Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wanastress, maisha duni ndiomana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya ufukara na vifo katika ngazi ya kaya ama familia.

Matajiri wachache wanaibeba DSM, ila watu wanateseka sana.

Watu wanaoishi DSM wanateseka sana na maisha. Ukiwa mtafutaji huwezi kukaa dsm mwezi mzima wakati maisha yako mwanza, Arusha, Iringa,Mbeya, Dodoma, Kahama.

DSM endeleeni kujifariji na starehe ya pombe na umalaya nje na hapo tokeni Maghettoni.

Watu wa DSM wengi hawana savings kwenye account zao maisha yao ni kauka nikuvae.

Ni hayo tu tukutane kwenye comments.

Benjamin Mkapa Stadium tarehe 20-10-2023 ntakuwa VIP B dadeki.

Za kichwa na mjegeje umejaa

Wadiz
Kwani burooo uko pande ipi mbona unavimba sana?
 
[emoji1787][emoji1787]Dar kuna kazi kibao ww hata uchawa unalipa dar... Na mtu akiwa na chumba akanunua kasofa na ka tv akamalicmzia na subwufa ...ahaaa huyo anajiona katoboooaaa
Dar watu wengi wanafanyia kazi kodi, chakula, usafiri! Hata mwenye mshahara mkubwa kiasi sio rahisi kuwa na saving! Na kama unapenda starehe zisizo na mpangilio ndo kabisa! Pia changamoto ya Dar ni ulimbukeni wa kuigana lifestyle na mambo kama hayo!

Ila kwa Dar ukiwa mtu wa malengo kuna fursa nyingi! Ila kuna pia kundi kubwa la wakazi wa Dar wanajua mkoani maisha hakuna, na watu wote ni mafukara. Ila ukibahatika kuja nae, hata Mwanza anaona wanaume wanavyojenga majumba wala hawana amawazo ya kuja kuishi Dar ananza kubadili mawazo!
 
Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wanastress, maisha duni ndiomana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya ufukara na vifo katika ngazi ya kaya ama familia.

Matajiri wachache wanaibeba DSM, ila watu wanateseka sana.

Watu wanaoishi DSM wanateseka sana na maisha. Ukiwa mtafutaji huwezi kukaa dsm mwezi mzima wakati maisha yako mwanza, Arusha, Iringa,Mbeya, Dodoma, Kahama.

DSM endeleeni kujifariji na starehe ya pombe na umalaya nje na hapo tokeni Maghettoni.

Watu wa DSM wengi hawana savings kwenye account zao maisha yao ni kauka nikuvae.

Ni hayo tu tukutane kwenye comments.

Benjamin Mkapa Stadium tarehe 20-10-2023 ntakuwa VIP B dadeki.

Za kichwa na mjegeje umejaa

Wadiz
Dar ukiwa na uwakika wa kidebe cha unga tu dem ana hamia kwako bila kumuomba ila sio huku mikoani huwezi pata dem kisa msosi sababu misosi imezagaa tu
 
Daslama inawachengua sana wakuja, mbona mikoani watu ndio maskini sana ? Mkuu umetumia data gani ? Daslama mtu anaweza kuja hana hata mia na akawa tajiri, na hata watu ni wengi pia so hiyo inatosha kueleza kuwa kutakuwa na kitu tu kwanini watu wakimbilie dar ? Mkuu simba inayokupeleka vip B , kwanini isiwepo kantalamba huko ? Kila mkoa unamaskini mkuu, kila mtu ashinde match zake, maskin wengi yes ila na maboss wengi, ukitoka vip b nenda hata kule kama unaenda bahari beach kashangae utaacha kutukana watu hovyo hovyo mkuu…
Kaka nijuavyo mimi kwa Dar wakuja ndo wana maisha mfano Wachaga, Wakinga, Waha, Wasukuma, Wahaya ambao sio wenyeji wa mkoa huo! Au wewe unakaa mtaa gani hapa Dar?

Mikoani watu wanafanya shughuli nyingi tu kama za kilimo, utalii, ufugaji, uchimbaji madini, halafu wewe unasema watu hawatoboi!

Miji kama Mbeya, Arusha, Dodoma au Mwanza isingekuwa inakua na kuimarika kama watu wasingekuwa wanafanikiwa kimaisha katika miji hiyo!
 
Ukweli mchungu sana.
Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wanastress, maisha duni ndiomana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya ufukara na vifo katika ngazi ya kaya ama familia.

Matajiri wachache wanaibeba DSM, ila watu wanateseka sana.

Watu wanaoishi DSM wanateseka sana na maisha. Ukiwa mtafutaji huwezi kukaa dsm mwezi mzima wakati maisha yako mwanza, Arusha, Iringa,Mbeya, Dodoma, Kahama.

DSM endeleeni kujifariji na starehe ya pombe na umalaya nje na hapo tokeni Maghettoni.

Watu wa DSM wengi hawana savings kwenye account zao maisha yao ni kauka nikuvae.

Ni hayo tu tukutane kwenye comments.

Benjamin Mkapa Stadium tarehe 20-10-2023 ntakuwa VIP B dadeki.

Za kichwa na mjegeje umejaa

Wadiz
 
Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wanastress, maisha duni ndiomana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya ufukara na vifo katika ngazi ya kaya ama familia.

Matajiri wachache wanaibeba DSM, ila watu wanateseka sana.

Watu wanaoishi DSM wanateseka sana na maisha. Ukiwa mtafutaji huwezi kukaa dsm mwezi mzima wakati maisha yako mwanza, Arusha, Iringa,Mbeya, Dodoma, Kahama.

DSM endeleeni kujifariji na starehe ya pombe na umalaya nje na hapo tokeni Maghettoni.

Watu wa DSM wengi hawana savings kwenye account zao maisha yao ni kauka nikuvae.

Ni hayo tu tukutane kwenye comments.

Benjamin Mkapa Stadium tarehe 20-10-2023 ntakuwa VIP B dadeki.

Za kichwa na mjegeje umejaa

Wadiz
Dar ni mkoa ambao upo unlimited masikini wapo wengi na matqjiri ni wengi ambao ni vijana kuna mahali chips zinauzwa 1000 ukienda sehemu nyingine 7000

Mikoani wananchi wengi wana uchumi unaofanana na huduma nyingi hazina utofauti wa bei
 
Yaan takriban nusu muongo Sasa sijasafir kwenda mkoa nilienda mkoa sio Siri naona pa kishamba sanaaaa pamekaa kishamba hakuna mzunguko wa pesa kabisa ukiwa police au mwalimu wa primary Au secondary unajiona umetusua maisha...

Dar ndio DUBAI ya Tanzania NDIO Washington DC ama New York City ndio Johannesburg ndio Amsterdam ya Tanzania dar es salaam 😂😂😂😂🤣🤣🤣TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 🇹🇿 maisha ni rahisi MNO kutoboa kuliko sehemu yeyote TANZANIA

1. POPULATION ina fevor kutokana na population kua Caucasoid in nature.......

2. Government makao makuu haina ubishi dar ndio Tanzania na Dar es salaam TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

3. Financially 💰🤑 haina ubishi kua Tanzania dar es salaam TANZANIA NDIO mkoa pekee unao changia Kwa kiwango kikubwa Pato la taifa Kwa kukusanya mapato....

4. Fursa nyingi sana sema tu watu wengi hawajui ndio maana Kuna mapolice , ma doctor na WALIMU wengi WALIO acha ajira na wapo hapa mjini dar es salaam

5. Ni ndoto za watu wengi wa mikoani kuishi Dar es salaam TANZANIA 🇹🇿🇹🇿 na mtu akifa bila kufika dar es salaam lazima ajilaumu 🤣🤣🤣🤣😂😂😂

Mkuu yapo mengi mkuu 😊🤓🤓🤓
 
Mikoani nimeishi, Dar nimeishi...
Ila Dar ipewe heshima yake...

Umaskini na Utajiri lazima iongoze sababu ndiyo Jiji la kwanza na lenye Idadi kubwa ya watu....
 
Yaan takriban nusu muongo Sasa sijasafir kwenda mkoa nilienda mkoa sio Siri naona pa kishamba sanaaaa pamekaa kishamba hakuna mzunguko wa pesa kabisa ukiwa police au mwalimu wa primary Au secondary unajiona umetusua maisha...

Dar ndio DUBAI ya Tanzania NDIO Washington DC ama New York City ndio Johannesburg ndio Amsterdam ya Tanzania dar es salaam 😂😂😂😂🤣🤣🤣TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 🇹🇿 maisha ni rahisi MNO kutoboa kuliko sehemu yeyote TANZANIA

1. POPULATION ina fevor kutokana na population kua Caucasoid in nature.......

2. Government makao makuu haina ubishi dar ndio Tanzania na Dar es salaam TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

3. Financially 💰🤑 haina ubishi kua Tanzania dar es salaam TANZANIA NDIO mkoa pekee unao changia Kwa kiwango kikubwa Pato la taifa Kwa kukusanya mapato....

4. Fursa nyingi sana sema tu watu wengi hawajui ndio maana Kuna mapolice , ma doctor na WALIMU wengi WALIO acha ajira na wapo hapa mjini dar es salaam

5. Ni ndoto za watu wengi wa mikoani kuishi Dar es salaam TANZANIA 🇹🇿🇹🇿 na mtu akifa bila kufika dar es salaam lazima ajilaumu 🤣🤣🤣🤣😂😂😂

Mkuu yapo mengi mkuu 😊🤓🤓🤓
Kushobokea Dar ilikuwa zamani kaka! usidanganye watu! Kilichokuwa kinawafanya watu wapende kuhamia Dar ni kukosa huduma za msingi kwenye mikoa yao! Ila kwa upande mwingine bado Dar ndo Dubai ya Tanzania!
 
Back
Top Bottom