Dar-Es-Salaam: Obama Umedanganywa!

Dar-Es-Salaam: Obama Umedanganywa!

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Posts
17,240
Reaction score
3,930
Wakti namsikiliza Mheshimiwa mgeni wetu adhyim, Rais wa Muungano wa Mataifa ya Kimerekani (USA), Barack Hussein Obama, nilimsikia alipoitaja Dar Es Salaam, aliitafsiri kuwa ni "Habour of Peace" (labda iwe ung'eng'e ulinipiga chenga). Mheshimiwa kama ulitafsiriwa hivyo, wamekosea watafsiri wako, kama ni wewe mwenyewe, kwani naelewa kuwa unakijuwa Kiswahili kwa kiasi fulani, basi umekosea.

Maana halisi ya Dar Es Salaam, ni ngumu sana kuitafsiri ikiwa huupendi Uislaam na umeaminishwa na wabaguzi wa ujinga, kwani Dar Es Salaam inapatikana ndani ya Qur'an ikimaanisha ni moja kati ya pepo au kwa maulamaa wengine, moja kati ya milango ya kuingilia peponi "Baab Dar as Salaam", kwa maana moja au nyingine inamaanisha "haven of Peace" au "Nyumba" ya amani au kwa maana halisi "Pepo" ya amani.

Aliyekufunda kuwa Dar Es Salaam ni "Habour of Peace" hakukutendea haki wewe wala hakututendea haki sisi wa Dar Es Salaam.

Kwa kusherehesha; Dar Es Salaam si jina geni kwa miji ya duniani na haikuanzia hapa kwetu, kuna nchi nyingi ambazo zina majina ya majiji au miji iitwayo hivyo kwa lafdhi tofauti, maarufu ni Jerusalem, ina maanisha hivyo-hivyo. Nyingine ni Darussalaam, iliyopo Brunei, Ni hiyo hiyo, kama yetu tu.

Mnhhh mnhhh!

Karibu mgeni wetu.
 
Zomba na udini. Sasa DAR ni NENO LA KIISLAM.

It seems anything with arabic accent ni Uislam.
 
Wakti namsikiliza Mheshimiwa mgeni wetu adhyim, Rais wa Muungano wa Mataifa ya Kimerekani (USA), Barack Hussein Obama, alipoitaja Dar Es Salaam, aliitafsiri kuwa ni "Habour of Peace". Mheshimiwa kama ulitafsiriwa hivyo, wamekosea watafsiri wako, kama ni wewe mwenyewe, kwani naelewa kuwa unakijuwa Kiswahili, basi umekosea.

Maana halisi ya Dar Es Salaam, ni ngumu sana kuitafsiri ikiwa huupendi Uislaam.kwani Dar Es Salaam inapatikana ndani ya Qur'an ikimaanisha ni moja kati ya pepo au kwa maulamaa wengine, moja kati ya milango ya kuingilia peponi, kwa maana moja au nyingine inamaanisha "haven of Peace" au "Nyumba" ya amani au kwa maana halisi "Pepo" ya amani.

Aliyekufunda kuwa Dar Es Salaam ni "Habour of Peace" hakuutendea haki wewe wala hakututendea haki sisi wa Dar Es Salaam.

Kwa kusherehesha; Dar Esalaam si jina geni kwa miji ya duniani na haikuanzia hapa kwetu, kuna nchi nyingi ambazo zina majina ya majiji au miji iitwayo hivyo kwa lafdhi tofauti, maarufu ni Jerusalem, ina maanisha hivyo-hivyo. Nyingine ni Daussalaam, iliyopo Brunei, Ni hiyo hiyo, kama yetu tu.

Mnhhh mnhhh!

Karibu mgeni wetu.

Akishajua hilo ndipo umaskini utatoweka? Foleni zitakwisha? Ufisadi utakwisha? Wanafunzi watafaulu? Shule zitajaa vifaa? Hilo jina linaisadiaje nchi yetu kuondokana na utegemezi uliokubuhu?
 
Umaskini tulioingizwa wakati wa Nyerere nna uhakika hujauona, wala foleni za wakati huo nna uhakika hujaziona, umeshakaa foleni ya vibiriti wewe? Leo una foleni za neema na maendeleo za magari, unahaha.

Kuna ufisadi zaidi ya kupoteza watu wasijulikane walipo? Unayajuwa ya Kassim Hanga?

Chukuwa idadi ya wanafunzi woooooooote waliofaulu wakati wa Nyerere, na chukuwa idadi wanafunzi waliofaulu wakati wa Kikwete kwa muhula mmoja, tuwekee hapa, kama hujajiaibisha. Huwezi.

Kwa mara ya kwanza tunaiona Tanzania ikijitegemea yenyewe kwa asilimia zaidi ya 65. Jee, uliwahi kuiona ikijitegemea zaidi ya hivyo? weka ushahidi. Huwezi.

Jina lipi linalokupa shida> Barack Hussein Obama? au Jakaya Mrisho Kikwete? au Zomba? weka wazi. Huwezi!

Kwa kukupa darsa tu, tuko katika masiku ya "Mrisho" huu ndio msimu wake, kabla ya Ramadhan. Jee, unajuwa maana ya Mrisho?
 
Huu ujumbe si umemwandikia Obama???? Atakuelewa? Sasa si ungeandika kiingereza? Au hakipandi?!!!

Kiingereza kinapanda kuliko baba'ko, kama unabisha anza!
 
Zomba na udini. Sasa DAR ni NENO LA KIISLAM.

It seems anything with arabic accent ni Uislam.

Uislaam ni "global", Qur'an imeandikwa kiarabu, lugha kubwa kuliko zote uzijuazo.

Jee, unajuwa kuwa hata Kiswahili unachotumia asilimia kubwa ya maneno yake yametokana na Kiarabu? jiulize kwa nini?
 
Akishajua hilo ndipo umaskini utatoweka? Foleni zitakwisha? Ufisadi utakwisha? Wanafunzi watafaulu? Shule zitajaa vifaa? Hilo jina linaisadiaje nchi yetu kuondokana na utegemezi uliokubuhu?

kilaza...kama bajeti yako ya chakula kwa siku miaka 10 nyuma ilikuwa 2000 na leo ni 10,000 utasema umeendelea kwa kuwa kuna tofauti ya 8,000..? au na wewe ni "mchumi wa daraja la kwanza"?
 
Wakti namsikiliza Mheshimiwa mgeni wetu adhyim, Rais wa Muungano wa Mataifa ya Kimerekani (USA), Barack Hussein Obama, nilimsikia alipoitaja Dar Es Salaam, aliitafsiri kuwa ni "Habour of Peace" (labda iwe ung'eng'e ulinipiga chenga). Mheshimiwa kama ulitafsiriwa hivyo, wamekosea watafsiri wako, kama ni wewe mwenyewe, kwani naelewa kuwa unakijuwa Kiswahili kwa kiasi fulani, basi umekosea.

Maana halisi ya Dar Es Salaam, ni ngumu sana kuitafsiri ikiwa huupendi Uislaam na umeaminishwa na wabaguzi wa ujinga, kwani Dar Es Salaam inapatikana ndani ya Qur'an ikimaanisha ni moja kati ya pepo au kwa maulamaa wengine, moja kati ya milango ya kuingilia peponi "Baab Dar as Salaam", kwa maana moja au nyingine inamaanisha "haven of Peace" au "Nyumba" ya amani au kwa maana halisi "Pepo" ya amani.

Aliyekufunda kuwa Dar Es Salaam ni "Habour of Peace" hakukutendea haki wewe wala hakututendea haki sisi wa Dar Es Salaam.

Kwa kusherehesha; Dar Es Salaam si jina geni kwa miji ya duniani na haikuanzia hapa kwetu, kuna nchi nyingi ambazo zina majina ya majiji au miji iitwayo hivyo kwa lafdhi tofauti, maarufu ni Jerusalem, ina maanisha hivyo-hivyo. Nyingine ni Daussalaam, iliyopo Brunei, Ni hiyo hiyo, kama yetu tu.

Mnhhh mnhhh!

Karibu mgeni wetu.
Somaga basi ata kidogo historia ya taifa lako sio baraka ya kutafsiri Quran tu. Waliita hivyo kwa sababu muda waliofika waarabu walikuwa wanakimbia vita vya dini kwao na huo ufukwe waliukuta umetulia na wenyeji wakarimu ndio chanzo cha kutoa hilo jina la Dar es Salaam kutokana na waliyoyaacha huko nyuma.

Tatizo wengine tunaloliona is what did the locals call it before the arrival of Arabs; that is in the process of fully understanding us, then we are not the sort of people who seek to understand our history no wonder we are easily lured into other cultures and abandon our ways.
 
Wakti namsikiliza Mheshimiwa mgeni wetu adhyim, Rais wa Muungano wa Mataifa ya Kimerekani (USA), Barack Hussein Obama, nilimsikia alipoitaja Dar Es Salaam, aliitafsiri kuwa ni "Habour of Peace" (labda iwe ung'eng'e ulinipiga chenga). Mheshimiwa kama ulitafsiriwa hivyo, wamekosea watafsiri wako, kama ni wewe mwenyewe, kwani naelewa kuwa unakijuwa Kiswahili kwa kiasi fulani, basi umekosea.

Maana halisi ya Dar Es Salaam, ni ngumu sana kuitafsiri ikiwa huupendi Uislaam na umeaminishwa na wabaguzi wa ujinga, kwani Dar Es Salaam inapatikana ndani ya Qur'an ikimaanisha ni moja kati ya pepo au kwa maulamaa wengine, moja kati ya milango ya kuingilia peponi "Baab Dar as Salaam", kwa maana moja au nyingine inamaanisha "haven of Peace" au "Nyumba" ya amani au kwa maana halisi "Pepo" ya amani.

Aliyekufunda kuwa Dar Es Salaam ni "Habour of Peace" hakukutendea haki wewe wala hakututendea haki sisi wa Dar Es Salaam.

Kwa kusherehesha; Dar Es Salaam si jina geni kwa miji ya duniani na haikuanzia hapa kwetu, kuna nchi nyingi ambazo zina majina ya majiji au miji iitwayo hivyo kwa lafdhi tofauti, maarufu ni Jerusalem, ina maanisha hivyo-hivyo. Nyingine ni Daussalaam, iliyopo Brunei, Ni hiyo hiyo, kama yetu tu.

Mnhhh mnhhh!

Karibu mgeni wetu.
Kwa maoni yako,nini tofauti kati ya "harbor of peace" vs "haven of peace"?
 
kilaza...kama bajeti yako ya chakula kwa siku miaka 10 nyuma ilikuwa 2000 na leo ni 10,000 utasema umeendelea kwa kuwa kuna tofauti ya 8,000..? au na wewe ni "mchumi wa daraja la kwanza"?

Kama ulikuwa na hizo 2,000 na unakaa foleni kwa kupanga matofali kuanzia saa kumi za usiku, na ikifika saa 5 kabla ya adhuhuri unaambiwa sukari hakuna hapa kuna "betri" za "National" ndio zimeletwa, piga hesabu ya hayo masaa uliyopoteza halafu uniambie hiyo bajeti ya 10,000 na unakipata ukitakacho bila kupoteza wakati, bila kutafuta jiwe wala btri bovu la kupangia foleni na bila "risk" ya kukabwa usiku na kina "Joni" Mgogo ukiiwahi foleni mtaa wa sita. Ipi bora?

Huujuwi uchumi, usiuongelee, utaaibika, hapa nna ongelea Obama kutotenda haki kwa tafsiri mbovu ya jina la jiji letu adhyim. Dar Es Salaam.
Moderator ifungulie id yangu ya Dar Es Salaam, roho mbaya tu.
 
Umaskini tulioingizwa wakati wa Nyerere nna uhakika hujaona, wala foleni za wakati huo nna uhakaika hujaziona, umeshakaa foleni ya vibiriti wewe? Leo una foleni za neema na maendeleo za magari, unahaha.

Kuna ufisadi zaidi ya kupoteza watu wasijulikane walipo? Unayajuwa ya Kassim Hanga?

Chukuwa idadi ya wanafunzi woooooooote waliofaulu wakati wa Nyerere, nachukuwa idadi wanafunzi waliofaulu wakati wa Kiwete kwa muhula mmoja, tuwekee hapa, kama hujajiaibisha. Huwezi.

Kwa mara ya kwanza tunaiona Tanzania ikijitegemea yenyewe kwa asilimia zaidi ya 65. Jee, uliwahi kuiona ikijitegemea zaidi ya hivyo? weka ushahidi. Huwezi.

Jina lipi linalokupa shida> Barack Hussein Obama? au Jakaya Mrisho Kikwete? au Zomba? weka wazi. Huwezi!

Kwa kukupa darsa tu, tuko katika masiku ya "Mrisho" huu ndio msimu wake, kabla ya Ramadhan. Jee, unajuwa maana ya Mrisho?

Ndugu yangu una matatizo makubwa na msongo wa mawazo, maana kila kitu unawaza kibaguzi baguzi tu... Kwani huyu uliyemjibu kuna mahali amefananisha utawala wa raisi yeyote? Mkuu una uwezo mkubwa wa kuwaza nje ya udini udini...
 
Huelewi unachokiandika kuwa ubaguzi wa ujinga.

Nna uhakika hujui maana ya dini. Ukitaka kupata darsa kuhusu maana ya "dini" uliza.
 
kilaza...kama bajeti yako ya chakula kwa siku miaka 10 nyuma ilikuwa 2000 na leo ni 10,000 utasema umeendelea kwa kuwa kuna tofauti ya 8,000..? au na wewe ni "mchumi wa daraja la kwanza"?

Hayo kayaeleze msikitini siyo hapa sisi tunaelewa ni bandar ya salama hutaki nenda katawaze .usituletee ujinga wa dini hapa ,hayo mambo peleka kwa uamsho wenzio

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Huelewi unachokiandika kuwa ubaguzi wa ujinga.

Nna uhakika hujui maana ya dini. Ukitaka kupata darsa kuhusu maana ya "dini" uliza.

Mi naona kama unazidi kujidhalilisha tu... Topic nzuri tu umeianzisha mwenyewe kutuelewesha maana ya Dar es Salaam. Ghafla hata haijafika post ya kumi, umeshaibadilisha unaongelea mambo ya foleni za vibiriti wakati wa Nyerere!!! Yanahusiana na topic yako hii?
 
Back
Top Bottom