji yameongezeka fursa zipo nyingi mikoani njooni mpige mishe mpate hela ..ukiwa ha hela dar ni karibu kutokea kokote utaenda utajenga na utakula bata time yoyote!..watu wengi tumeishi miaka mingi dar lakini tukashtuka tukaja machaka tunapiga hela na nikitaka kuja dar ni dk 0 nakula mwewe natua hapo bata ndefu na wana then nageuka zangu chunya!...shauri zenu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Upo pande zipi mkuu tusogee utupe connection? Maisha ni kuinuana
 
labda kama haujawahi kujenga. mtu anayejenga mkoani mheshimu kuliko anayejenga Dar. kwasababu samani hapo dAr zinauzwa bei ndogo sana kulinganisha na mkoani. Mungu amenisaidia nimejenga kote huko mikoani na Dar. bei ya nondo Dar ni chini sana kulinganisha na mkoani, bei ya cement, bei ya bati, ipo chini mno, ndivyo mnavyojifariji. lakini still, watu wa mikoani wanajenga. you know why? ni kwasababu spending ya mkoani ni ndogo kuliko ya Dar, ninyi hichohicho kidogo mnachokipata mnaspend sana kwenye usafiri, maji na vyakula. ndio maana unaona hata kujenga ni ngumu kwenu kwasababu pesa kuipata sio rahisi na hata ile unayoipata inaisha kizembe sana. nikupe tu mfano mmoja, mtu anayejenga nyumba Mbeya, Iringa au Dodoma, au hata singida, kigae safi, mheshimu sana, ukijua materials alizonunua ni gharama kuliko wewe ulizonunua bongo.
Tutabishana Sana, hata hivyo nyumba hazijengwi Kwa Samani
 
Matajiri namba 1 had 10 Duniani wanatoka nchi tajiri.

Matajiri namba 1 had 10 nchin wanatoka Dar.

Umeelewa au bado?

Labda Kama ushauri wako Una walenga waajiriwa.

Nikujuze kitu kimoja

Wafanyabiashara waliofanikiwa zaidi nchini wapo Dar

Wasanii waliofanikiwa zaidi nchini wapo Dar

Wanamichezo waliofanikiwa zaidi nchini wapo Dar

Wanasiasa waliofanikiwa zaidi nchini wapo Dar
Wewe upo kundi lipi kati ya hao uliowataja?
 
Mikoa yenye watu wenye umasikin wa kutopea inafahamika mkuu.

Ukimuona mtu kajenga Dar mheshim Sana ,, huko mkoani hata Fala anajenga .

Usichokijua TASAF ipo busy Zaid mikoani kuliko Dar
Nimekumbuka wimbo wa sikati tamaa rimix darasa ft Godzilla & joh makini

Hao wa mikoani hawawezi kukuelewa mkuu 😊😊 wanafananisha dar es salaam TANZANIA 🇹🇿🇹🇿 na mambo ya AJABU AJABU 😊😊
 
Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wana stress, maisha duni ndio mana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya ufukara na vifo katika ngazi ya kaya ama familia.

Matajiri wachache wanaibeba DSM, ila watu wanateseka sana.

Watu wanaoishi DSM wanateseka sana na maisha. Ukiwa mtafutaji huwezi kukaa dsm mwezi mzima wakati maisha yako mwanza, Arusha, Iringa,Mbeya, Dodoma, Kahama.

DSM endeleeni kujifariji na starehe ya pombe na umalaya nje na hapo tokeni Maghettoni.

Watu wa DSM wengi hawana savings kwenye account zao maisha yao ni kauka nikuvae.

Ni hayo tu tukutane kwenye comments.

Benjamin Mkapa Stadium tarehe 20-10-2023 ntakuwa VIP B dadeki.

Za kichwa na mjegeje umejaa

Wadiz
Nitapiga mtu hapa
 
Tutabishana Sana, hata hivyo nyumba hazijengwi Kwa Samani
zinajengwa kwa nini? kwa ugali? samani za ujenzi namaanisha building materials. kosoa grammar kwasababu umeshindwa kwenye hoja. ati mtu anakuja leo anasema kujenga Dar es salaam ni nguvu kuliko mkoani, ulishawahi kujenga koani ukauziwa cement iliyoongezwa karibu alfu tano juu ya ile inayouzwa Dsm wewe? misumari, bati hati watu tunanunua Dar na kupakia kwenye malori kuleta mkoani kwasababu maajenti wao huku wanatupiga na kutuchanganyika fake. hata hujui unaongea nini.
 
Lkn hii tabia ipo karibu miji yote mikubwa duniani. Sehemu yenye matajiri wengi ina masikini wengi pia wa ajabu
Nenda na
Mkuu dar huitaji mtaji wa pesa Mingi Kuna watu wanapiga mingo Kwa deals mbalimbali kisa tu wanawateja wengi mzigo unapewa bureeee kikubwa uaminifu mkuu 😊🤓😊😊🤓😊
Mpaka uijue hiyo mikondo. Information is power
 
kuna siku niliamua kutembea uswahilini, nikakaa sehemu wanakaanga mihogo just kuangalia wanunuaji na maisha yao, aisee, watu wananunua mihogo nadhani akila hiyo hadi usiku tena. hana milo mitatu. Dar es salaam watu wachache wana milo mitatu (breakfast, lunch na dinner). mikoani kama hauna milo mitatu umeamua wewe kwa uvivu wako tu, ina inawezekana. hebu nambie, mfano mtu anayeishi hata nzega, au kahama au hata mwanza tu, kwa furaha atalinganishwa na mtu wa dar?
Mkuu sisi dar hatuhami 🤣🤣🤣😂😂 nyinyi endeleeni kupeperusha 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Huko mikoani
 
Daslama!!?! we sio wa dar ww😂😂😂, Hamna mwenyeji wa dar au darslam akapaita daslama sijawahi sikia we kama sio wa njombe itakuwa katavi
Nimeandika tu hivyo nami huwa napenda kupaita daslama ulitaka niseme Dar au Dar es salaam mkuu ? Ila nasemaje me huku siondoki we sema yoote ila hakuna kona utanidanganya hapa mjini….
 
Mkuu sisi dar hatuhami 🤣🤣🤣😂😂 nyinyi endeleeni kupeperusha 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Huko mikoani
Kama ulivyosema mkuu me dar siondoki , dar ndio pamenipa kazi, dar pamenipa maisha siwez enda popote aisee…
 
Back
Top Bottom