Matunda _Kuniga
JF-Expert Member
- Jun 2, 2019
- 231
- 178
Kinachotofautisha na Sudani ni Katiba mzee,akiapa huruhusiwi kupinga.mambo sasa ni miongoni mwa watu wajinga sana kuwahi kuwepo kwenye uso wa Dunia
Anaongea kana kwamba hajui hata sudani kulikuwa na mtu mwenye cheo kama chake
Chadema ni chama cha siasa ila wanachama wake wana imani za dini tofauti, Wewe unamzungumzia Mungu yupi kwanza, inawezekana hata Mungu unaemsema humjui.Kupongeza sio dhambi ,inauma pale ambapo Kikundi fulani kisipochaguliwa ndio hakuna demokrasia.
Chadema iachane na uanaharakati hicho ni chama kipo kwa mujibu wa katiba na sheria vimesajiliwa kwa msajili kwa kazi hiyo ya kichama ,hakikusajiliwa kuwa ni NG'O za kiharakati wajifunze wawe serious na mambo ya kitaifa.
Chadema inafungua mkutano haisali wala husikii kiongozi kusema awali ya yote namshuluru Mungu hakuna ,wanafungua nakufunga hivyo hivyo halafu viongozi wa Kidini waunge mkono wapi unadhani.
Jaman tuweni wakweli Chadema inajizika yenyewe.
Hayo Nagari na vituo vya mafuta vimekosa nini sasaKwamba........
Waliokuwa wanatakiwa kuandamana wametakiwa kuchoma matairi barabarani, kuchoma magari, vituo vya mafuta na masoko wameahidiwa pesa.
Pia watu wanaotumika kushawishi wanaambiwa wawatafute vijana wasio waoga, wanaotumia dawa za kulevya..π€¨π²π²
Duhhhhhhh....
Nimejikuta nasikitika sana
Mpuuzi ni wewe, mwenzio yupo kazini.Huyu Mambosasa atasababisha vita kabisa mpuuzi sana.
Hivi kuna sheria inayowataka viongozi wa vyama vya siasa kutamka hayo uyasemayo?.Kupongeza sio dhambi ,inauma pale ambapo Kikundi fulani kisipochaguliwa ndio hakuna demokrasia.
Chadema iachane na uanaharakati hicho ni chama kipo kwa mujibu wa katiba na sheria vimesajiliwa kwa msajili kwa kazi hiyo ya kichama ,hakikusajiliwa kuwa ni NG'O za kiharakati wajifunze wawe serious na mambo ya kitaifa.
Chadema inafungua mkutano haisali wala husikii kiongozi kusema awali ya yote namshuluru Mungu hakuna ,wanafungua nakufunga hivyo hivyo halafu viongozi wa Kidini waunge mkono wapi unadhani.
Jaman tuweni wakweli Chadema inajizika yenyewe.
DoΕΊi imekukolea. Maisha ndivyo yalivo mzee babaKuna wakati Humphrey polepole alikuwa anahojiwa akasema kama China kuna democracy basi nikajua tumemalizika kama taifa. Tutakuwa Taifa la majuha kila siku utaona press conference za kumpomgeza JPM.
Mimi niko upande wa haki na pia kiukweli sijawahi kuwa mtu wa siasa ila unapoona haki haitendeki inabidi nikemee ndio vitabu vyote vya dini zinavyosema. Dozi haitokolea kwangu ila vizazi vinavyokuja ndio vitaangamia wakati kundi la watu fulani ndio litapata manufaa, usawa utakuwa haupo. Unapotenda dhambi basi ile dhambi itakundama popote pale uendako.DoΕΊi imekukolea. Maisha ndivyo yalivo mzee baba
Halafu wanakosea wanaposema kwamba ni vurugu wakati ni maandamano ya amani kudai Uchaguzi huru na wa haki, Kudai Tume huru ya Uchaguzi, Uchaguzi uandaliwe sababu kilichofanyika Tanzania tarehe 28 hakikuw na sifa za kuitwa uchaguzi
Tulia dawa iwaingie maana mlizoea matusiHuyu Mambosasa atasababisha vita kabisa mpuuzi sana.
Kuna siku niliahi kumueleza catherine ruge kuwa asiwaamini sana watu wanaomzungukaMimi niko upande wa haki na pia kiukweli sijawahi kuwa mtu wa siasa ila unapoona haki haitendeki inabidi nikemee ndio vitabu vyote vya dini zinavyosema. Dozi haitokolea kwangu ila vizazi vinavyokuja ndio vitaangamia wakati kundi la watu fulani ndio litapata manufaa, usawa utakuwa haupo. Unapotenda dhambi basi ile dhambi itakundama popote pale uendako.
Kisa Mbowe, Zitto na Maalim, Lissu wamekosa ubunge na urais? Kaandamaneni kwa Amsterdam awape nchi.Nchi ishaharibika hii
Na Mimi nimeiona hiyo video chakushangaza muimbaji alikuwana lafdhi ya Kirundi..Aiseee....
Nimeiona clip ya vijana wenzetu askari wa FFU wakiwa barabarani kuwasubiri waandamanaji huku wakiimba "ninamsubiri mchumba eee,mchumba haonekani eee,nimeshachukua chumba eeee,mchumba haonekani weee"ππππ
Na Mimi nimeiona hiyo video chakushangaza muimbaji alikuwana lafdhi ya Kirundi..
Vile Vile Sare walizovaa sio za FFU ni za Jeshi
Mkuu wale ni askari polisi na si Jeshi la wananchi...Na Mimi nimeiona hiyo video chakushangaza muimbaji alikuwana lafdhi ya Kirundi..
Vile Vile Sare walizovaa sio za FFU ni za Jeshi
Mkuu,mvutano wa wanasiasa ni mtaji kwa raia, kumbuka hiloKisa Mbowe, Zitto na Maalim, Lissu wamekosa ubunge na urais? Kaandamaneni kwa Amsterdam awape nchi.
Leo jamaa wangetekeleza matakwa ya mabeberu kwa Lissu Kama angeandamana.Aiseee....
Nimeiona clip ya vijana wenzetu askari wa FFU wakiwa barabarani kuwasubiri waandamanaji huku wakiimba "ninamsubiri mchumba eee,mchumba haonekani eee,nimeshachukua chumba eeee,mchumba haonekani weee"ππππ
Oook,Mungu awape maisha marefu kwa kukubali kulitumikia kundi la watu fulani waitwao CCM..J
Mkuu wale ni askari polisi na si Jeshi la wananchi...
Kuhusu lafudhi ya kiongozi wa ile KWAYA Wala si ya Kirundi bali alikuwa ananogesha Kama wanavyoimba ndugu zetu WASAMBAA wa huko milimani LUSHOTO...