Uchaguzi 2020 Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano

Uchaguzi 2020 Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano

Hivi kuna sheria inayowataka viongozi wa vyama vya siasa kutamka hayo uyasemayo?.
Sheria imeingiaje sasa Marekani ina siasa za kimataifa ukishindwa kuwa mzuri hapo uraisi unakuwa wa mashaka kwetu sisi hatujafika huko bado nchi yetu changa tunaijenga bado hivi kusema yaliyofanyika yote ni mavitu unaona ni sawa.
 
Aiseee....

Nimeiona clip ya vijana wenzetu askari wa FFU wakiwa barabarani kuwasubiri waandamanaji huku wakiimba "ninamsubiri mchumba eee,mchumba haonekani eee,nimeshachukua chumba eeee,mchumba haonekani weee"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuja...
 
Wananchi wa kawaida hawako mtandaoni! Ni polisi, TISS na vibaraka wengine ili ionekane wengi wanasapoti huu ugaidi!
 
Kwani hujui kuwa katika nchi za kidikteta wanajeshi hutumika sana kuwatesa wapinzani?Hii mbona ilikuwa inatumika sana kama njia za kuwatokomeza wapinzani hapo Burundi kipindi kile cha Nkurunziza
Hawatateswa wala kuwapoteza .....hawatothubutu kufanya hayo maana........

Wataachiwa tu baada ya kupelekwa mahakamani.
 
Kama we siyo mbongo iambie nchi yako itest zari ione moto wake. Tanzania ni supper power East Africa mzaee
Je Elimu yetu has been crafted to make us lame, weak, timid, meek and subservient? Kwa nini tunakuwa wepesi kujisalimisha hasa haki inapoporwa Kibabe? Kwa nini tumekuwa na woga hata kuongea na kupigia kelele wizi huu wa kura na uchaguzi? Nani katufanya bubu, viziwi na vipofu?
 
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, ACP Lazaro Mambosasa amesema wamewashika watu watatu zaidi kwa tuhuma za kuwashawishi watu kuandamana.

Walikamatwa ni pamoja na Baunsa wa aliyekuwa Mbunge Kawe, Halima Mdee na wengine wawili ambao wamekamatwa kuzuia vurugu zinazopanga kufanyika.

Kamanda Mambosasa amesema watu hao walikamatwa wakiwa katika vikao vya kupanga vurugu hizo ambazo zimepangwa kufanyika leo.

Waliokuwa wanatakiwa kuandamana wametakiwa kuchoma matairi barabarani, kuchoma magari, vituo vya mafuta na masoko wameahidiwa pesa.

Pia watu wanaotumika kushawishi wanaambiwa wawatafute vijana wasio waoga, wanaotumia dawa za kulevya.

PIA SOMA:
= > Uchaguzi 2020 - ACP Mambosasa: Tunawashikilia Mbowe, Lema na Boniface Jacob kwa kuhatarisha maisha ya Raia na mali zao
Baunsa kanywea mbele ya serikali, kudadadeki mbwembwe zote kwishney.
 
Je Elimu yetu has been crafted to make us lame, weak, timid, meek and subservient? Kwa nini tunakuwa wepesi kujisalimisha hasa haki inapoporwa Kibabe? Kwa nini tumekuwa na woga hata kuongea na kupigia kelele wizi huu wa kura na uchaguzi? Nani katufanya bubu, viziwi na vipofu?
Haki gani iliyoporwa kibabe? Didn't you vote na je kama ulivote kuna mtu alikushikia bunduki kichwani kutaka uvote for whom you don't want? Wananchi tulishaamua kuwa wapinzani ni wapuuzi na hatukuwataka, unalia nini? We umeona wapi kama si ujinga, mtu amechaguliwa na wananchi wake akawawakilishe bungeni, mwakilishi anenda bungeni eti anaenda kubishana na kumkashifu rais badala ya kujenga hoja ya maana. Wapinzani hawana akili.
 
Waliokamatwa ni pamoja na Baunsa wa aliyekuwa Mbunge Kawe, Halima Mdee

Ngoma nzito hii
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Babe is back [emoji56][emoji56][emoji56]
 
Hao vijana wanaotumia dawa za kulevya wako wapi wakati Makofuli alisema wauza dawa za kulevya wote walikwisha kamata?
 
Back
Top Bottom