Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

Bila kusumbuka ukitaka kujua DSM imejaa maskini igawe kijiografia na angalia places character na watu wake, DSM asilimia kubwa imejaa maskini ndiomana Tanzania ipo miongoni mwa nchi fukara Duniani, Anza na wilaya zake Kisha angalia demographics, social services, economic dimensions, na parameters kibao za kiuchumi dsm ni mkoa wa hovyo kwa umaskini, statistically the few shoulders the majority.

DSM umaskini umetapakaa kila Kona
 
Lkn hii tabia ipo karibu miji yote mikubwa duniani. Sehemu yenye matajiri wengi ina masikini wengi pia wa ajabu
kuan wakati Dar es salaam huwa nakuja, kwa basi na nikifika hapo nakuwa sina usafiri binafsi. sometimes badala ya bolt naamua kupanda mwendokasi. aisee, watu wana shida, sura zinatia huruma, unaona kabisa hawana uhakika wa maisha, wana hasira, ukimkanyaga bahati mbaya omba msamaha haraka, la sivyo kinanuka. njooni mikoani huku mtafute maisha na mitaji pimbi nyie. harakati kibao, matokeo sifuri.
 
Bila kusumbuka ukitaka kujua DSM imejaa maskini igawe kijiografia na angalia places character na watu wake, DSM asilimia kubwa imejaa maskini ndiomana Tanzania ipo miongoni mwa nchi fukara Duniani, Anza na wilaya zake Kisha angalia demographics, social services, economic dimensions, na parameters kibao za kiuchumi dsm ni mkoa wa hovyo kwa umaskini, statistically the few shoulders the majority.

DSM umaskini umetapakaa kila Kona
Taja mkoa unaoishi tuone namna mlivyo matajiri huko.
 
kuan wakati Dar es salaam huwa nakuja, kwa basi na nikifika hapo nakuwa sina usafiri binafsi. sometimes badala ya bolt naamua kupanda mwendokasi. aisee, watu wana shida, sura zinatia huruma, unaona kabisa hawana uhakika wa maisha, wana hasira, ukimkanyaga bahati mbaya omba msamaha haraka, la sivyo kinanuka. njooni mikoani huku mtafute maisha na mitaji pimbi nyie. harakati kibao, matokeo sifuri.
Yes upo sahihi kabisa ukitaka kumaizi au kugundua umasikini wa watu wa Dar moja kati ya viashiria nenda kwenye vituo vya Mwendo kasi watu wamejazwa kwenye mabasi kama inzi. Au mpishane kauli kidogo na mtu wa dar utaporomoshewa matusi balaa. Watu wamechanganyikiwa wamejawa na stress balaa!
Dar ukiwa huna pesa na joto kali maisha ni magumu mno kuliko moto wa kifuu
 
Kushobokea Dar ilikuwa zamani kaka! usidanganye watu! Kilichokuwa kinawafanya watu wapende kuhamia Dar ni kukosa huduma za msingi kwenye mikoa yao! Ila kwa upande mwingine bado Dar ndo Dubai ya Tanzania!
Mkuu,
Tupo pamoja mkuu 😊😊
 
Yes upo sahihi kabisa ukitaka kumaizi au kugundua umasikini wa watu wa Dar moja kati ya viashiria nenda kwenye vituo vya Mwendo kasi watu wamejazwa kwenye mabasi kama inzi. Au mpishane kauli kidogo na mtu wa dar utaporomoshewa matusi balaa. Watu wamechanganyikiwa wamejawa na stress balaa!
Dar ukiwa huna pesa maisha ni magumu mno kuliko moto wa kifuu
Wiki mbili zilizo pita nililazimika kutumia usafir wa mwendokasi kutokea Gerezani kariakoo kwenda kimara......

Nilijikuta nachukia Tatizo LETU wabongo ni poor menagement Huwa hatuwezi kusimamia vitu.....

Nilishangaa hao raia wa kimara, mbezi na viunga vyake wanapata tabu sanaaa
 
Yes upo sahihi kabisa ukitaka kumaizi au kugundua umasikini wa watu wa Dar moja kati ya viashiria nenda kwenye vituo vya Mwendo kasi watu wamejazwa kwenye mabasi kama inzi. Au mpishane kauli kidogo na mtu wa dar utaporomoshewa matusi balaa. Watu wamechanganyikiwa wamejawa na stress balaa!
Dar ukiwa huna pesa na joto kali maisha ni magumu mno kuliko moto wa kifuu
ukipita kwenye vituo vya mwendokasi, watu wamenyong'onyeaaa wameshika tama, wamevunjika moyo unaona kabisa huyu anahitaji msaada hana furaha. ndio maana mnajazana kwenye makanisa ya kina mwamposa kuomba miujiza everyday,na hamnawahi kuipata. hivi tangu mwamposa aanze kuwauzia mafuta hawa watu, umasikini si ungekuwa umeisha Dar es salaam kama sio nabii wa uongo yule? angalia tu, wameona makanisa ya uongo ndio kimbilio kwenda kupunguza stress. fanyeni kazi au njooni mikoani mtafute mtaji mkirudi huko na mitaji mizuri mtafanya biashara kubwa na mtatoka haraka.
 
80% ya watu wa dar wana stress kali sana za maisha magumu ndo maana wanakunywa sana pombe zote hizo ni stress....dar ndo sehemu pekee mtu ana familia lakini anaishi kwa kuombaomba tu yaani asubuhi anaamka anaenda posta anakaa kijiweni jioni anaomba hela za kumpa mkewe!....dar ndo sehemu kundi la watu (kinondoni)linamtegemea mtu mmoja tu kuwanunulia bia mwaka mzima na kuwapa vinauli na hela za supu wakilewa!...watu hawajui kesho yao itakuwa vipi ila wanaona sifa tu kuwa wanaishi dar,wakisikia tu umetoka mkoani upo dar watakuganda uwape hela na kuwanunulia bia mpaka utaondoka bila kuaga...badilikeni sasa
hivi mambo yamebadilika majiji yameongezeka fursa zipo nyingi mikoani njooni mpige mishe mpate hela ..ukiwa ha hela dar ni karibu kutokea kokote utaenda utajenga na utakula bata time yoyote!..watu wengi tumeishi miaka mingi dar lakini tukashtuka tukaja machaka tunapiga hela na nikitaka kuja dar ni dk 0 nakula mwewe natua hapo bata ndefu na wana then nageuka zangu chunya!...shauri zenu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Wiki mbili zilizo pita nililazimika kutumia usafir wa mwendokasi kutokea Gerezani kariakoo kwenda kimara......

Nilijikuta nachukia Tatizo LETU wabongo ni poor menagement Huwa hatuwezi kusimamia vitu.....

Nilishangaa hao raia wa kimara, mbezi na viunga vyake wanapata tabu sanaaa
Wale wapo jehanum hawajijui tu.
 
kuna siku niliamua kutembea uswahilini, nikakaa sehemu wanakaanga mihogo just kuangalia wanunuaji na maisha yao, aisee, watu wananunua mihogo nadhani akila hiyo hadi usiku tena. hana milo mitatu. Dar es salaam watu wachache wana milo mitatu (breakfast, lunch na dinner). mikoani kama hauna milo mitatu umeamua wewe kwa uvivu wako tu, ina inawezekana. hebu nambie, mfano mtu anayeishi hata nzega, au kahama au hata mwanza tu, kwa furaha atalinganishwa na mtu wa dar?
 
Matajiri namba 1 had 10 Duniani wanatoka nchi tajiri.

Matajiri namba 1 had 10 nchin wanatoka Dar.

Umeelewa au bado?

Labda Kama ushauri wako Una walenga waajiriwa.

Nikujuze kitu kimoja

Wafanyabiashara waliofanikiwa zaidi nchini wapo Dar

Wasanii waliofanikiwa zaidi nchini wapo Dar

Wanamichezo waliofanikiwa zaidi nchini wapo Dar

Wanasiasa waliofanikiwa zaidi nchini wapo Dar
 
Bora umesema ukweli,jiji lina ramani nyingi sana za kutokea na za kuingilia
I wish ningekua na jicho la kuziona izo fursa. Kibaya zaidi wanaosema Dar kuna michongo nikiwaomba code wanaanza siasa. Anyway kama ramani zinasomeka upande huo tupeane connection mkuu life limenipiga sana
 
Matajiri namba 1 had 10 Duniani wanatoka nchi tajiri.

Matajiri namba 1 had 10 nchin wanatoka Dar.

Umeelewa au bado?

Labda Kama ushauri wako Una walenga waajiriwa.

Nikujuze kitu kimoja

Wafanyabiashara waliofanikiwa zaidi nchini wapo Dar

Wasanii waliofanikiwa zaidi nchini wapo Dar

Wanamichezo waliofanikiwa zaidi nchini wapo Dar

Wanasiasa waliofanikiwa zaidi nchini wapo Dar
mnaishia kusema tu hivyo, kwamba matajiri wakubwa wote wanatoka Dar, ila mifuko yenu bado inato amachozi. hizo ni pesa zao sio zako. na watu wa mikoani ambako raw materials zipo wanaweza kuwa wanapata pesa zao kuliko wewe. hao matajiri wote, mfano Mo, viwandani kwao huko mshahara wanaowalipa ninyi watu wa Dar, ni masikitiko. mnapigwa na jua, hata hela ya maji sometimes inawapiga chenga, ila mnajifariji na magorofa, magari mazuri na utajiri wa wengine. sisi hatuongelei hao wanaoishi masaki,oysterbay, na middle class za mikocheni na mbezi etc, hao hawaishi Dsm hata kama wapo dsm. wanaishi dunia ya pili. tunakuongelea wewe unayeishi kimara, kibamba, gongolamboto, mbagala, manzese, magomeni, kigamboni na kwengine, wewe ambaye badala ya kupanda gari yenye kiyoyozi, imesimama kwenye kituo cha basi umepgiwa na jua hata hela ya kitambaa cha kufuta jasho huna, hela ya pikipiki huwezi kumudu kila siku mwezi mzima, hela ya bold au uba huwezi kumudu. unagombania basi na bado unajipa moyo kwa utajiri wa wenzako.
 
Mikoa yenye watu wenye umasikin wa kutopea inafahamika mkuu.

Ukimuona mtu kajenga Dar mheshim Sana ,, huko mkoani hata Fala anajenga .

Usichokijua TASAF ipo busy Zaid mikoani kuliko Dar
 
Back
Top Bottom