Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
schau ujinga wewe, dar es salaam ilianzishwa mwaka 1866 Sultani Bargash na akaiita Darul Salaam ikiwa na Mlango mmojawapo katika
vyuo vikuu kwa majengo au ubora wa elimu?usidanganywe kwa wingi wa madarasa ww kilaza.si ndo maana alikurupuka na mradi wake wa shule za kata.wanamaliza wengi na wanafeli kishenzi.yani uko mbele sindano nitakua sipigi maana tutakua wataalam wa uongo.ongelea deni la taifa.huyu jamaa ana kila kitu yy na ccm wamekalia michongo ya wizi tu,hajawai tuambia kagoda ni nini wakati kuna brela,hajawai tuambia kuhusu trilioni za shimbo sana kampa ubalozi,hajawahi kukanusha mwanae billionaire.yani ni hopeless.watatumia mabomu na polisi wasitoke madarakani kwasababu uovu na wizi utakua wazi.balali kafa?
we zomba ni chiziiiii haya huoni
Tendo la ndoa linahusu nini? jifunze kusoma na kuelewa, siyo unakurupuka tu.
bwana zomba kilio chako nimekisikia... Nitalifanyia kazi!
Sasa umeongea nini na wewe!??
Huyo ni ZOMBA Mzee wa UDINI Tanzaia,Mwalimu wake ni Mazige na Viongozi wengine wa UAMUSHO hivyo ZOMBA kaona aanzishe Topic hii ili adumishe UDINI wake na atimize athima yake ya kuoyesha kuwa DINI yake ni Nzuri kuliko zetu.
Wakti namsikiliza Mheshimiwa mgeni wetu adhyim, Rais wa Muungano wa Mataifa ya Kimerekani (USA), Barack Hussein Obama, nilimsikia alipoitaja Dar Es Salaam, aliitafsiri kuwa ni "Habour of Peace" (labda iwe ung'eng'e ulinipiga chenga). Mheshimiwa kama ulitafsiriwa hivyo, wamekosea watafsiri wako, kama ni wewe mwenyewe, kwani naelewa kuwa unakijuwa Kiswahili kwa kiasi fulani, basi umekosea.
Maana halisi ya Dar Es Salaam, ni ngumu sana kuitafsiri ikiwa huupendi Uislaam na umeaminishwa na wabaguzi wa ujinga, kwani Dar Es Salaam inapatikana ndani ya Qur'an ikimaanisha ni moja kati ya pepo au kwa maulamaa wengine, moja kati ya milango ya kuingilia peponi "Baab Dar as Salaam", kwa maana moja au nyingine inamaanisha "haven of Peace" au "Nyumba" ya amani au kwa maana halisi "Pepo" ya amani.
Aliyekufunda kuwa Dar Es Salaam ni "Habour of Peace" hakukutendea haki wewe wala hakututendea haki sisi wa Dar Es Salaam.
Kwa kusherehesha; Dar Es Salaam si jina geni kwa miji ya duniani na haikuanzia hapa kwetu, kuna nchi nyingi ambazo zina majina ya majiji au miji iitwayo hivyo kwa lafdhi tofauti, maarufu ni Jerusalem, ina maanisha hivyo-hivyo. Nyingine ni Darussalaam, iliyopo Brunei, Ni hiyo hiyo, kama yetu tu.
Mnhhh mnhhh!
Karibu mgeni wetu.
sio Obama amedanganywa ata wewe pia umedanganywa .Dar es salaam once called Mzizima (which means healthy town ) is untill 1862 sultan of zanzibar Sayyid Majid decided to construct in Mzizima city and given a new name Dar es salaam wich means heaven of peace ,so Zomba wich name you like most Mzizima city african name or Dar es salaam city a Arabs sultan name ?
Darsa hilo, si kilio, tofauti yetu, wewe umemaliza na chuo na kuwa Mkuu wa chuo, sisi tunaanza na chuo.
Wakti namsikiliza Mheshimiwa mgeni wetu adhyim, Rais wa Muungano wa Mataifa ya Kimerekani (USA), Barack Hussein Obama, nilimsikia alipoitaja Dar Es Salaam, aliitafsiri kuwa ni "Habour of Peace" (labda iwe ung'eng'e ulinipiga chenga). Mheshimiwa kama ulitafsiriwa hivyo, wamekosea watafsiri wako, kama ni wewe mwenyewe, kwani naelewa kuwa unakijuwa Kiswahili kwa kiasi fulani, basi umekosea.
Maana halisi ya Dar Es Salaam, ni ngumu sana kuitafsiri ikiwa huupendi Uislaam na umeaminishwa na wabaguzi wa ujinga, kwani Dar Es Salaam inapatikana ndani ya Qur'an ikimaanisha ni moja kati ya pepo au kwa maulamaa wengine, moja kati ya milango ya kuingilia peponi "Baab Dar as Salaam", kwa maana moja au nyingine inamaanisha "haven of Peace" au "Nyumba" ya amani au kwa maana halisi "Pepo" ya amani.
Aliyekufunda kuwa Dar Es Salaam ni "Habour of Peace" hakukutendea haki wewe wala hakututendea haki sisi wa Dar Es Salaam.
Kwa kusherehesha; Dar Es Salaam si jina geni kwa miji ya duniani na haikuanzia hapa kwetu, kuna nchi nyingi ambazo zina majina ya majiji au miji iitwayo hivyo kwa lafdhi tofauti, maarufu ni Jerusalem, ina maanisha hivyo-hivyo. Nyingine ni Darussalaam, iliyopo Brunei, Ni hiyo hiyo, kama yetu tu.
Mnhhh mnhhh!
Karibu mgeni wetu.
Umaskini tulioingizwa wakati wa Nyerere nna uhakika hujaona, wala foleni za wakati huo nna uhakaika hujaziona, umeshakaa foleni ya vibiriti wewe? Leo una foleni za neema na maendeleo za magari, unahaha.
Kuna ufisadi zaidi ya kupoteza watu wasijulikane walipo? Unayajuwa ya Kassim Hanga?
Chukuwa idadi ya wanafunzi woooooooote waliofaulu wakati wa Nyerere, nachukuwa idadi wanafunzi waliofaulu wakati wa Kiwete kwa muhula mmoja, tuwekee hapa, kama hujajiaibisha. Huwezi.
Kwa mara ya kwanza tunaiona Tanzania ikijitegemea yenyewe kwa asilimia zaidi ya 65. Jee, uliwahi kuiona ikijitegemea zaidi ya hivyo? weka ushahidi. Huwezi.
Jina lipi linalokupa shida> Barack Hussein Obama? au Jakaya Mrisho Kikwete? au Zomba? weka wazi. Huwezi!
Kwa kukupa darsa tu, tuko katika masiku ya "Mrisho" huu ndio msimu wake, kabla ya Ramadhan. Jee, unajuwa maana ya Mrisho?
kwa ajili ya watu kama wewe.sasa hivi kuna aja ya kurudisha jina asili ya jiji Dar es salaam ambalo ni MZIZIMA CITY lenye maana jiji la afya na kulitupilia mbali hili jina la kitumwa lililopewe na sultan wa zanzibar .sultan Sayyed Majid mwaka 1862
Dah! Unahitaji likizo ndefu upumzishe akili. Yawezekana una msongo mkubwa wa mawazo! Pia udini huu ukiundekeza zaidi unaweza kukuletea matatizo ya kiafya/kiakili.