Tetesi: Dar es Salaam SGR Terminus kupewa jina la Rais Samia

Napendekeza iitwe Akilihuru Terminus itapendeza sana.
 
Paitwe Mtemi Isike au hata Mangi Meza au Olaigwanani au washiili ila sio hivyo.

Amalizie kwanza ujenzi halafu apewe kile kituo cha mwisho yaani kule mwisho wa Reli.
 
Miradi,Shule zatakiwa zipewe majina ya maeneo husika na sio kupachika majina ya watu.
Siku ikitokea nikawa Rais nafuta kila jina la mtu yanabaki Nyerere,
 
Miradi,Shule zatakiwa zipewe majina ya maeneo husika na sio kupachika majina ya watu.
Siku ikitokea nikawa Rais nafuta kila jina la mtu yanabaki Nyerere,
Vipi hizi barabara zetu zilizopewa majina ya watu tusiwajua sijui kina Sam Nujoma, Kenyata, Kwame Nkuruma nk?
Au wao ni sahihi lkn wa kwetu sio sahihi?
 
Ufunguzi wa hii treni ya SGR ni lini?
 
Mimi nafikiri ingeitwa Tanzanite Terminus station kutokana na muonekano wake ni wa Tanzanite.

Afu lile daraja lingepewa jina lingine mfano hilo la mount kilimanjaro bridge nk.
 
Kwani ikiitwa Dar es salaam SGR_Terminus kuna ubaya gani?
Hata ikiitwa Tanzanite SGR Terminus sio mbaya kutokana na muundo au muonekano wa station yenyewe.
 
Coco Beach Bridge inatosha.
Mimi nafikiri ingeitwa Tanzanite Terminus station kutokana na muonekano wake ni wa Tanzanite.

Afu lile daraja lingepewa jina lingine mfano hilo la mount kilimanjaro bridge nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…