Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Uzuri WA dsm ni kupata utelezi kirahisi .......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumbuka ile ngoma ya Whozu na Bill Nas ile sijui wanasemaje paleDar kwa biashara ni mji mzuri sana.
Dar huwez kukosa kazi ukiwa na ujuzi labda kama umezubaa.
Wanasemaga, Kazi na dawa....Dar kuna viwanja wewe, na vimechangamka ileile...Elements, Samaki Samaki, Kitambaa cheupe, unataka kusema nn ww??
Dar kuna watoto wa kila namna.
Nimezaliwa hapahapa na nitambana hapahapa, nitahamia mkoani nikipata dili la maana, hata nikitaka kulima ntakuja huko mkoani kulima nikimaliza ntarudi Dar.
Chezea Dar ww.
Watu wa Dar hamjui kuandika au? Umeshindwa kabisa kuweka aya?Daslama inawachengua sana wakuja, mbona mikoani watu ndio maskini sana ? Mkuu umetumia data gani ? Daslama mtu anaweza kuja hana hata mia na akawa tajiri, na hata watu ni wengi pia so hiyo inatosha kueleza kuwa kutakuwa na kitu tu kwanini watu wakimbilie dar ? Mkuu simba inayokupeleka vip B , kwanini isiwepo kantalamba huko ? Kila mkoa unamaskini mkuu, kila mtu ashinde match zake, maskin wengi yes ila na maboss wengi, ukitoka vip b nenda hata kule kama unaenda bahari beach kashangae utaacha kutukana watu hovyo hovyo mkuu…
kwa mtu mmojammoja, Dar es Salaam ni mji uliojaa watu wanaotia huruma, hawana matumaini, unaona kabisa ana njaa hana uhakika wa maisha, sura zinaonyesha wazi. hivi ni kwanini?Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wanastress, maisha duni ndiomana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya ufukara na vifo katika ngazi ya kaya ama familia.
Matajiri wachache wanaibeba DSM, ila watu wanateseka sana.
Watu wanaoishi DSM wanateseka sana na maisha. Ukiwa mtafutaji huwezi kukaa dsm mwezi mzima wakati maisha yako mwanza, Arusha, Iringa,Mbeya, Dodoma, Kahama.
DSM endeleeni kujifariji na starehe ya pombe na umalaya nje na hapo tokeni Maghettoni.
Watu wa DSM wengi hawana savings kwenye account zao maisha yao ni kauka nikuvae.
Ni hayo tu tukutane kwenye comments.
Benjamin Mkapa Stadium tarehe 20-10-2023 ntakuwa VIP B dadeki.
Za kichwa na mjegeje umejaa
Wadiz
mkuu, hapo Dar es salaam tumeishi more than 20 years, tumejenga, tumetafutia maisha ya awali hapo. ukweli ni kwamba, majority ya unaokutana nao sura zinaonyesha hawana furaha ya maisha, hawana uhakika wa chakula, pesa na kadhalika.Usiwadanganye watu hapa sie tupo Dar hapa hapa kikubwa kila mtu apamabane na hali yake hapo alipo! Ila kusema Dodoma au mkoani watu hawana maisha endelea kujidanganya! Nenda na zunguka Arusha,Mwanza au Kahama kama utarudi hapa kuandika ujinga tena!
Wanajifarij kupenda mpira kwenye vibanda umiza !!! Chaka mbayaHahahah Dar kuna kundi kubwa sana la watu ambao hawajui wanachofanya ila wanajua wanajua sana! La manyani kwa Dar ni kwa sehemu kubwa!
vijana wa kinondoni studio 😂😂Wanakuja kukusuta wakiwa wamevaa vile vipensi vyao kama vya Ali Kiba
True man yan daaah
Daslama!!?! we sio wa dar ww😂😂😂, Hamna mwenyeji wa dar au darslam akapaita daslama sijawahi sikia we kama sio wa njombe itakuwa kataviDaslama inawachengua sana wakuja, mbona mikoani watu ndio maskini sana ? Mkuu umetumia data gani ? Daslama mtu anaweza kuja hana hata mia na akawa tajiri, na hata watu ni wengi pia so hiyo inatosha kueleza kuwa kutakuwa na kitu tu kwanini watu wakimbilie dar ? Mkuu simba inayokupeleka vip B , kwanini isiwepo kantalamba huko ? Kila mkoa unamaskini mkuu, kila mtu ashinde match zake, maskin wengi yes ila na maboss wengi, ukitoka vip b nenda hata kule kama unaenda bahari beach kashangae utaacha kutukana watu hovyo hovyo mkuu…
Umeongea ukweli mtupu. Dar kuna masikini na hohehahe na kina pangupakavuAcha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wana stress, maisha duni ndio mana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya ufukara na vifo katika ngazi ya kaya ama familia.
Matajiri wachache wanaibeba DSM, ila watu wanateseka sana.
Watu wanaoishi DSM wanateseka sana na maisha. Ukiwa mtafutaji huwezi kukaa dsm mwezi mzima wakati maisha yako mwanza, Arusha, Iringa,Mbeya, Dodoma, Kahama.
DSM endeleeni kujifariji na starehe ya pombe na umalaya nje na hapo tokeni Maghettoni.
Watu wa DSM wengi hawana savings kwenye account zao maisha yao ni kauka nikuvae.
Ni hayo tu tukutane kwenye comments.
Benjamin Mkapa Stadium tarehe 20-10-2023 ntakuwa VIP B dadeki.
Za kichwa na mjegeje umejaa
Wadiz
Hizo sehemu nilizotaja napiga pesa, bado sijataja Masasi na Tunduru, DSM tunakuja kuchukua pesa pia na kurefresh tunakutana na wenye pesa wachache maskini wengi sana DSMKwani burooo uko pande ipi mbona unavimba sana?
kama mzunguko wa pesa ni mkubwa, mbona sasa hamna pesa? mikoani huku unapata pesa kirahisi kuliko hapo, unaishi kwa kupumuaHata mzunguko wa pesa ni mkubwa
Pesa ni mikakati wengi hawana mipango na mitajikama mzunguko wa pesa ni mkubwa, mbona sasa hamna pesa? mikoani huku unapata pesa kirahisi kuliko hapo, unaishi kwa kupumua