Dar es Salaam: Nyumba yapigwa mnada kwa kushindwa kulipa milioni 7

Dar es Salaam: Nyumba yapigwa mnada kwa kushindwa kulipa milioni 7

Kama biashara ilikuwa ngumu kwanini wasingerejesha pesa zote wabaki bila deni Yani unachukua pesa za watu harafu unatoa rejesho moja
Sasa kama pesa zote zimetumika kulipia pango pamoja na kununua mali za kuuza, hiyo hela wanaitoa wapi tena.
 
Niliona picha ya hiyo nyumba sehemu wahuni wamezurumu nyumba sio ya 7m ile hata familia wangeamua kuuza wenyewe huko kimara kwanza pana kiwanja kikubwa vile cha 7m daslm watu wezi sana....pana vitu tutavijua zaidi huko mbele...
Unaambiwa imeuzwa kwa thamani ya 23 milion.
 
Pumbavu swali gani unauliza inamaana majina ya mwanzo yakifanana tu tayari ni ndugu,mbwa mnaitumia jf vibaya
Mkuu unakosea kunitukana nataka unieleweshe tu kwa staha. Naomba kukuuliza hivi mwanajamvi mwenzetu Robert Heriel Mtibeli ana undugu na aliyekuwa rais wa Zimbabwe hayati Robert Mugabe? Kwasababu majina yao ya kwanza Robert yanafanana.
 
Makani yana mikopo mingi ya riba benki ya mkombozi pale mwenge ilifungwa baada ya kuwaujumu watu hivi vikoba viote tz vimeingilia kanisani kwa jina kupanda mbegu wachungaji kwenye peda husiwatanie bora hafe mtu
Bank ni ya Rc ,sawa lkn imefuta taratibu zote za kuanzisha bank,

sidhani km inahusiana na hayo mambo mengine.

La sivyo wasingeruhusiwa kuendelea kufungua matawi mengine nchini
 
Tukiwaambia Riba haifai mnatuona ss washamba hlf ni kanisa na waumini wake yni ndo uone sasa jinsi wagalatia walivokua hawana huruma na waumini wao

Laiti hii ingetokea kwa Waislamu comments zingekua zishafika 1000 uko ila kwasababu nyani haoni ............ basi wacha wamalizane wenyewe
Wewe muislam na wao wakristo wote ni wapumbavu tu hamjiyambui hakuna Mwafrika anayepaswa kuwa muislam au mkristo bali waarabu na wazungu wenye mila zao
 
Kakope kwa nduguyo huko

Ttzo watu wanapenda maisha ya ufakhari halafu hawana uwezo

Ridhika na unachokipata
Mimi nimeuliza swali nikiwa na maana yangu, Sina dhiki mkuu! Nataka jibu Ili nishuke mazima manake Kuna banks zinatapeli watu kuwa zinakopesha bila riba huku zikiwanunulia bidhaa wanazohitaji kwa bei ya juu!

Mimi Sina dhiki kama unavyohitaji. Kukopa kwa ndugu ni maisha ya ujima na ushamba wa miaka 1945
 
Huyu mwenzenu anataka kuuza kituo cha watoto yatima.
Waumini wa Msikiti wa Ijumaa Mwanza wamvaa Bim na nduguye Sheraly kuhusu shule ya Thaqafa na Msikiti wa Ijumaa

Na hawa Saudi Arabia waliogoma kuipa mkopo Pakistan ndugu zao katika imani nao vipi, tena wakawaelekeza IMF ambao wanatoza riba au hilo Saudi hawajui. Hapo Pakistan wametoka kukumbwa na mafuriko yaliyopata 40% ya nchi nzima. Saudi refuses to give Pakistan interest-free loan

Saudi Arabia inatoza riba vizuri tu kwa kuiita "commission", alafu nenda Amana bank uone kama unapewa hela bure.
World Bank to Get $750‐Million Loan From Saudi Arabia (Published 1974)

Hiyo sheria haitekelezeki kirahisi hivyo, na kukopa mtu halazimishwi wala kuweka rehani vitu hapangiwi. Ukikosa kujiongoza mwenyewe ukasubiri huruma utaumia. Tumia akili
Huyu mwamba nimemuuliza swali kuhusu ni wapi wanatoa mikopo bila riba nikitaka ajichanganye alete blah blah zake za benk za kipemba nikaona anaruka ruka tu eti anasema kakope kwa ndg! Dunia ya sasa watu wanaleta theories za kizamani eti kakope kwa ndg🤣🤣🤣! Mm nahitaji 200m niextend business yangu niende kwa ndg??
 
TAG =chagga gang. na ninawasiwasi hata hiyo taasisi itakuwa niya mchagaa .
watu wanamasihara na maisha ya watu ,deni la 7mil.unauza nyumba ya watu
Hatuna chagga gang mkuu, nchi hii imewahi kuwa na sukuma gang tu! Usisahaulishe watu! Ukitaka kuhusisha Wachagga na ukristo Anza na RC then KKKT (giant churches in TZ) then ufuate hayo makanisa ya kina Mwamposa n the likes
 
Mimi nimeuliza swali nikiwa na maana yangu, Sina dhiki mkuu! Nataka jibu Ili nishuke mazima manake Kuna banks zinatapeli watu kuwa zinakopesha bila riba huku zikiwanunulia bidhaa wanazohitaji kwa bei ya juu!

Mimi Sina dhiki kama unavyohitaji. Kukopa kwa ndugu ni maisha ya ujima na ushamba wa miaka 1945
Hizo banks unazozisema mm kma Muislamu pia sizikubali wanafanya utapeli kwa njia nyengine tu
 
Tukiwaambia Riba haifai mnatuona ss washamba halafu ni kanisa na waumini wake yaani ndo uone sasa jinsi Wagalatia walivokua hawana huruma na waumini wao

Laiti hii ingetokea kwa Waislamu comments zingekua zishafika 1000 uko ila kwasababu nyani haoni.

Basi wacha wamalizane wenyewe
Yaani mtu akopeshwe pesa yote hiyo ndani ya mwaka1 bila riba? Kwanza hiyo riba ni ndogo sana. Waache kutilia watu huruma bana.
 
Nimeelewa sasa, asante.

Kumbe mnachukia sana hizo mambo. Lakini mi naomba mkalitafakari kidogo isije kuwa hamkuelewa vizuri.

Inawezekana, riba haifai ukimkopesha ndugu yako katika shida zake. Fanya msaidie au akurudishie kiasi kilekile. Riba isiruhusiwe mikopo ya matibabu mfano.

Lakini kwa mkopo usioambatana na shida, mtu anaenda kufanyia kazi ya kumpa faida basi ahakikishe anakukumbuka katika sehemu ya faida yake. Riba iruhusiwe mikopo ya biashara. Kama kesi yetu ilivyo.

Mi sijizimagi data, dhamiri yangu naisikiliza.

Nikiangalia hata katika vitabu vitakatifu, ule mfano wa talanta tuliofundishwa. Ilionekana bora yule mtumwa angepelekaga hela yake kwa wale ma don wawekezaji wanaotoa riba (so riba ni halali) kuliko hivyo alivyoichimbia ardhini. Kwetu bongo ndio kama UTT Amis na hati fungani. Riba ni halali kwa misingi ya biashara. Yaani nikusaidie hela, ufanikiwe faida halafu urudishe ileile tena iloshuka thamani. Ni halali kweli.?
Kwanza riba ni haramu kwa waisilamu tu wewe kopa kopesha tu
 
Wewe muislam na wao wakristo wote ni wapumbavu tu hamjiyambui hakuna Mwafrika anayepaswa kuwa muislam au mkristo bali waarabu na wazungu wenye mila zao
Hayo maneno yako umeyasoma kwenye kitabu kipi?leo unaukana ukirisito wako kisa mkopo kandamizi uliosababishwa na wachungaji?
 
Huyu mwamba nimemuuliza swali kuhusu ni wapi wanatoa mikopo bila riba nikitaka ajichanganye alete blah blah zake za benk za kipemba nikaona anaruka ruka tu eti anasema kakope kwa ndg! Dunia ya sasa watu wanaleta theories za kizamani eti kakope kwa ndg[emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Mm nahitaji 200m niextend business yangu niende kwa ndg??
Wewe hakuna alie kuzuiya kukopa kwa riba!!qur,an ndio ilio haramisha riba kwa waisilamu wewe sidhani kama unahusika katika haramu hiyo
 
Hayo maneno yako umeyasoma kwenye kitabu kipi?leo unaukana ukirisito wako kisa mkopo kandamizi uliosababishwa na wachungaji?
Hapo ulipo unatamani kuwa mwarabu jinsi idi amin alivyotamani. Eti mmeahidiwa ukifa mwislamu unab.
adilika na kuwa mwarabu basi hapo ndo mnajituma kweli kweli kuabudu kiarabu kumuabudu mwarabu
 
Kwanza riba ni haramu kwa waisilamu tu wewe kopa kopesha tu
Ona,

Pombe ni haramu kwa waislamu wote.

Je umewahi kuchubuka wakakupaka spirit? Hiyo ni pombe. Je ni haramu.

Au umenyoa nywele ukatumia spirit na aftershave. Hiyo ni pombe. Je ni dhambi?

Manukato kibao tu yana pombe.

Ndugu kitu kinaweza kuwa kilekile ila mmoja akatenda dhambi kukitumia mazingira fulani, mwingine akapokea thawabu kabisa.

Riba ni mbaya, kwa watu na shida zao na kanuni za kimsaada zitatumika.
Riba ni njema kwa watu na biashara zao na kanuni za kibiashara zitatumika.
 
Back
Top Bottom