Tetesi: Dar es Salaam SGR Terminus kupewa jina la Rais Samia

Paitwe Station kama ilivyo sasa. Tuachane na huu ujinga wa kuvipa vitu vya Taifa majina ya viongozi.

Mie naona bora iitwe Mandonga.
Vipi pakiitwa Tanzanite Terminus Station kutokana na station hiyo kujengwa kwa mfano wa madini ya Tanzanite?
 
Baba wa Taifa ni mmoja tu. Hakuna cha baba wa taifa wa pili, labda wa familia yako.
 
Sio mbaya
Ila la yule mwamba kutoka chato lingependeza zaidi
 
...CHAWA Utawajua TU! Mshindwe na Mlegee...!
 
Mtoa mada wakati unaanza kupresent mada yako ulikuwa as if hujui chochote na kwamba umepenyezwa tu na mtu wa system lakini kadiri ulivyosonga mbele umejidhihirisha kumbe we mwenyewe ni mtu wa system hiyo hiyo na umepresent kama supporter wa hilo jambo

Ninachojiuliza sijui ni kwanini uliamua kutumia style hiyo sijui at first ulikuwa unahofia upinzani?
Anyway nchi yetu ni kawaida kukumbatia yakijinga na kusahau ya maana. Hili nalo ni mojawapo.
 
Mimi naosawat tu tenaatahela yanoti yaelfukumi ingewekwa pichayake kwaninimwanamke wakwanza kuwa rais africamashariki
 
 
Hahaha sasa kila mtu akipendekeza jina lake si patakuwa hapatoshi mkuu 😂😂
Si wanafanya kama bahati nasibu. Kila mtu anapeleka jina lake, majina yanatiwa kwenye kitu cha kuchezeshea afu jina litakalotoka ndo hilo hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…