Dar es Salaam nzima haijawahi kutokea Baa yenye sifa na mvuto kama Kwa Macheni

Dah pole sana mkuu kwa janga lililokukuta. Sasa brother huyo dem mwenyew ulikuwa ushawahi kulala nae? Na kama uliwahi kulala nae vipi kuhusu afya yako binafsi uliwahi kwenda kupima?
Hayo ni mambo yaliyotokea mwaka 1994 ningali kijana, kwa hiyo jibu ni rahisi.
 
Wapenda Was**nge na Malaya Wachafu wa Bei rahisi ndio walikuwa wakijazana hapo 'Mapipa'.

'Bata' la wajanja lilikuwa 'Bills',CD.
Kwa wapenda totoz classic ilikuwa pale Jolly Club enzi zilezile.

Mwenyewe 'Macheni' alikuwa hakauki 'Bills' kipindi hichohicho hasa Usiku wa Muafrika, Baharia yule pacha wa 'Defao'.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ivi kumbe ni kweliii?? Nadhanigi uongo, ila pongezi kwake, ame maintain aseeeeh. Uwiiiiiih
KWA Mungu yote yanawezekana anasema pana mtu alimtupia roho ya ushoga akiwa mtoto wa miaka 4.
Haya yapo.
Mtu azaliwi kuwa shoga bali,ushoga ni roho chafu.
 
Wee huyu macheni mbna km Bottom?? Afu hakujifichaa.
It seems ni gay aliyejioneshaa. Uwiiiiih
Watu walikuwa wanajipumulia mgongoni kwake kwa roho safi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwaaaaah
Madogo yana nafuu mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha sana mzee, kunyonya titi ofa
Hahaha enzi hizo malaya alikuwa anapandisha kidogo tu kigauni chake unamaliza haja yako chap chap anaenda kuwahi kichwa kingine. So kukupa ziwa ushike au unyonye ilikuwa ni ofa kabambe kwa wateja maalumu kama hao niliokwambia hapo juu 🀣🀣🀣
 
Kwa macheni kulipendwa na kupata umaarufu kwa sababu nyingi ikiwemo watu kukutana pale na kupanga mipango yao mbali mbali ya wizi, safari, uzamiaji nk.
 
Hayo ni mambo yaliyotokea mwaka 1994 ningali kijana, kwa hiyo jibu ni rahisi.
Ok mkuu basi ni kumshukuru Mungu sana. Maana kupona kwako sio kwa ujanja wako, bali ni kwa nusura ya Mungu wako kuwa upande wako.
 
Nimekumbuka mbali sana, enzi za pondamali kufa kwaja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Matako bar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…