Uchaguzi 2020 Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano

Halafu wanakosea wanaposema kwamba ni furugu wakati ni maandamano ya amani kudai uchaguzi huru na wa haki, Kudai tume huru ya uchaguzi, Uchaguzi uandaliwe sababu kilichofanyika tanzania tarehe 28 hakikuw na sifa za kuitwa uchaguzi
Nenda kawaulize waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa uchaguzi ulikuwaje..shwainnnn
 
Zimebaki dakika 5 sasa kushuhudia maandamano ila naona jiji la Dar es salaam lina utulivu wa kutosha na shughuli za kuzalisha zikiendelea kama kawaida...

Pongezi kwako kamanda Mambosasa kwa kazi nzuri ya kuwakamata hao vibaraka wa mabeberu...
 
Unasikitika nini? Unadhani hayo hayawezi kufanyika? Wanasiasa sio watu. Kama mtu alianguka akavunja mguu alafu anadai alivamiwa atashindwa kufanya uhuni wa kukodi watu kufanya vurugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…