Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Macheni bar, macheni dangulo daah enzi hizo watu walikuwa na mbumba hatariMkuu nakubaliana na wewe kwamba Kill ilikimbiza kiaina fulan. Ila kwa Macheni ndio ilikuwa mwisho wa kila kitu.
I mean kwa hadhi na umaarufu Macheni haijawahi kuwa na mpinzani hata wa kuisogelea kilometer kadhaa.
Haijawahi tokea nyingine ya aina ile. Nakataa mkuu. Hii Kill kuna watu hapo hapo Dar hawaijui na wala hawajawahi kusikia. Ila Macheni imevuma hadi nje ya mipaka ya Tanzania mkuu.
Ilikuaje?"Marehemu demu wangu, alipata ukimwi hapo"
Hili ndio jina lake sasa. Iliitwa kwa macheni kutokana na nickname ya mmiliki "hussein macheni". Ila jina la hiyo Bar ni highway night parkYah kweli hizi zinajitahidi kwa namna fulani ila macheni ilikuwa noma mkuu.
Mimi nilikuwa nafanyakazi kwenye gereji iliyokuwa jirani na kwa Macheni. Basi ilikuwa kila baada ya kazi nasogea kula mambo.Macheni bar, macheni dangulo daah enzi hizo watu walikuwa na mbumba hatari
Kwa Macheni nasikia ilisifika sana kwa mbunye za buku jero tu mtu unakula mzigo unaondoka ukiwa mwepeeeeesi!Habari zenu wana JF wenzangu.
Hivi ni Bar au maeneo gani ya starehe yanaweza kufikia sifa ilizokuwa nazo Bar ya Macheni enzi zake.
Hii Bar enzi za Prime Time yake iliweza kujibebea umaarufu hadi nje ya mipaka ya nchi yetu achilia mbali maeneo na mikoa mbali mbali ya Tanzania.
Mwaka 2003 wakati nipo ndani ya basi kutoka Lusaka kuelekea Harare nilikutana na mzambia fulani ambae tuliongea mengi kati ya tulioongea nilishangaa kuona jamaa aliifahamu hadi macheni Baa na alisema kwamba siku atakayofanikiwa kukanyaga Tanzania atajitahidi kufika katika Bar hiyo ili kujionea mwenyewe kwa macho yake yale yote aliyokuwa anahadithiwa na wazambia wenzake waliobahatika kukanyaga Dar na kwenda kula bata katika Bar hiyo.
Lakini pia nishakutana na watu kutoka katika nchi zingine za Congo, Burundi, Namibia na Kenya wakiizungumzia Bar hiyo kwa jinsi ilivyokuwa na mvuto kwa watu mbali mbali kutoka mataifa mbali mbali.
Sasa toka Bar hiyo ya macheni ilipoanguka sijawahi kusikia Bar zingine zenye sifa kubwa kama hiyo.
Je wewe ushawahi kuisikia nyingine yenye sifa zinazofanana na zile zile za kwa macheni? Kama ipo ni ipi? Najua kuna Bar na maeneo mengi yenye sifa na mvuto wa kiwango fulani ila sio kufikia viwango vya Bar ya Macheni.
Nyinyi au wewe unaonaje?
Karibuni tujadili.
Akishajibu unitonye.Ilikuaje?
Kumbe Kahumba, nilijua unasema Kanumba 😂😂😂Pacha wa macheni Kahumba morogoro, Kahumba never die
Iko wapi hii mkuu?Highway night park
Kidimbwi
Ok hapa nimekupata mkuu. Wengi tulizoea kwa jina hilo la kwa macheni.Hili ndio jina lake sasa. Iliitwa kwa macheni kutokana na nickname ya mmiliki "hussein macheni". Ila jina la hiyo Bar ni highway night park
Naomba ramani yake mkuuYa kidimbwi nayo babkubwa. I mean kwa namna fulan inafukuzia fukuzia macheni kwa mbaali.
Kahumba ilikufa na kufufuka lakini haiwezi kuifikia Macheni mkuuPacha wa macheni Kahumba morogoro, Kahumba never die
Ya pale ndo palipoasisi mashoga wakubwa wa Dar. Kina marehem anti Mudy na wengineo wengi walipatikana kwa wingi pale kwa macheni.Kasoro kubwa ya pale palikuwa na mi shoga kibao...unakwenda kula unaliona shoga linakusogelea.....mambooo mkaka..
Ukiwa mjanja hadi buku unakula mzigo fresh na sometimes unaulizwa vipi na uwani utaingia? Ukisema ndio unageuziwa vipara viwili umalizane navyo 😂😂😂Kwa Macheni nasikia ilisifika sana kwa mbunye za buku jero tu mtu unakula mzigo unaondoka ukiwa mwepeeeeesi!
Ilikuwa na kila kitu unachohitaji.......kuanzia dada poa hadi mashogaKulikuwa na kitu gani kilochofanya iwe na mvuto kupita bar nyingine
Magomeni mapipa karibu na bondeni hotelIko wapi hii mkuu?