toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Mfano nliwah soma shule yenye watu wengi hapa tanzania yan wanafunzi hapo hapo kuna watu wa div one wengi na yenye zero yapo mengi piaLkn hii tabia ipo karibu miji yote mikubwa duniani. Sehemu yenye matajiri wengi ina masikini wengi pia wa ajabu