Dar es Salaam nzima haijawahi kutokea Baa yenye sifa na mvuto kama Kwa Macheni

πŸ€”
 
Nimekunywa sana kwa Macheni, Magomeni na Kinondoni hakukua na miujiza wowote. Ni bar tu za Kiswahili
 
Umenikumbusha mbali kweli kila zama na kitabu chake. Nakumbuka Defao aliliwa tako sana mitaa hiyo back in the days na watoto wa mjini.
Watoto wote wa mjini "misheni town" walikuwa wanakutania hapo kula bata na kupanga dili zao iwe poda, ujambazi, wizi wa kalamu n.k.

Kwa madogo wa juzi nawafahamisha kwamba buku 1000/= enzi hizo ilikuwa ni hela na malaya wanakugombania. 😁
 
Hahahah, na enzi hizo...alooooh mlienjoy maisha...buku tu, je aftatu??
 
Sikuw mtu wa kipiga ulabu ila nilikuwa nakwenda pale kuangalia shoo za wacheza miziki.....pale ndo kuliasisi haya mambo ya shoo kwenye mabaa ili kuwaburudisha walevi .......kipindi hicho haikuwa tabu kiwakuta pale wasanii wengi wakitoa burudani kw malipo ya bia au kupewa demu wa kumzagamua bila malipo
 
Niishie kusema tu kila zama na kitabu chake,
 
Vipi familia kaiacha kwenye hali nzuri au na mali zilipuputika ? Maana kwa stori hizi ni wazi jamaa alipiga hela sana
 
Nimeamini Nothing Last Forever, Hata Dollar ya America Ipo Siku Itapotea.
 
Kwa Macheni ilikuwa noma sana. Lakini jina lilikuwa kubwa sana kwa sababu ya Uasherati.

Baada ya Macheni kuachana na kazi yake ya Ubaharia, akaja kufungua Bar, walijaa mashoga na Malaya wa Kila aina. Yeye mwenyewe alikuwa Shoga, alijifunzia huko kwenye Ubaharia. Walimbandua.

Kidimbwi panaizidi sana Kwa Macheni. Walau penyewe ni pasafi na Kuna nafasi ya kutosha. Ila kwa Umalaya na ushoga pamoja na umaarufu, bado sana wa kuifikia Kwa Macheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…