Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Dar ipi unayo izungumzia wewe?! Mkuu 😊 kimoyo moyo ni vice versa 🤣🤣😂😂Sijawahi kutamani kuishi dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar ipi unayo izungumzia wewe?! Mkuu 😊 kimoyo moyo ni vice versa 🤣🤣😂😂Sijawahi kutamani kuishi dar
Watu wanaoishi DSM wanateseka sana na maisha. Ukiwa mtafutaji huwezi kukaa dsm mwezi mzima wakati maisha yako mwanza, Arusha, Iringa,Mbeya, Dodoma, Kahama.
Exposure ni kitu kikubwa sana Kuna ndugu mmoja yupo Finland ni mtanzania mwenzetu...Sawa ila bahati mbaya hizo akili za kusovh matatizo ndio watu wengi wa Dar hawana.
Mkoani kunaweza.kuwa hakuna mzunguko mkubwa wa pesa ila.kama.uhakika wa kulala na kula upo hayo mengine yatatafutwa Kwa misimu.na utatokea vizuri tuu.
Na njia rahisi ya kutoka Kwa Mkoani ni Kilimo ila hapo Dar sijui njia rahisi ni ipi manaa Kila sehemu watu wamekaba.
Na huko ndiko walipoweka makazi hao unaowaita 'wakuja'ukitoka vip b nenda hata kule kama unaenda bahari beach kashangae utaacha kutukana watu hovyo hovyo mkuu…
Ndiko tunakoelekea.Kwenye masuala ya usalama wa chakula huko Kwa Wenzetu wako very strict ila bongo ni Bora liende.Exposure ni kitu kikubwa sana Kuna ndugu mmoja yupo Finland ni mtanzania mwenzetu...
Katika kubadilishana mawazo aliwai tamka ukitumia fursa za hapa nyumbani unatoboa kirahisi sana mfano Finland huwezi amka asbuh ukakaanga maandazi au kuchoma chapati au kufungua mama lishe au babalishe bila kufuata utaratibu....ila bongo dar es salaam unajianzishia kiholela holela
Mambo ni mengi muda mchache
Hiyo Hali ya umaskini ni zaidi ya nusu ya watu wa Dar.Dar kuna mzunguko mkubwa wa pesa
Kuna wale tumezaliwa Dar mpaka sasa tuko hapa na wale wamehamia hapa Dar kujitafuta lazima tutakubaliana;
Dar usipokuwa na kazi, biashara (mtaji), ujuzi au mishe yoyote ya kukuingizia kipato plus connection utaishi maisha ya kifukara sana
Na hata kama unaingiza kipato lakini ni kidogo utaishi maisha ya kimasikini pia
Ukitaka uone ufukara, umasikini na ugumu wa maisha ya Dar nenda uswahilini. Watu wanatia hadi huruma ukiangalia mwonekano, makazi na mfumo wa maisha wanaoishi inasikitisha
Watu wa Dar tukubali kujifunza fursa haziko tu hapa hata nje ya Dar fursa zipo usikubali kuishi kinyonge eti kisa uko jiji kubwa
Kuna wadau wamepiga hatua kubwa kimaisha hapa Dar lakini maokoto wanayakusanyia mikoani
Dar kwa biashara ni mji mzuri sana.
Dar huwez kukosa kazi ukiwa na ujuzi labda kama umezubaa.
Wanasemaga, Kazi na dawa....Dar kuna viwanja wewe, na vimechangamka ileile...Elements, Samaki Samaki, Kitambaa cheupe, unataka kusema nn ww??
Dar kuna watoto wewe wa kila namna.
Nimezaliwa hapahapa na nitambana hapahapa, nitahamia mkoani nikipata dili la maana, hata nikitaka kulima ntakuja huko mkoani kulima nikimaliza ntarudi Dar.
Chezea Dar ww.
Wee hujui faida ya mwendokasi! Unataka kuniambia kabla ya mwendokasi watu walikuwa hawashindiliwi kwenye daladala? Bora ushindiliwe kwenye mwendokasi utumie dakika 45 kutoka kimara hadi feri kuliko ilivyokuwa kwenye daladala unashindiliwa alafu unatumia masaa 3 hadi 4 kufika!Kabisa mkuu,
Kwenye usafiri ni kero tupu, Watu
wana jazwa na kushindiliwa kwenye Mwendokasi kama mapanya...
Nakubaliana naweHiyo Hali ya umaskini ni zaidi ya nusu ya watu wa Dar.
Mkoani Kuna umaskini ila sio wa kukosa makazi au chakula Sasa hapo Dar ,kula na kulala Kwa watu wengi ni shida
Eti kiswahili kingi umenichekesha sana nikakumbuka misemo pendwa ya misheni town ya Dar kama ile ya"Mwanangu nitakucheki mida kuna mishe naifukuzia" na misemo mingine ile ya machawa kama"Kiongozi unayumba hausomeki siku hizi"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah kuna kaukweli hapa! Njooni wana Dar es Salaam! Ila kusema kweli Dar kama hauwezi kupata fedha ya saving na baadae kuinvest hautakaa utoboe utabakia kuongea kiswahili kingi tu bila mafanikio mwaka nenda rudi!
"Kuna mchongo nausikilizia"Eti kiswahili kingi umenichekesha sana nikakumbuka misemo pendwa ya misheni town ya Dar kama ile ya"Mwanangu nitakucheki mida kuna mishe naifukuzia" na misemo mingine ile ya machawa kama"Kiongozi unayumba hausomeki siku hizi"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umemaliza huu ndio ukweli.Huu uzi una kila aina ya watu,waliokulia dsm wakatusulia dam,walio toka mkoani wakafanikiwa dsm,kuna waliokulia dsm ila hali tete wakaenda mkoani wakafanikiwa,na waliotoka mkoani wakaja dsm wakaangukia pua[emoji28].
Maisha ni popote pale unapopata maokoto,ila kwa fursa na harakati za kutosha dsm itabaki kuwa juu.
siku hizi wanofuga kisasa,wanolima,wanaochimba madini kwa tija wote wanatoka mijini,wavijijini wanababaisha tu kidesturiKaka nijuavyo mimi kwa Dar wakuja ndo wana maisha mfano Wachaga, Wakinga, Waha, Wasukuma, Wahaya ambao sio wenyeji wa mkoa huo! Au wewe unakaa mtaa gani hapa Dar?
Mikoani watu wanafanya shughuli nyingi tu kama za kilimo, utalii, ufugaji, uchimbaji madini, halafu wewe unasema watu hawatoboi!
Miji kama Mbeya, Arusha, Dodoma au Mwanza isingekuwa inakua na kuimarika kama watu wasingekuwa wanafanikiwa kimaisha katika miji hiyo!
hapa huu mtanange Hezbollah wasipoingilia kati dar kazi wanayoBoss la DP World njoo umalize mzozo huku, bandari unayoitaka ni ya wapi? Na kwanini?
Huu mtanange ni mkali ngoja tuone ila mpaka sasa takwimu zinaonesha mashambulizi kuelekea ukanda wa dar ni makali sana kutoka kwa wamikoani.